KUTEKWA MO DEWJI: HATI YA KUKAMATWA KWA RAIA 5 WA KIGENI YATOLEWA
> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kuwakamata raia 4 wa Msumbiji na 1 wa Afrika Kusini ili wafikishwe kizimbani na kuunganishwa katika mashtaka ya kumteka Mfanyabiashara Mohammed Dewji
> Wanaosakwa ni Henrique Simbine, Daniel Manchice, Issa Tomo, Zacarious Junior na raia wa Afrika Kusini, Phila Tshabalala
Soma - https://jamii.app/ForeignersDewjiAbduction

UINGEREZA: BORIS JOHNSON ATARAJIWA KUWA WAZIRI MKUU MPYA
> Hii ni baada ya kuchaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Chama cha Wahafidhina (Conservative)
> Johnson amepata kura 92,153 dhidi ya kura 46,656 alizozipata Jeremy Hunt
Soma > https://jamii.app/BorisKiongoziTory

MALINZI NA MWESIGA WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU
> Wengine ni aliyekuwa Mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga, na aliyekuwa Karani, Flora Rauya
> Aidha, aliyekuwa Meneja wa TFF, Mariam Zayumba ameachiwa huru. Kesi imeahirishwa hadi Agosti 6, 2019
Soma > https://jamii.app/Malinzi-MwesigaKesi

KENYA: WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI WATAKA KUMUUA MWENZAO KISA MAPENZI
> Wanafunzi 3 wa shule ya upili ya wasichana ya Makueni wanazuiliwa katika kituo cha Polisi cha Makueni kwa jaribio la kumuua mwenzao kwa kumuwekea sumu kwenye chakula
> Walitumia kemikali walizoiba katika maabara ya shule ili kumuua Faustine Kivuva(15) anayemng’ang’ania mvulana wa shule ya wavulana ya Makueni
Soma https://jamii.app/WanafunziMauajiMpnz

AFRIKA KUSINI: MAHAKAMA YAIZUIA SERIKALI YA ZAMBIA KUIUZA KAMPUNI YA UCHIMBAJI WA SHABA YA KONKOLA
> Uamuzi umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu, Leicester Adams
> Serikali ya Zambia imemshauri Mwanasheria Mkuu kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo
Soma > https://jamii.app/KMCVsZambiaGvt

IKULU, DAR: RAIS MAGUFULI KUSHUHUDIA MAKABIDHIANO YA DHAHABU
- Atashuhudia makabidhiano ya dhahabu iliyokamatwa nchini Kenya itakayowasilishwa na Mjumbe Maalum wa Rais Kenyatta
- Makabidhiano hayo yatafanyika leo kuanzia saa 4:00 asubuhi
Zaidi, soma https://jamii.app/MagufuliKupokeaDhahabu-KE

ZANZIBAR: WATU 8 WAHOFIWA KUFA BAADA YA BOTI KUPOTEA BAHARINI
> Upepo mkali uliotoka jana katika mji wa Mcheweni Pemba umepelekea kupotea kwa boti mbili zikiwa na jumla ya watu 8
> Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba amesema licha ya juhudi za uokozi lakini bado watu hao hawajaonekana wala hawajapata taarifa yoyote hadi sasa
Soma - https://jamii.app/KupoteaBotiUpepo

KENYA: MUME AMCHOMA KISU 'HOUSEBOY' BAADA YA KUMFUMANIA NA MKE WAKE
> Kijana huyo mkazi katika Kaunti ya Kirinyaga maisha yake yako hatarini baada ya kuchomwa kisu na bosi wake ambaye alimkuta kitandani na mkewe
> Inadaiwa mume huyo aliondoka kuelekea kazini, lakini akagundua alikuwa amesahau kitambulisho ndipo alishangaa kumkuta mfanyakazi huyo kitandani na mkewe
Soma - https://jamii.app/BosiKisuHouseboy

IMF: UCHUMI WA DUNIA WAZIDI KUDORORORA
> Ripoti mpya ya robo mwaka ya Shirika la Fedha Duniani, imeonesha ukuaji mdogo wa uchumi kidunia huku ikionya kuhusu vita vya kibiashara
> Uchumi wa dunia umeendelea kukua kwa kasi ndogo ambapo katika mwaka 2019 unatarajiwa utakuwa kwa 3.2% na 3.5% kwa mwaka 2020
Soma - https://jamii.app/DecreaseWorldEconomy

SUDAN: WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WAANDAMANA KUPINGA UTAWALA
> Wanashinikiza kupatikana kwa haki kwa wanafunzi wenzao waliouawa wakati wa maandamano ya kuuangusha utawala wa Rais Omar al-Bashir
> Baadhi ya wanafunzi hawataki kulipwa fidia na Serikali, badala yake wanataka waliohusika wauawe kama walivyouawa wenzao
Soma - https://jamii.app/UnivStudentsRiots

BONDIA RAIA WA URUSI, MAXIM DADASHEV AFARIKI BAADA YA KUJERUHIWA KATIKA PAMBANO
> Maxim Dadashev ameaga dunia baada ya kumaliza pambano lake na bondia, Subriel Matias raia wa Puerto Rico
> Madaktari walioufanyia uchunguzi mwili wa Dadashev wameeleza kuwa kifo cha bondia huyo kimesababishwa na majeraha makubwa aliyoyapata katika ubongo wake
Soma > https://jamii.app/RIPDadashev

UNGUJA: FUNDI GEREJI AFARIKI BAADA YA KUANGUKIWA NA GARI
> Ali Ameir Mshenga (14) mkaazi wa Mtoni Kidatu, amefariki mara baada ya kuangukiwa na gari wakati alipokuwa anafungua ringi la gari hiyo
> Marehemu alikuwa anafungua ringi la gari aina ya Toyota Haice ndipo jeki ilipotenguka na kumlalia na kusababisha kifo chake
Soma - https://jamii.app/AjaliKifoGereji

BABA NA MTOTO MBARONI KWA KUMUUA MTOTO WA JIRANI
> Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia baba na mtoto wake (8) kwa tuhuma za kumuua mtoto wa jirani yao mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 7 kwa kumkata mapanga kichwani
> Mdogo wa mtuhumiwa alieleza alimuona dada yake akimuua mtoto huyo kwa kutumia panga kisha kumuweka shambani
Soma - https://jamii.app/MtotoAuaMtoto

KENYA: WANAFUNZI WALIOTAKA KUMUUA MWENZAO WAFUKUZWA SHULE
> Wanafunzi 3 ambao walipanga kumtilia sumu mwenzao katika Shule ya Wasichana ya Makueni kuhusiana na mzozo dhidi ya mvulana wamefukuzwa shule leo
> Walishirikiana kumtilia sumu mwenzao katika chakula, baada ya kuiba kemikali katika maabara ya shule
Soma - https://jamii.app/WanafunziMauajiMpnz

TARIME: FISI AUA MTOTO NA KUJERUHI WATU WATATU
> Fisi anayedhaniwa kuwa na kichaa amemuua mtoto wa miaka mitatu na kujeruhi watu wengine watatu akiwemo baba wa mtoto huyo, Osango Nyawino
> Fisi huyo alivamia mji wa Osango na kumjeruhi mtoto huyo tumboni hali iliyosababisha kifo chake na kisha kwenda kuvamia miji mingine ukiwamo wa Adikus Akwanyo na kujeruhi ng’ombe 2
#JFLeo

UTEUZI: RAIS MAGUFULI AMTEUA EDWARD MPOGOLO KUWA MKUU WA WILAYA YA IKUNGI, SINGIDA
> Anakwenda kuchukua nafasi ya Miraji Mtaturu aliyechaguliwa kuwa Mbunge wa Singida Mashariki
> Kabla ya uteuzi alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma
Soma > https://jamii.app/MpogoloDCIkungi

NIGERIA YAINGIA MAKUBALIANO NA SIEMENS KWA AJILI YA KUTATUA TATIZO LA NISHATI YA UMEME
> Serikali ya Nigeria imeingia makubaliano hayo ili kuhakikisha nchi hiyo inapata umeme wa uhakika ifikapo mwaka 2025
> Miundombinu itakayojengwa na kampuni hiyo itazalisha Megawati 25,000 za umeme ifikapo mwaka 2025
Zaidi, soma => https://jamii.app/NigeriaVsSiemens

WAVUVI 8 WALIOPOTEA BAHARINI: WATATU WAPATIKANA KENYA WAKIWA HAI
> Wavuvi 3 kati ya 8 wa kijiji cha Shumba Wilaya ya Micheweni Pemba, waliokuwa wamepotea kwenye boti 2 wamepatikana wakiwa hai eneo la Watamu nchini Kenya huku mwenzao 1 akihofiwa kufariki
> Ambao hawajaonekana na wala hakuna taarifa zao ni pamoja na Kombo Fakih Mwalimu (55), Mwalimu Bosi Faki (32), Said Ali Omar (50) na Omar Kombo Fakih (25), waliokuwa chombo kimoja

AHUKUMIWA MIAKA 2 JELA KWA KUMUUA MKE WAKE BILA KUKUSUDIA
> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mhandisi Novat Kaberwa baada ya kukiri kumuua Clara Munisi bila kukusudia
> Anadaiwa kumpiga mke wake baada ya kurudi nyumbani usiku na kukuta watoto wameshinda njaa huku marehemu akiwa ameenda kulewa kwa kutumia hela ya matumizi aliyomuachia
Soma - https://jamii.app/JelaKuuaBilaKusudio

NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO KWENYE KATA 13 TANZANIA BARA
> Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa Kata 13 ambao utafanyika Agosti 17, 2019 na fomu za uteuzi wa wagombea zitatolewa kati ya Julai 29 Julai mpaka Agosti 03
> Baadhi ya kata ni pamoja na Laroi, Lemanyata na Likiding’a (Arusha), Kimokouwa (Longido), Kwembe (Ubungo), Izigo (Muleba), Mahida (Rombo)
Soma - https://jamii.app/UchaguziKata13