MOSHI: MADIWANI WA CCM WAPINGA UAMUZI WA HALMASHAURI KUNUNULIA MADIWANI 'IPAD'
- Wameiomba Serikali kuzuia zaidi ya Tsh. Milioni 104 zinazotarajiwa kutumika
- Wameomba fedha hizo zikarabati miundombinu ya barabara kwenye Halmashauri hiyo
Zaidi, soma https://jamii.app/MadiwaniCCMvsMadiwaniCDM-MSH

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUJIFANYA AFISA WA POLISI
> David Ramadhani Iddy (33) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni kwa kosa la kujifanya Afisa wa Jeshi la Polisi na JKT
> Alikutwa na sare za Polisi, nyota za vyeo mbalimbali, mikanda 3, kofia moja, buti, pingu, redio call na pea moja ya sare za Tunica
Soma - https://jamii.app/KizimbaniAskariFeki
#JFLeo

DAR: KIZIMBANI KWA KUMJERUHI MSICHANA SEHEMU ZA SIRI KWA WEMBE
- Siasa Samwel (30), mkazi wa Tandale ameshtakiwa kwa kumjeruhi Zaina Issah
- Hata hivyo, mtuhumiwa huyo amekana mashtaka hayo anayodaiwa kuyafanya Novemba 15, 2018
Zaidi, soma https://jamii.app/KizimbaniKumkataWembe

DRC: WANANCHI WAANDAMANA MBELE YA OFISI YA RAIS KUTAKA USALAMA
> Maandamano hayo yamefanyika jijini Kinshasa mbele ya Ofisi ya Rais Felix Tshisekedi kumshinikiza atimize ahadi yake aliyoitoa kwenye kampeni ya kuimairisha usalama Mashariki mwa nchi hiyo kutokana na mauaji ya mara kwa mara ya raia
Soma - https://jamii.app/MaandamanoUsalamaDRC

SADC YAIPA BURUNDI MUDA KABLA YA KUKUBALIWA KUJIUNGA SADC
- Imesema baada ya kutathmini ombi la Burundi kutaka kujiunga SADC, imeitaka kufanyia kazi maeneo ambayo hayajakaa vizuri
- Itakuwa nchi ya 2 kutoka EAC kujiunga SADC iwapo itakubaliwa
Zaidi, soma https://jamii.app/BurundiMudaKujiungaSADC

MICHEZO: Imebainika kwamba, mchezaji wa zamani kutoka Ivory Coast, Didier Drogba (41) anawania uongozi wa Shirikisho la Kandanda nchini humo na tayari ameshachukua fomu za kuwania Urais
-
Drogba anatarajiwa kuchuana na mchezaji wa zamani, Bonaventure Kalou ambaye Oktoba 2018 alichaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Vavoua
#JFMichezo

ZIMBABWE: ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS ATANGAZWA KUWA MHALIFU
> Phelekezela Mphoko ametangazwa na mamlaka nchini humo kama Mhalifu aliyekimbia kukamatwa na Kamisheni ya kupambana na rushwa, ZACC
> Alikuwa madarakani 2014-2017 na amekuwa akitafutwa ili kufunguliwa mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi na rushwa
Soma - https://jamii.app/MphokoFledZACC

WIVU WA MAPENZI WATAJWA KUWA CHANZO CHA UKATILI WA KIJINSIA
> Ripoti ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeeleza kuwa wivu wa mapenzi ni sababu ya wanawake kufanyiwa ukatili, ikiwa ni pamoja na kuuawa
> Matukio mengi yameripotiwa Mikoa ya Dodoma, Kagera, Kigoma, Morogoro, Dar es Salaam, Mbeya, Shinyanga na Manyara
Zaidi, soma - https://jamii.app/WivuMapenziUkatiliJinsia

INDONESIA: WAANDAMANAJI WACHOMA MOTO JENGO LA BUNGE
- Waliandamana kupinga kile wanachodai ni kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wanafunzi
- Video ilisambaa mtandaoni ikiwaonesha Polisi wakiwaita 'Nyani' na 'Mbwa' Wanafunzi waliokuwa wamekamatwa
Zaidi, soma https://jamii.app/WaandamanajiMotoBunge-INDSA

MSAJILI WA NGO's AONGEZA SIKU 7 KWA MASHIRIKA YASIYOHUISHA TAARIFA ZAKE
> Ofisi ya msajili wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO's) imeongeza muda wa wiki moja kwa mashirika yasiyohuisha taarifa zake kuweza kufanya hivyo la sivyo yatakuwa yamejiondoa kwenye rejista ya msajili
> Zoezi hilo linafanyika kufuatia kupitishwa kwa marekebisho ya usajili wa NGO’s
Soma - https://jamii.app/NyongezaMudaUsajiliNGO

BURKINA FASO: WANAJESHI 12 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO
- Wapiganaji waliokuwa na bunduki walishambulia Kikosi cha Jeshi Kaskazini mwa nchi hiyo
- Wanajeshi wengine wamejeruhiwa na wengine hawajulikani walipo huku silaha kadhaa zikichukuliwa
Zaidi, soma https://jamii.app/Wanajeshi12Wauawa-BRFS

MAREKANI YAFANYA JARIBIO LA KOMBORA LA NYUKLIA
> Marekani imefanya jaribio la kombora lake la masafa ya kati kwa kurusha kombora hilo katika pwani ya California Jumapili
> Idara ya ulinzi imesema jaribio hilo halijafikia lengo lake la zaidi ya Kilomita 500
Soma - https://jamii.app/USNuclearMissile

MKURUGENZI WA WIZARA KIZIMBANI KWA KUGUSHI NYARAKA ZA OFISI
> Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya Habari, Esther Liwa amefikishwa Mahakama Kisutu kujibu mashtaka 50 yanayomkabili yakiwemo ya kughushi, kutumia nyaraka za uongo kwa lengo la kumdanganya mwajiri, ubadhirifu na ufujaji wa fedha zaidi ya Tsh. Milioni 5
Soma - https://jamii.app/KizimbaniKugushiNyaraka

SUDAN: VIONGOZI WA UPINZANI NA JESHI WAUNDA BARAZA LA MPITO KUONGOZA NCHI
- Baraza hilo linalotarajiwa kuapishwa leo, litaiongoza nchi katika kipindi cha mpito cha miaka mitatu
- Litakuwa na Wajumbe sita wa kiraia na Maafisa watano wa ngazi za Juu za Jeshi
Zaidi, soma https://jamii.app/Jeshi-Upinzani-BarazaSDN

MICHEZO: Kiungo wa Yanga, Edward Maka (19) amejiunga na Klabu ya Atheletico De Tetuan inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Morocco kwa mkataba wa miaka minne
-
Maka, ambaye alibakiza mkataba wa mwaka mmoja na Yanga, aliondoka mapema mwezi Juni kwenda nchini Latvia kufanya majaribio na Klabu ya Spartaks Jurmala, lakini baadaye alirejea na kuibukia Morocco

DRC: IDARA YA UJASUSI YAAGIZA KUFANYIKE UKAGUZI WA FEDHA KWENYE WIZARA
> Idara ya ujasusi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imemuagiza Mkaguzi Mkuu wa Fedha kufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha kwenye Wizara mbalimbali tangu kutawazwa kwa Rais Felix Tshisekedi mwezi Januari mwaka huu
> Ni baada ya kuwepo kwa malalamiko kuhusu kukithiri kwa ufisadi katika Wizara
Soma - https://jamii.app/UkaguziFedhaWizara

ARUSHA: MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MKEWE
- Dereva wa kampuni ya utalii ya Mt. Kilimanjaro Safari's, Julius Kabora (45) mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mkewe Rehema Elihudi (31)
- Marehemu alikutwa chumbani kwake sakafuni akiwa amefariki
Zaidi, soma https://jamii.app/MbaroniTuhumaMauaji-AR

ATCL: BOMBARDIER ILIFANYIWA MATENGENEZO KWA SIKU MOJA NA INAENDELEA NA SAFARI
- Imesema ndege hiyo ilikuwa na hitilafu na ilitengenezwa kuanzia Jumatatu mchana hadi jana mchana
- Aidha, ATCL imeongeza kuwa ndege inaweza kupata hitilafu kwa kuwa ni mashine
Zaidi, soma https://jamii.app/BombardierIlitengenezwaSiku1-ATCL