AFISA WA JESHI ALIYEKABIDHI MILIONI 95 ALIZOOKOTA APANDISHWA CHEO
> Afisa wa Jeshi la Anga la Nigeria, ACM Bashir Umar aliyerejesha mkoba aliouokota kazini ukiwa na fedha sawa na Tsh. Milioni 95.2 amepandishwa cheo kwa ngazi mbili
> Kwa utaratibu, ingemchukua Umar takribani miaka 10 kufikia ngazi hiyo
Soma - https://jamii.app/OfficerPromotedEuro37000

MICHEZO: Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ndayiragije Etienne amemteua John Bocco kuwa nahodha wa timu kwa wachezaji wa Ndani, akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni
> Timu hiyo inajiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya utakaochezwa Julai 28, Dar
#JFMichezo

MKUKI WATAKA WALIOSAMBAZA PICHA ZA WATUHUMIWA WASHTAKIWE
> Mtandao wa kupinga Ukatili wa Kijinsia umesikitishwa na vitendo vya kusambazwa kwa picha zinazoonesha wanawake 4, waliokuwa wakituhumiwa na kushikiliwa katika kituo cha polisi cha Mburahati kwa makosa ya jinai
> Mtandao huo hautosita kuchukua sheria, ikiwemo kufungua mashtaka kwa wahusika wa tukio hilo
Soma - https://jamii.app/UdhalilishajiWatuhumiwaKE

TAARIFA IKULU: Rais John Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya Tsh. Bilioni 15.3 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya kugharamia matumizi ya Mamlaka ya Usafiri wa Reli Tanzania na Zambia (TAZARA)
-
Fedha hizo zilitolewa na Serikali kwa ajili ya ukarabati wa injini 7 ambazo zingewezesha kusafirisha tani laki 4 za mizigo

KIFAHAMU KILIMO CHA BUSTANI NA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
- Kilimo cha bustani kinahusika na uzalishaji wa mazao ya aina ya mboga, matunda, viungo na mimea ya mapambo
- Je, unafahamu kanuni zake na mambo ya kuzingatia katika uzalishaji?
Kufahamu zaidi | Soma > https://jamii.app/Kilimo-Bustani

KILO 300 ZA MIRUNGI ZAKAMATWA ZIKIDHANIWA KUWA MAJANI YA MLONGE
> Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, imefanikiwa kukamata kilo 300 za Dawa za Kulevya aina ya Mirungi ambayo ilikuwa ikisafirishwa kwenda nchi za Ulaya ikidaiwa kuwa ni majani ya Mlonge
> Katika tukio hilo watuhumiwa wawili wamekamatwa kwa uchunguzi zaidi
Soma - https://jamii.app/MirungiKg300Yakamatwa
#JFLeo

WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWA KUKUTWA NA NYAMA YA PUNDAMILIA
-
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara, imewahukumu miaka 20 jela kila mmoja washtakiwa 4 kwa kosa la uhujumu uchumi
> Walikutwa na nyama hiyo yenye thamani ya shilingi 2,616,000 na miguu ya mnyama huyo
Soma - https://jamii.app/KifungoNyamaPundamilia

MOROGORO: MWALIMU MSTAAFU ATAPELIWA MILIONI 60
> Matapeli hao walikutana na mstaafu maeneo ya Benki ya NMB, Ifakara na kumtaka wafanye biashara ya madini ya dhahabu
> Baada ya kupokea pesa, watuhumiwa hao walimkabidhi mstaafu box lenye gololi za baiskeli
Soma https://jamii.app/MstaafuAtapeliwaMorogoro

MICHEZO: Mchezaji wa Timu ya taifa ya Senegal na klabu ya Club Brugge ya Ubelgiji, Krepin Diatta (20) yupo Jijini Arusha kwa ajili ya mapumziko na kutalii kwa ofa ya Waziri Kigwangalla
-
Amekuja baada ya kumaliza michuano ya AFCON2019 ambapo Senegal ilipoteza mchezo wake wa fainali kwa kufungwa na Algeria

WATU 8 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA MATETEMEKO 3 KUTOKEA KASKAZINI MWA UFILIPINO
> Takribani watu 60 wamejeruhiwa huku majengo yakiharibiwa vibaya
> Tetemeko la kwanza lilikuwa na ukubwa wa kipimo cha 5.4, la pili 5.9 na la tatu 5.7
Zaidi, soma => https://jamii.app/Tetemeko-Ufilipino

MAHUJAJI WA DRC WAZUIWA KUINGIA SAUDI ARABIA SABABU YA EBOLA
> Nchi ya Saudi Arabia imegoma kutoa hati ya kusafiria ‘Viza’ kwa mahujaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ikihofia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola
> Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imesema uamuzi huo ni ili kulinda usalama wa mahujaji kutoka katika mataifa mengine
Soma - https://jamii.app/MakkaBansDRC

BABA LEVO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU KWENYE MASHTAKA YA KUMPIGA POLISI
> Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga Mkoani Kigoma, imemkuta na kesi ya kujibu Diwani wa Kata ya Mwanga, Revocatus Kipando (Baba Levo), baada ya kutuhumiwa kufanya shambulio kwa Askari wa usalama barabarani akiwa kazini July 15
Soma - https://jamii.app/BabalevoKesiShambulizi

MKUTANO NCCR: MBATIA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI, AMUOMBA ARIDHIE MEZA YA MARIDHIANO NA WAPINZANI
> Mwenyekiti wa NCCR, James Mbatia amempongeza Rais Magufuli kwa jitihada za kudhibiti rushwa, uhalifu, elimu bure na ujenzi wa miundombinu
Soma => https://jamii.app/Mkutano-NCCR

NAIBU MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA: SERIKALI INACHUKIZWA NA WAPINZANI WASIOFUATA TARATIBU ZA NCHI
> Sisty Nyahoza, ametoa kauli hiyo jana ktk mkutano wa chama cha NCCR
> Asema anakiona chama hicho ndio chama cha kuigwa na vyama vingine
Soma > https://jamii.app/MsajiliVsNCCRj

KIGALI, RWANDA: WAFUASI WA UPINZANI WAENDELEA KUTOWEKA
> Eugene Ndereyimana mwanachama wa FDU-Inkingi ametoweka wakati akienda kuongea na Wananchi wa Mji wa Nyagatare
> Anakuwa mtu wa 5 kutoka FDU-Inkingi kutoweka katika mazingira tata
Soma > https://jamii.app/WapinzaniVsRwandaGvt

RTO WA ARUSHA AONDOLEWA MADARAKANI KWA KUITA MAAGIZO YA LUGOLA ‘YA KISIASA’
- Charles Bukombe amevuliwa madaraka akidaiwa kupuuza maagizo ya Waziri Lugola
- Pia, Katibu Mkuu wa wizara ameagizwa kumchukulia hatua za kinidhamu
Zaidi, soma https://jamii.app/RTO-AR-AvuliwaMadaraka

ALASKA: MAREKANI NA ISRAEL ZAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA
- Zasema majaribio ya mfumo wa pamoja wa makombora ya ulinzi ya aina ya Arrow-3 yamefanikiwa
- Maafisa wa ulinzi wa Marekani wamesema makombora hayo yanaweza kwenda umbali mrefu
Zaidi, soma https://jamii.app/USA-IsraelArrow-3

SUDAN: MAAFISA 8 WA JESHI KUSHITAKIWA KWA MAKOSA YA UHALIFU DHIDI YA BINADAMU
- Wanadaiwa kushiriki mauaji ya Waandamanaji walipokuwa wakiwatawanya Juni 03, 2019
- Ni baada ya kufanyika uchunguzi na kubainika watu 87 waliuawa katika tukio hilo
Zaidi, soma https://jamii.app/WanajeshiKushtakiwa-Sudan

NIGERIA: IDADI YA WATU WALIOKUFA KATIKA SHAMBULIO LA BOKO HARAM YAFIKIA 65
> Watu hao wameuawa baada ya Kikundi cha Kigaidi cha Wanamgambo wa Boko Haram kufanya shambulio katika shughuli ya mazishi mwisho wa wiki iliyopita
Zaidi, soma => https://jamii.app/BokoHaram-Borno