GEITA: TAKUKURU YAWASHIKILIA WATUMISHI 3 WA TRA KWA KUOMBA RUSHWA
> Wanatuhumiwa kwa kuwafanyia makadirio ya juu Wafanyabiashara na baadaye kuwaomba rushwa ili washushiwe makadirio
> Wanaoshikiliwa ni Sadick Lutenge, Amza Rugemalira na Elias Msula
Soma > https://jamii.app/TakukuruVsTRAGeita

JESHI LA POLISI LIMEWATAMBUA WALIOSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WA KIU
> Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Jeshi la Polisi limewatambua wahusika
> Ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali wahalifu ili liwe fundisho
Soma > https://jamii.app/MasauniVsKifoMwanafunziKIU

CHINA YAIONYA MAREKANI KUHUSU KUTUMA WANAJESHI MASHARIKI YA KATI
- Ni baada ya Marekani kutangaza kutuma Wanajeshi 1,000 wa ziada katika eneo la Mashariki ya Kati
- Aidha, imeisihi Iran kutojitenga na makubaliano ya nyuklia kiurahisi
Zaidi, soma https://jamii.app/ChinaYaionyaUSA

BUNGENI: Wabunge wa CHADEMA, Esther Matiko, John Heche na Dkt. Emmaculate Sware walitolewa Bungeni wakipinga Dkt. Tulia kumtaka Augustine Vuma(CCM) kuomba radhi kwa alichokizungumza wakati akichana kitabu cha hotuba ya Upinzani na si kitendo chake cha kuchana kitabu
Zaidi, soma https://jamii.app/WabungeCDMWatolewaBungeni

ETHIOPIA: INTERNET YAREJEA BAADA YA KUKATWA KWA WIKI MOJA
> Huduma hiyo imerejeshwa leo baada ya mtandao kuzimwa kwa muda wa wiki moja
> Yadaiwa 'internet' ilizimwa ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani ya Taifa ya Sekondari
Zaidi, soma => https://jamii.app/EthiopiaInternet

ORLANDO, MAREKANI: RAIS DONALD TRUMP AZINDUA KAMPENI ZAKE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020
> Rais wa Marekani, Donald Trump amezindua kampeni zake kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
> Hotuba yake imegusia utoaji mimba, familia, silaha, ujamaa na uchumi
Soma > https://jamii.app/Trump2020

NAIROBI, KENYA: MATATU ZAGOMA, ABIRIA WATEMBEA KWA MIGUU
- Abiria wa Nairobi hususani maeneo ya Kayole, Eastleigh na Dandora imewalazimu kutembea kwa miguu
- Moja ya sababu ya madereva kugoma ni kuchoshwa na udhalilishaji kutoka kwa Polisi
Zaidi, soma https://jamii.app/NairobiMatatuStrike

KARATU, ARUSHA: WATOTO 49 WALIOKUWA WAKITUMIKISHWA MASHAMBANI WAREJEA KATIKA FAMILIA ZAO
> Watoto hao wenye umri wa kati ya miaka 10-17 walikutwa wakitumikishwa katika mashamba ya vitunguu wakati ambao walitakiwa kuwa kwenye masomo
Zaidi, soma => https://jamii.app/WatotoMashambaKaratu

👍1
MASWA, SIMIYU: KIJANA AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA NA KUMPA UJAUZITO MWANAFUNZI
> Domician Faustine(20) amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama kwa hatia ya kumbaka na kumpa ujauzito Mwanafunzi wa Kidato cha 1 wa Shule ya Sekondari Binza
Soma > https://jamii.app/KifungoKubakaMaswa

UNHCR: WATU MILIONI 70.8 WANAISHI KAMA WAKIMBIZI DUNIANI
- Watu hao wameyakimbia makazi yao duniani kote kuepuka ghasia na unyanyasaji
- Kundi kubwa la Wakimbizi takribani milioni 13 linatoka Syria, waliokimbia vita vilivyodumu kwa miaka 8
Zaidi, soma https://jamii.app/IdadiWakimbiziDuniani

KENYA: MWANAUME ASHIKILIWA GEREZA LA KIKE
- Alikamatwa katika Hospitali ya Rufaa ya Moi akifanya kazi kama Muuguzi Mwanafunzi wa kike bila kusajiliwa
- Aligundulika ni mwanaume wakati wa ukaguzi katika gereza la Eldoret alikokuwa akishikiliwa
Zaidi, soma https://jamii.app/MwanaumeGerezaWanawake

MOROGORO: MWANAJESHI WA JWTZ AUAWA NA KUPORWA PIKIPIKI
> Leonard Lihumba(52) Askari wa Jeshi la Wananchi(JWTZ), aliuawa tarehe 30 mwezo Mei, 2019 katika mashamba ya mkonge Tungi
> Katika tukio hilo aliporwa Pikipiki aliyokuwa akitembelea
Zaidi, soma => https://jamii.app/MwanajeshiAuawaMoro

WADAIWA SUGU WA MADENI YA CIS NA FACF WATAKIWA KULIPA
- Ni wadaiwa sugu wa madeni ya Commodity Import Suport(CIS) na Food Aid Counterpart Fund(FACF)
- Miongoni mwa wadaiwa kupitia Kampuni zao ni Yusuph Manji, Mohamed Dewji na Stephen Wassira
Zaidi, soma https://jamii.app/WadaiwaCIS-FACFKikaangoni

ALIYEHUSIKA NA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA KIU AKAMATWA, AKIRI MAKOSA
> Ernest Joseph(19) amekamatwa na Polisi usiku wa kuamkia leo akiwa Madale, Dar
> Akiri kumjeruhi kwa kisu Anifa Mgaya na kumpora pochi iliyokuwa na simu, Tsh. 8,000 na vitambulisho
Soma > https://jamii.app/MtuhumiwaMauajiKIU

MBUNGE MSTAAFU WA KILOMBERO, ABDUL MTEKETA AFARIKI DUNIA
> Amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu
> Abdul Mteketa alikuwa Mbunge wa Kilombero kuanzia mwaka 2010-2015, alianguka kwenye kura za maoni 2015
Zaidi, soma => https://jamii.app/RIPAbdulMteketa

NEC KUTOTUMIA WAKURUGENZI KATIKA UCHAGUZI
- Imesema vifungu vya sheria ya uchaguzi vilivyotenguliwa na Mahakama havitatumika
- Ni Vifungu vya 7(1) na 7(3) vinavyowapa Wakurugenzi wa Jiji na Manispaa uwezo wa kuteuliwa kusimamia Uchaguzi
Zaidi, soma https://jamii.app/DEDKutosimamiaUchaguzi

MBEYA: MHANDISI AJINYONGA KWA KUTUMIA SURUALI YAKE
> Aswile Msika (37) Mhandisi wa Halmashauri ya Chunya ajiua kwa kujinyonga katika eneo la Nyatura Kata ya Mbugani
> Alikuwa akituhumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa
Zaidi, soma => https://jamii.app/MhandisiAjinyongaChunya

LUIS ENRIQUE AJIUZULU KUENDELEA KUINOA UHISPANIA
- Inadaiwa ni kutokana na sababu binafsi na sasa nafasi yake inachukuliwa na Kocha Msaidizi, Robert Moreno
- Hatua hii inakuja akiwa hajamaliza hata mwaka mmoja tangu asaini mkataba wa miaka 2
Zaidi, soma https://jamii.app/EnriqueQuitsSpain

UFARANSA: RAIS MSTAAFU, NICOLAS SARKOZY KUSHTAKIWA KWA RUSHWA
> Nicolas Sarkozy anatarajiwa kufikishwa Mahakamani mwezi ujao baada ya rufaa yake ya utetezi kukwama
> Anatuhumiwa kwa rushwa na kufanya biashara ya mali za wizi
Zaidi, soma => https://jamii.app/SarkozyRushwa

TAHADHARI: UBALOZI WA MAREKANI WAONYA UWEZEKANO WA KUTOKEA SHAMBULIO, TANZANIA
- Ubalozi wa Marekani umeonya kuwa kuna tetesi za kutokea shambulio katika maeneo ya Masaki jijini Dar hususani katika migahawa na hoteli ya Slipway Shopping Center ya Msasani
- Watu wanashauriwa kuwa makini na mazingira, kuepuka mikusanyiko, kufuatilia vyombo vya habari ili kupata mwendelezo wa habari na kuwa waangalifu katika maeneo yanayotembelewa sana na Watalii