RWANDA NA UGANDA ZAFANYA MAPATANO YA KUMALIZA MVUTANO KATI YAO
> Wamesaini makubaliano ya amani na kumaliza tofauti zao ambayo yalitiwa saini jana mbele ya Marais, Felix Tshisekedi (DRC), João Lourenço, (Angola) na Denis Sassou-Nguesso (Congo Brazaville) ambao walikuwa wapatanishi katika mgogoro huo
Soma - https://jamii.app/MapatanoRwandaUganda

IRAN: NJIA ZA KIMATAIFA ZA BAHARINI HAZITAKUWA SALAMA
- Imesema iwapo haitoweza kuuza mafuta, njia za Kimataifa za meli za kibiashara hazitakuwa salama
- Imesema huenda ikachukua hatua zisizotabirika kujibu sera zisizotabirika za Marekani
Zaidi, soma https://jamii.app/IranUsalamaBaharini

BUNGE LA UGANDA LAPITISHA SHERIA KUZUIA ADHABU YA KIFO
> Limepitisha sheria inayopinga hukumu ya adhabu ya kifo kwa baadhi ya makosa, na kufanya marekebisho katika sheria 4 ikiwemo sheria ya kupambana na ugaidi
> Kuna wafungwa 133 ambao wamehukumiwa kunyongwa
Soma - https://jamii.app/SitishoHukumuKifo

MICHEZO: Ombi la Barcelona la kumnunua kwa mkopo wa dau la milioni £137 ( zaidi ya bilioni 382 za Kitanzania) pamoja na kumpatia kandarasi ya kudumu mshambuliaji wa Brazil, Neymar (27) limekataliwa na PSG huku mabingwa hao wakiitisha dau la milioni £229 (zaidi ya bilioni 639 za Kitanzania)
> Majadiliano baina ya vilabu hivyo bado hayajaisha, huku wote wakiwa wanahangaikia kuweza kumaliza usajili huo kabla ya September 2 ambapo ni mwisho wa dirisha la usajili

WANAMUZIKI WA SKY MELODIES WAPATA AJALI
> Wanamuziki wa Bendi ya muziki wa dansi ya Sky Melodies wamepata ajali leo katika kijiji cha Sepuka, Singida wakiwa wanatoka kwenye mkesha wa Mwenge
> Chanzo cha ajali ni gari walilokuwa wakisafiria kupata hitilafu katika tairi na kupoteza uelekeo
Soma - https://jamii.app/AjaliSkyMelodies

MICHEZO: Uongozi wa timu ya Mbao FC umemteua Said Khamis Jr kuwa nahodha mpya, akichukua nafasi ya David Mwassa aliyejiunga na Lipuli
> Katibu wa Mbao, Daniel Naila amesema Khamis Jr atasaidiana na Babilas Chitembe na wamefikia uamuzi huo, baada ya kuridhishwa na uwezo wa wawili hao
#JFMichezo

LIGI KUU BARA KURUDI KUWA NA TIMU 16 MSIMU WA 2021/22
- Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema hayo ikiwa bado siku 1 kuanza kwa msimu wa 2019/20
- Amesema msimu huu kutakuwa na timu 20 na msimu wa 2020/21 timu 18
Zaidi, soma https://jamii.app/LigiKuuKurudiTimu16

WANAFUNZI WA SEKONDARI WADAIWA KUMBAKA MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI
> Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbugani Geita (14), anadai kubakwa na wanafunzi 3 wa kidato cha 2 ambao wawili ni wa Shule ya Sekondari Nyanza na mwingine wa Sekondari Geita
> Mmoja kati ya watuhumiwa anashikiliwa na Polisi kwa mahojiano zaidi
Soma - https://jamii.app/UbakajiMwanafunzi

POLISI YAMKAMATA MHARIRI WA WATETEZI TV
- Joseph Gandye amekamatwa kwa madai ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni
- Hivi karibuni, alichapisha ripoti inayohusu tuhuma za Polisi wa Kituo cha Mafinga mkoani Iringa kulazimisha Watuhumiwa kulawitiana
Zaidi, soma https://jamii.app/MhaririWateteziTVAkamatwa

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI 43 WANAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI MBALIMBALI
- Wampongeza Rais Magufuli kwa miradi mikubwa ya kimkakati inayojengwa kwa fedha za Watanzania
- Rais Magufuli amewataka waendelee kutekeleza majukumu na kutafuta wawekezaji
Zaidi, soma https://jamii.app/MafuguliMkutanoMabalozi43

ARUSHA: MWANAFUNZI WA DARASA LA 4 ADAIWA KUJINYONGA HADI KUFA
> Eribariki Lekini (12) anadaiwa kujinyonga hadi kufa juzi saa 11 jioni kwa kutumia kamba ya katani
> Mwili wa mtoto huyo ulikutwa ukining'inia katika nyumba inayoendelea kujengwa na bado sababu haijafahamika ya kujiua kwake
Soma - https://jamii.app/MwanafunziDrs4Ajinyonga

KOREA KUSINI YASITISHA KUPEANA TAARIFA ZA KIJASUSI NA JAPAN
- Imeamua kusitisha makubaliano ya kubadilishana taarifa za kijasusi yaliyoanzishwa ili kubadilishana taarifa juu ya shughuli za nyuklia na makombora ya Korea Kaskazini
Zaidi, soma https://jamii.app/KKusinivsJapan-Ujasusi

GABON: MWANDISHI WA RFI ASIMAMISHWA KUFANYA KAZI KWA MADAI YA KUMKEJELI RAIS
> Mamlaka ya Mawasiliano imetangaza jana kuwa mwandishi Yves-Laurent Goma amepigwa marufuku kwa miezi miwili kufanya kazi yake nchini humo
> Ni baada ya kuripoti kwamba "Rais Ali Bongo hajawahi kusimama na kusalimia Jeshi kama ilivyokuwa wakati wa nyuma"
Soma - https://jamii.app/WritterBannedGabon

MJADALA: JE, NYWELE BANDIA NI MVUTO AU KUDHARAU UAFRIKA?
> Kumekuwa na ongezeko kubwa la wanawake wengi wa kiafrika kuvaa nywele bandia zaidi na kusahau nywele zao za asili. Wengine huzipaka rangi nywele zao za asili au kuzipaka dawa mbalimbali za nywele
> Kwa mtazamo wako unaona nywele bandia ni mvuto tu au ni kutojiamini katika asili yetu ya Afrika?
Fuatilia mjadala - https://jamii.app/NyweleBandiaVsAsili
#JFUrembo

MSITU WA AMAZON WAWAKA MOTO KWA WIKI TATU MFULULIZO
- Rais wa Brazil, Jir Bolsonaro amesema hawana rasilimali za kupambana na moto huo uliovunja rekodi
- Uchunguzi kubaini chanzo unaendelea ila majanga ya moto katika msitu huo ni kawaida
Zaidi, soma https://jamii.app/MotoMsituAmazon

MICHEZO: BODI YA LIGI KUU BARA YAFANYA MABADILIKO KATIKA UENDESHAJI
> Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imebadilisha baadhi ya mfumo wa uendeshaji wa masuala mbalimbali ikiwemo mavazi ya makocha
> Wachezaji wa kigeni hawatapewa leseni za kucheza hadi wapatiwe vibali vya makazi na kazi, pia watakaosajiliwa msimu ujao lazima wawe wanacheza timu za Taifa au ligi kuu nchini mwao
> Pia, timu mwenyeji ndiye atakayetakiwa kuandaa gari la wagonjwa katika mchezo husika pamoja na waokota mipira

WAMAREKANI WAPOTEZA $ 143 MILLION KWA ULAGHAI WA KIMAPENZI MTANDAONI
- Watu 80, wengi wakiwa raia wa Nigeria wanaoishi ‘LA’ wamekamatwa kwa kufanya ulaghai huo
- Walaghai wapo zaidi kwenye 'Dating Apps', ila pia kwenye mitandao kama Facebook
Soma https://jamii.app/UlaghaiMapenziMtandaoni-US
#JFLeo

MAHAKAMA YAKATAA OMBI LA DC WA CHEMBA KUMTALIKI MKEWE
> Mahakama ya Mwanzo Ukonga leo imekataa ombi la Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga kumtaliki Ruth Osoro aliyefunga naye ndoa Serikalini Februari 21, 2010
> Odunga alilalamikiwa na mkewe kwa kutokutoa matunzo ya mtoto kwa miaka 3
Soma - https://jamii.app/MadaiTalakaDCChemba

MHARIRI WA WATETEZI TV BADO ANASHIKILIWA NA POLISI
- Jeshi la Polisi mkoani Iringa limesema limemkamata Joseph Gandye ili awaoneshe Askari waliohusika na kuwalazimisha Watuhumiwa kulawitiana katika Kituo cha Polisi Mafinga
- Inadaiwa atahojiwa upya mkoani Iringa mbele ya RPC na RCO, baada ya Polisi kudai Askari aliyemuhoji awali jijini Dar ameruka baadhi ya vipengele katika mahojiano