TMA YATOA TAHADHARI YA UPEPO NA MAWIMBI MAKALI MIKOA 5 NA ZANZIBAR
> Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi makubwa katika Mikoa ya Tanga, Dar, Pwani, Mtwara, Lindi, pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba, kuanzia Agosti 21 mpaka 25
Soma - https://jamii.app/TahadhariUpepoMawimbi

TEXAS, MAREKANI: MKENYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA UBAKAJI
- Anthony Nyakeo amehukumiwa baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka Mwanamke mgonjwa (74)
- Miezi kadhaa iliyopita Mkenya mwingine alihukumiwa huko Texas kwa kuua Wanawake 11
Zaidi, soma https://jamii.app/KenyanManJailedRaping-TX

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KUFANYIKA NOVEMBA 24, 2019
> Zoezi la uandikishaji wapiga kura litaanza siku 47 kabla ya siku ya uchaguzi na litadumu kwa siku 7
> Viongozi watakoma uongozi wao siku saba kabla ya siku ya kuchukua fomu za kugombea
Soma https://jamii.app/UchaguziMitaaNov24

LINDI: AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 10
- Issa Seif Mpanyanje (51) amehukumiwa baada ya Hakimu kujiridhisha bila shaka na ushahidi
- Pia, atakapomaliza adhabu yake ametakiwa amlipe mlalamikaji fidia ya Tsh. Milioni 2
Zaidi, soma https://jamii.app/AfungwaMiaka30UbakajiMtt-LND

KIGOMA: WAKIMBIZI WALALAMIKA WAKIDAI KUZUIWA KURUDI KWAO
- Baadhi ya Wakimbizi kutoka Burundi katika Kambi ya Nduta, Wilaya ya Kibondo wamesema wanawekewa vikwazo na kucheleweshwa na baadhi ya Watendaji kambini humo wanapoomba kurejeshwa kwao
Zaidi, soma https://jamii.app/WakimbiziKambiNdutaBurundi

SERIKALI: TUNAFUATILIA KUZUIWA KWA NDEGE YA ATCL AFRIKA KUSINI
- Imeomba radhi kwa usumbufu ulijitokeza kwa abiria wa ATCL waliokuwa wasafiri kutoka Johannesburg
- Imepokea taarifa kuwa ndege hiyo imezuiwa kwa amri ya Mahakama Kuu ya Gauteng
Zaidi, soma https://jamii.app/ATCLKuzuiwaSA

ASKOFU SHOO ACHAGULIWA TENA KUONGOZA KANISA LA KILUTHERI NCHINI
- Askofu Dkt. Frederick Shoo ataongoza Kanisa hilo kwa kipindi kingine cha miaka minne (2019-2023)
- Amepata kura 144 kati ya kura 218 zilizopigwa katika mzunguko wa mwisho
Zaidi, soma https://jamii.app/ShooKuongozaTenaKKKT

VODACOM KUDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA
- Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom wamesaini Mkataba wa miaka 3 wa Udhamini wa Ligi Kuu Bara wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9
Zaidi, soma https://jamii.app/VodaKudhaminiLigiTZ

TABORA: MAMA AMTAHIRI MTOTO WAKE KWA KISU
> Rehema Rajab Mdaki, mkazi wa Kijiji cha Igalula anadaiwa kumfanyia tohara mtoto wake wa kiume wa mwaka mmoja na nusu kwa kutumia kisu
> Mama huyo amedai hizo ni mila na tamaduni na hivyo alikuwa akifanya jambo sahihi na tayari watoto wake wengine alishawafanyia
Soma - https://jamii.app/MamaToharaKisu

NEC YATEUA DIWANI WA WANAWAKE WA VITI MAALUM UBUNGO
- Imemteua Anna Alinanine Kajigili (CHADEMA) kuwa Diwani wa Wanawake wa Viti Maalum katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo
- Ni baada ya aliyeteuliwa awali kujiuzulu uanachama wa CHADEMA
Zaidi, soma https://jamii.app/DiwaniWanawakeMaalum-UBNG

WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA UTENDAJI KAZI WA DED WA LINDI
> Amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Lindi awasilishe kwake taarifa za utendaji kazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kushindwa kutoa maelezo kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji, Kata ya Rutamba ambao unahitaji bajeti ya Tsh. milioni 75
Soma - https://jamii.app/UchunguziDEDLindi

BENKI/TAASISI ZA FEDHA ZISIZO NA VITUO VYA TAARIFA NCHINI KUPIGWA FAINI
> Benki Kuu imezipa Benki na Taasisi za kifedha siku 7 kuthibitisha kama zina kituo cha taarifa nchini na watakaoshindwa kufanya hivyo watatozwa faini Tsh. Bilioni 5
> Pia imetoa miezi 3 kwa taasisi hizo kufungua vituo vya taarifa nchini au watatozwa Tsh. Milioni 500 kila mwezi mpaka watakapofanya hivyo
Soma - https://jamii.app/FainiVituoTaasisiFedha

BARIADI: MKUU WA WILAYA ATAIFISHA PAMBA TANI 20
> Ilibainika kuwa pamba hiyo ilikuwa inanunuliwa kwa njia za machinga, ambapo wakulima walikuwa wakinunuliwa kwa Tsh.600 hadi 800 ktk Kijiji cha Igegu
> Siku chache zilizopita tani 26 nazo zilitaifishwa Wilayani humo
Soma - https://jamii.app/TaifishoTani20Pamba
#JFLeo

UTAFITI: KILIMANJARO KINARA KWA WANAWAKE WENYE VIRIBATUMBO
- Taasisi ya Chakula na Lishe imesema Mkoa huo unaongoza kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini
- Aidha, Mkoa wa Dar unashika nafasi ya pili katika utafiti huo
Zaidi, soma https://jamii.app/KLMWanawakeUneneKiribatumbo

TUSIPOFANYA MAZOEZI TUNA HOJA NA SABABU ZA MSINGI...
> Mdau wetu anaelezea harakati zake za kuanza na kuacha kufanya mazoezi tangu akiwa chuo kikuu
> Miongoni mwa sababu zake ni kushindwa kula vizuri, kukosa nguo, vifaa, kutokuwa na gari...
Msome hapa https://jamii.app/VisingizioMazoezi

MSEMO WA “KUCHOMOA BETRI” NI DHIHAKA KWA WAHANGA WA AJALI YA MOTO MOROGORO?
Mdau wa JamiiForums ametoa wito kwa Wizara ya Habari kuzuia matumizi ya msemo “kuchomoa betri” kwa magazeti hasa ya michezo akidai unazipa majonzi familia zilizopoteza wapendwa wao
Mjadala > https://jamii.app/MsemoKuchomoaBetri

AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO AKIDAIWA KUMUUA MKEWE
> Wananchi wenye hasira wamemuua kwa kipigo na kisha kumchoma moto Juma Lugomba (61), mkazi wa Kijiji cha Chiwata Mkoani Mtwara, baada ya kudaiwa kumshambulia Yolenda Milanzi (59) kwa shoka na kumuua
Soma - https://jamii.app/MeKifoKuuaMke

ZOEZI LA SENSA LAANZA NCHINI KENYA, WENYE JINSIA MBILI NAO KUHESABIWA
> Zoezi hilo limeanza jana jioni na linatarajiwa kufanyika kwa wiki moja, ikiwa ni sensa ya 6 tangu uhuru wa nchi ya Kenya mwaka 1963
> Kwa mara ya kwanza, watu wenye jinsia 2 wanahesabiwa, baada ya kuwepo kwa shinikizo kubwa kutoka kwa wanaharakati na Mahakama kuamuru watambuliwe
Soma - https://jamii.app/CensusKenya2019

SHAMBULIO LA DUSIT D2: YADAIWA FEDHA ZA KUFADHILI SHAMBULIO ZILITOKA AFRIKA KUSINI
- Wapelelezi wa Kenya wapo Afrika Kusini kuchunguza uhamishwaji wa Takribani Tsh. Bilioni 51.2 kutoka benki moja iliyopo Cape Town kwenda Kenya
Soma https://jamii.app/DusitD2AttackFunds-SA