KILO 300 ZA MIRUNGI ZAKAMATWA ZIKIDHANIWA KUWA MAJANI YA MLONGE
> Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, imefanikiwa kukamata kilo 300 za Dawa za Kulevya aina ya Mirungi ambayo ilikuwa ikisafirishwa kwenda nchi za Ulaya ikidaiwa kuwa ni majani ya Mlonge
> Katika tukio hilo watuhumiwa wawili wamekamatwa kwa uchunguzi zaidi
Soma - https://jamii.app/MirungiKg300Yakamatwa
#JFLeo

WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWA KUKUTWA NA NYAMA YA PUNDAMILIA
-
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara, imewahukumu miaka 20 jela kila mmoja washtakiwa 4 kwa kosa la uhujumu uchumi
> Walikutwa na nyama hiyo yenye thamani ya shilingi 2,616,000 na miguu ya mnyama huyo
Soma - https://jamii.app/KifungoNyamaPundamilia

MOROGORO: MWALIMU MSTAAFU ATAPELIWA MILIONI 60
> Matapeli hao walikutana na mstaafu maeneo ya Benki ya NMB, Ifakara na kumtaka wafanye biashara ya madini ya dhahabu
> Baada ya kupokea pesa, watuhumiwa hao walimkabidhi mstaafu box lenye gololi za baiskeli
Soma https://jamii.app/MstaafuAtapeliwaMorogoro

MICHEZO: Mchezaji wa Timu ya taifa ya Senegal na klabu ya Club Brugge ya Ubelgiji, Krepin Diatta (20) yupo Jijini Arusha kwa ajili ya mapumziko na kutalii kwa ofa ya Waziri Kigwangalla
-
Amekuja baada ya kumaliza michuano ya AFCON2019 ambapo Senegal ilipoteza mchezo wake wa fainali kwa kufungwa na Algeria
#JFMichezo

WATU 8 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA MATETEMEKO 3 KUTOKEA KASKAZINI MWA UFILIPINO
> Takribani watu 60 wamejeruhiwa huku majengo yakiharibiwa vibaya
> Tetemeko la kwanza lilikuwa na ukubwa wa kipimo cha 5.4, la pili 5.9 na la tatu 5.7
Zaidi, soma => https://jamii.app/Tetemeko-Ufilipino

MAHUJAJI WA DRC WAZUIWA KUINGIA SAUDI ARABIA SABABU YA EBOLA
> Nchi ya Saudi Arabia imegoma kutoa hati ya kusafiria ‘Viza’ kwa mahujaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ikihofia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola
> Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imesema uamuzi huo ni ili kulinda usalama wa mahujaji kutoka katika mataifa mengine
Soma - https://jamii.app/MakkaBansDRC

BABA LEVO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU KWENYE MASHTAKA YA KUMPIGA POLISI
> Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga Mkoani Kigoma, imemkuta na kesi ya kujibu Diwani wa Kata ya Mwanga, Revocatus Kipando (Baba Levo), baada ya kutuhumiwa kufanya shambulio kwa Askari wa usalama barabarani akiwa kazini July 15
Soma - https://jamii.app/BabalevoKesiShambulizi

MKUTANO NCCR: MBATIA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI, AMUOMBA ARIDHIE MEZA YA MARIDHIANO NA WAPINZANI
> Mwenyekiti wa NCCR, James Mbatia amempongeza Rais Magufuli kwa jitihada za kudhibiti rushwa, uhalifu, elimu bure na ujenzi wa miundombinu
Soma => https://jamii.app/Mkutano-NCCR

NAIBU MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA: SERIKALI INACHUKIZWA NA WAPINZANI WASIOFUATA TARATIBU ZA NCHI
> Sisty Nyahoza, ametoa kauli hiyo jana ktk mkutano wa chama cha NCCR
> Asema anakiona chama hicho ndio chama cha kuigwa na vyama vingine
Soma > https://jamii.app/MsajiliVsNCCRj

KIGALI, RWANDA: WAFUASI WA UPINZANI WAENDELEA KUTOWEKA
> Eugene Ndereyimana mwanachama wa FDU-Inkingi ametoweka wakati akienda kuongea na Wananchi wa Mji wa Nyagatare
> Anakuwa mtu wa 5 kutoka FDU-Inkingi kutoweka katika mazingira tata
Soma > https://jamii.app/WapinzaniVsRwandaGvt

RTO WA ARUSHA AONDOLEWA MADARAKANI KWA KUITA MAAGIZO YA LUGOLA ‘YA KISIASA’
- Charles Bukombe amevuliwa madaraka akidaiwa kupuuza maagizo ya Waziri Lugola
- Pia, Katibu Mkuu wa wizara ameagizwa kumchukulia hatua za kinidhamu
Zaidi, soma https://jamii.app/RTO-AR-AvuliwaMadaraka

ALASKA: MAREKANI NA ISRAEL ZAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA
- Zasema majaribio ya mfumo wa pamoja wa makombora ya ulinzi ya aina ya Arrow-3 yamefanikiwa
- Maafisa wa ulinzi wa Marekani wamesema makombora hayo yanaweza kwenda umbali mrefu
Zaidi, soma https://jamii.app/USA-IsraelArrow-3

SUDAN: MAAFISA 8 WA JESHI KUSHITAKIWA KWA MAKOSA YA UHALIFU DHIDI YA BINADAMU
- Wanadaiwa kushiriki mauaji ya Waandamanaji walipokuwa wakiwatawanya Juni 03, 2019
- Ni baada ya kufanyika uchunguzi na kubainika watu 87 waliuawa katika tukio hilo
Zaidi, soma https://jamii.app/WanajeshiKushtakiwa-Sudan

NIGERIA: IDADI YA WATU WALIOKUFA KATIKA SHAMBULIO LA BOKO HARAM YAFIKIA 65
> Watu hao wameuawa baada ya Kikundi cha Kigaidi cha Wanamgambo wa Boko Haram kufanya shambulio katika shughuli ya mazishi mwisho wa wiki iliyopita
Zaidi, soma => https://jamii.app/BokoHaram-Borno

DR CONGO: WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA MADINI WATEKWA
- Wafanyakazi wa Banro Mining hawajulikani waliko baada ya kutekwa Ijumaa, Julai 26 kwenye mgodi wa Namoya
- Watu waliotambuliwa kama wanamgambo wa Mai Mai Malaika wamehusishwa na utekaji
Zaidi, soma https://jamii.app/WafanyakaziWatekwa-DRC

PAUL MAKONDA: WASIOFUA NGUO, KUNYOOSHA, KUOGA WASIONEKANE MJINI HADI MKUTANO WA SADC UMALIZIKE
> Amesema kwenda mjini bila kunyoosha nguo na kuoga ni marufuku
> Wapo wanaotembea na chawa. Kama huwezi kuwa msafi basi subiri mkutano upite
Soma > https://jamii.app/Makonda-WachafuDa

SONGWE: MFANYABIASHARA ALIYEWAUZIA WAKULIMA MBEGU FEKI ATAKIWA KUKAMATWA
- Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametoa agizo hilo kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, John Palingo
- Kutokana na kitendo hicho mfanyabiashara huyo anadaiwa kuathiri mavuno
Zaidi, soma https://jamii.app/MuuzajiMbeguFekiKukamatwa

HAI: MBOWE ATAKIWA KUSITISHA ZIARA KUTOKANA NA ZIARA ZA DC SABAYA
- Freeman Mbowe ametakiwa kusitisha ziara jimboni kwake kwani DC Ole Sabaya ana ziara Wilayani hapo
- Polisi imedai kuingiliana kwa ziara kunaweza kusababisha uvunjifu wa amani
Zaidi, soma https://jamii.app/MboweAzuiwaMikutano

MKURUGENZI MSAIDIZI WA MIRADI YA EU NCHINI AKUTWA AMEFARIKI
- Leopold Lwajabe amekutwa amefariki Wilayani Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita
- Wizara ya Fedha imesema imepata taarifa ya kifo wakati ikijiandaa kutoa taarifa ya kumtafuta
Zaidi, soma https://jamii.app/LeopoldKitengoEUAfariki