BURUNDI YAADHIMISHA MIAKA 57 TANGU KUPATA UHURU
> Wananchi wa Burundi leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 57 tangu Taifa hilo lilipojipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Ubelgiji Julai 1, 1962
> Miaka 57 inatimia huku Wanasiasa wengi wa upinzani wako ukimbizini na watu zaidi ya 300,000 wamekimbilia nchi jirani
Soma https://jamii.app/BRN57Independence

KILIMANJARO: MFUNGWA AJIUA KWA KUJIKATA NA WEMBE GEREZANI
> Agustino Moshi (70) aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa ubakaji, amejiua kwa kujikata mara tatu kwenye mshipa wa fahamu shingoni akiwa kwenye Gereza la Karanga
> Ni baada ya kuzozana na Askari kuhusu kufanya kazi za shambani
Soma - https://jamii.app/MfungwaAjiuaKLM

ZITTO KABWE: WATEKAJI MWACHIENI ONGANGI HANA TAARIFA MNAZOHITAJI
> Zitto amehusisha tukio la kudukuliwa kwa mitandao yake ya Kijamii na kutekwa kwa msaidizi wake, Raphel Ongangi
> Amewasihi watekaji hao wamuache Raphael mahali popote kisha wao watakwenda kumchukua
Soma => https://jamii.app/ZittoKutekwaOgangi

MICHEZO: Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameihakikishia Tanzania ushindi leo dhidi ya Algeria baada ya kukosa nafasi ya kusonga mbele kutokana na kufanya vibaya katika mechi 2
> Mechi hiyo itachezwa saa 4 usiku kwenye Uwanja wa Al Salaam
#JFMichezo #AFCON2019

SIMIYU: PAMBA YAKWAMA KWENYE MAGHALA, WAKULIMA WAZUIA MAGARI
> Wameyazuia magari hayo baada ya kutolipwa fedha zao tangu msimu wa mauzo ufunguliwe
> Wakulima wamekuwa wakishinda na kulala kwenye maghala wakishinikiza walipwe madai yao
Zaidi, soma => https://jamii.app/WakulimaPamba

TANGA: KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA MRADI WA DARAJA
> Mkongea Ally amegoma kuzindua mradi wa Daraja la Mfuto lililopo eneo la Bwawani, Wilayani Handeni, kutokana na ujenzi wake kutozingatia ushauri wa kitaalamu
> Ametoa wiki mbili kwa Mhandisi wa Wilaya kuhakikisha anafanya upya vipimo vya mradi ili kujiridhisha na ubora malighafi zilizotumika
Soma - https://jamii.app/MgomoMradiMwenge

JAPAN YAWEKA VIKWAZO UUZAJI WA VIFAA VYAKE VYA TEKNOLOJIA, KOREA KUSINI
> Wizara ya Uchumi, Biashara na Viwanda ya Japan imesema kuanzia Julai 04, 2019 kampuni za Japan zitahitajika kuomba kibali cha binafsi ili kuuza vifaa vya kiteknolojia vikiwemo vya kutengenezea simu za mkononi
> Uamuzi huo umeifanya Korea Kusini kuwasilisha waraka wa malalamiko kwa Shirika la Kibiashara Duniani
Soma - https://jamii.app/JapanDeniesTechSK
#JFLeo

CHALINZE, PWANI: WATU WAWILI WAUAWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI
> Damian Kimiti(70) ameuawa kwa kupigwa shoka na kuporwa simu 3 aina ya tecno, solar paneli, shuka na baiskeli
> Ngurai Waziri(33) mfugaji huko Msolwa kijiji cha Lukenge ameuawa kwa kukatwa kwa visu akidaiwa kuwa mwizi wa mifugo
Soma https://jamii.app/Mauaji2Chalinze

MAHUSIANO: Kuishi na Wanaume walevi wa Pombe, Sigara au Bangi kunadaiwa kuwa kero kwa Wanawake wengi hasa ambao wameolewa
- Nini kinachoweza kusaidia Wanaume hao kuacha ulevi huo?
Kutana na mjadala wa wahanga wa tatizo hilo hapa => https://jamii.app/WanaumeUlevi

SRI LANKA YAKATAA WITO WA UN KUTAKA ISITEKELEZE ADHABU YA KIFO
-
Rais Maithiripala Sirisena amekataa wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres wa kuangazia upya shinikizo lake la kurejesha upya adhabu ya kifo nchini humo baada ya miaka 43
-
Rais Sirisena amesema, amemueleza Katibu Mkuu huyo katika mazungumzo yao kupitia simu kwamba anataka kuinusuru nchi yake na tatizo la #DawaZaKulevya

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KYELA
> Uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bi. Lucy Mganga umetenguliwa kwa utendaji usioridhisha
> Mkurugenzi mpya wa Halmashauri hiyo atateuliwa hapo baadaye
Zaidi, soma => https://jamii.app/UtenguziDEDKyela

#AFCON2019: Timu ya Taifa ya #Tanzania ‘#TaifaStars’ imefungwa goli 2-0 na timu ya Taifa ya #Algeria katika mchezo wa kumalizia hatua ya makundi unaoendelea nchini Misri
- Aidha, mchezo kati ya timu ya Taifa ya #Kenya ‘#HarambeeStars’ na #Senegal unaendelea wakiwa bado 0-0

#AFCON2019: Timu ya Taifa ya #Tanzania ‘#TaifaStars’ imefungwa goli 3-0 na timu ya Taifa ya #Algeria katika mchezo wa kumalizia hatua ya makundi uliopo mapumziko sasa
- Aidha, mchezo kati ya #Kenya ‘#HarambeeStars’ na #Senegal umeenda mapumziko pia wakiwa bado 0-0

#AFCON2019: Timu ya Taifa ya #Kenya ‘#HarambeeStars’ imefungwa goli 3-0 na timu ya Taifa ya #Senagal katika mchezo wa kumalizia hatua ya makundi unaoendelea hivi sasa
- Katika mchezo mwingine Timu ya Taifa ya #Tanzania '#TaifaStars nayo iko nyuma kwa mabao 3 kwa 0 dhidi ya Algeria

#AFCON2019: Michezo miwili iliyozihusisha timu kutoka Afrika Mashariki imemalizika kwa timu ya Taifa ya #Kenya ‘#HarambeeStars’ na timu ya Taifa ya #Tanzania '#TaifaStars’ zote mbili kufungwa mabao 3-0 kila moja
- Tanzania ilikuwa akicheza na Algeria huku Kenya ikicheza dhidi ya Senegal

URUSI: KIONGOZI WA UPINZANI AFUNGWA JELA SIKU 10 KWA KUANDAMANA
> Alexei Navalny alishiriki maandamano ya kupinga kukamatwa kwa Mwanahabari, Ivan Golunov
> Golunov alikamatwa kwa tuhuma za #DawaZaKulevya tuhuma zilizofutwa siku 2 baadaye kwa kukosa ushahidi
Soma > https://jamii.app/NavalnyAfungwa