IKUNGI, SINDIGA: SHIDA YA MAJI YAWAFANYA WANANCHI KUTAFUTA MAJI KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
- Wananchi wa Kijiji cha Mkiwa wamelalamikia shida ya maji wanayoipata
- Wanachota maji katika kisima kirefu wakiwa wamesimama juu ya mti dhaifu
Soma https://jamii.app/ShidaMajiIkungi-SND
#JFLeo

WABUNGE NCHINI UINGEREZA WAENDELEA KUKWAMISHA MPANGO WA BREXIT
> Wabunge wamepiga kura 328 dhidi ya 301, kuunga mkono juhudi za kuzuia mpango wa Taifa hilo kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano
> Waziri Mkuu amesema atawasilisha Muswada wa kuitisha uchaguzi wa mapema na Wabunge 21 waasi wa Conservative walioipinga Serikali yake watafukuzwa ndani ya chama
Soma - https://jamii.app/BrexitNoDeal

JAJI MKUU AOMBA KIPIMO CHA DNA KISAIDIE KWENYE USHAHIDI WA KESI ZA UBAKAJI
> Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof.Ibrahim Juma amesema ufanyike mkakati wa kuangalia matumizi ya kuchukua sampuli kwa ajili ya kipimo cha Vinasaba (DNA) ili visaidie kurahisisha upatikanaji wa ushahidi kwa watuhumiwa wanaofanya vitendo vya ubakaji na kulawiti watoto
Soma - https://jamii.app/KesiUbakajiKipimoDNA

UJASIRIAMALI: FAHAMU NAMNA RAHISI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI
> Unahitaji Sulphonic(Labsa), SlecPafyumu (lemon), Rangi, Chumvi ya mawe, Glycerin, Soda Ash Light, Formalin, Alka, Maji safi na chombo cha zaidi ya lita 25
> Chukua Sulphonic lita 1 changanya na Slec. Chukua Soda ash nusu iloweke kwenye chombo kingine na maji lita 5 kisha chukua mchanganyiko changanya na Sulphonic na Slec weka maji lita 15 koroga kwa dakika 10
Kwa hatua zaidi, soma - https://jamii.app/KutengenezaSabuniMaji
#JFUjasiriamali

SERIKALI YAANZA MKAKATI WA KUFUTA KESI ZA WANUNUZI WA TUMBAKU
> Naibu Waziri wa Kilimo amesema wamekubaliana na TRA kuwa ndani ya siku 90 Kuanzia leo suala la madai kwa Kampuni 4 za Kilimo zinazodaiwa Trilioni 11 litakuwa limeisha ili ziendelee kununua mazao kwa wakulima
Soma - https://jamii.app/KufutwaKesiKilimo

MTWARA: MAMLAKA YA MAJI YATOLEA UFAFANUZI MAJI YENYE MATOPE
- Ni baada ya JamiiForums kuandika kuhusu maji machafu wanayopata Wakazi wa Mkoa huo
- Imesema ni kutokuwa na chujio katika kituo cha Mangamba na kupasuka kwa bomba maeneo ya Mgomeni
Soma https://jamii.app/MtuwasaYakiriMajiMatope

MICHEZO: Timu ya Tanzania 🇹🇿(Taifa Stars) imetoka sare ya goli 1-1 na timu ya Burundi🇧🇮 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2022
- Goli la Burundi limefungwa na Cedric Amissi (81’) huku goli la Stars likifungwa na Simon Msuva (85’)
#JFSports

TANZANIA YAZUNGUMZIA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI DHIDI YA WAGENI
> Waziri Prof. Palamagamba Kabudi, amesema mpaka sasa hakuna Mtanzania aliyeuawa katika machafuko yaliyotokea Afrika Kusini
> Aidha, Mbunge Elibariki Kingu (Singida Magharibi) aliomba mwongozo wa Spika na kusema ametumiwa taarifa na Mtanzania aliyeko Afrika Kusini kuwa maduka yake yamechomwa moto
Soma - https://jamii.app/TzSaysXenophobia

MANYARA: MWENYEKITI NA KATIBU WA BARAZA LA ARDHI MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
- Ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wa Kata ya Bwawani, Stevin Tollya na Katibu Maiko Lemari
- Waliomba rushwa ya Tsh. 20,000 ili kumfungulia Mtu shauri la Ardhi
Soma https://jamii.app/ViongoziBarazaArdhiMbaroni-KTT

VURUGU AFRIKA KUSINI: NIGERIA YAMUITA BALOZI WA NCHI HIYO. WASANII WASUSA
- Nigeria imemwita Balozi kuelezea masikitiko ya raia wake kushambuliwa
- Tiwa Savage hatohudhuria ‘DSTV Delicious Festival’ na Burna Boy asema hatokanyaga nchini humo
Soma https://jamii.app/RamaphosaAddressViolence

WAZIRI WA KIGWANGALLA: NIKIKUKUTA UNAUA TWIGA, NAKUUA
- Amesema akimkuta mtu anawinda Wanyamapori ambao ni vivutio kama Twiga, basi atamuua
- Amesema hayo alipomkamata Hassan Likwema akiwa na vipande 338 vya meno ya Tembo na meno mazima 75
Zaidi, soma https://jamii.app/AnayeuaTwigaKuuawa-Kigwangalla

MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA-TANGA, WASIMAMA. MUSEVENI KUTUA NCHINI
- Kampuni ya Total imesimamisha shughuli zake kwenye mradi huo na kuwaondoa wafanyakazi
- Rais Museveni anatua leo jijini Dar, yadaiwa atazungumza kwa dharura na Rais Magufuli
Soma https://jamii.app/BombaMafutaUG-TZWakwama

KAMPUNI YA MTN YAFUNGA MADUKA YAKE YA NIGERIA KUTOKANA NA VURUGU
> Kampuni hiyo ya mawasiliano ya Afrika Kusini imetangaza kufunga maduka yake yote nchini Nigeria kutokana na baadhi ya raia wa Nigeria kulipiza kisasi cha mashambulizi ya kibaguzi yanayofanywa dhidi ya wenzao walio Afrika Kusini
> Makampuni mengine ya Afrika Kusini yaliyochomwa moto Nigeria ni DSTV na Maduka ya Shoprite
Soma - https://jamii.app/MTNClosesShopsNGR

MATUMIZI YA MAFUTA NCHINI: DIZELI NA PETROLI HUTUMIKA KWA KIWANGO KIKUBWA
> Matumizi ya siku kiwango cha Dizeli ambacho kimekuwa kikitumika ni lita milioni 4.8 kwa siku, Petroli lita milioni 3.2, Mafuta ya ndege lita 560,000 huku mafuta ya taa yakitumika kwa kiasi cha lita 147,000
Soma - https://jamii.app/KiwangoPetroliDizeli

SERIKALI YAAGIZA VIBALI VYA BIASHARA YA VYUMA CHAKAVU KUFUTWA
> Waziri George Simbachawene ameagiza kuundwe Tume ambayo itasimamia utengenezaji wa vibali vipya vitakavyokidhi matakwa ya kibiashara na utaratibu wa kuboresha vibali hivyo utafanyika upya ndani ya siku 7
Soma - https://jamii.app/VibaliVyumaChakavu

UPINZANI WAOMBA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA YA MTANDAO NA TAKWIMU
> Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imetaka Serikali ipeleke Miswada ya marekebisho ya Sheria ya Makosa ya Kimtandao, Sheria ya Takwimu na Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari kwa kuwa zimesababisha kuminywa kwa uhuru wa mawasiliano
Soma - https://jamii.app/KUBSheriaMtandaoTakwimu

AFRIKA KUSINI YAFUNGA BALOZI ZAKE NCHINI NIGERIA
> Afrika Kusini imeamua kuzifunga Balozi zake mjini Abuja na Lagos ili kulinda usalama wa wafanyakazi kutokana na mashambulizi ya kulipiza kisasi yanayoendelea kwa raia wa Afrika Kusini
Soma - https://jamii.app/SAShutsEmbassyNGR

TANZANIA KUDAI FIDIA YA NDEGE KUKAMATWA. YASITISHA SAFARI ZA NDEGE AFRIKA KUSINI KUTOKANA NA VURUGU
> Imesema ipo katika mchakato wa kufungua kesi ya kudai fidia ya pesa iliyotumika kuendeshea kesi ya Ndege ya ATCL, iliyokuwa ikishikiliwa Afrika Kusini
> Aidha, huduma ya usafiri wa ndege Afrika Kusini imesitishwa hadi hali ya usalama wa nchi hiyo itakapokuwa sawa
Soma - https://jamii.app/FidiaKesiSafariNdege