MCHEZAJI WA FC BARCELONA FRENKIE DE JONG ATEMBELEA SERENGETI
> Amepost picha kupitia Instagram akionekana ndani mbuga hiyo
> Aidha, zipo taarifa pia za Mshambuliaji, wa Chelsea, Gonzalo Higuaín kuwepo nchini akitembelea vivutio mbalimbali
Soma > https://jamii.app/FrenkieDeJongTz

RAIS WA ZAMANI WA UEFA, MICHEL PLATINI AMEKAMATWA NA POLISI
- Amekamatwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea dhidi ya madai ya kuwepo kwa rushwa katika uamuzi wa kukubali michuano ya Soka ya Kombe la Dunia ya mwaka 2022, kufanyika Qatar
Zaidi, soma https://jamii.app/MichelPlatiniArrested-2019

RUVUMA: WATU 8 MBARONI WAKIDAIWA KUTAKA KUMTOA MTOTO KAFARA
- Watu hao, Wanne kutoka Njombe na wanne kutoka Ruvuma Wanashikiliwa Wilayani Namtumbo
- Wanatuhumiwa kufanya ramli chonganishi na kutaka kumtoa kafara mtoto katika mlima Mgwijima
Zaidi, soma https://jamii.app/8MbaroniKafaraMtoto-RVM

PWANI: WATUMISHI 7 WA NIDA MBARONI WAKIDAIWA KUIBA VITAMBULISHO 15,000
- Pia wamekamatwa na kompyuta mpakato 2, meza, scana, kamera, maturubai, BVR kits na friji ndogo
- Wanadaiwa kuiba vitu hivyo wakati ofisi za NIDA zilipokuwa zinahamishwa
Zaidi, soma https://jamii.app/WatumishiNIDAMbaroniWizi-PWN

KENYA: MWANDISHI WA BLOG MBARONI KWA KU-POST PICHA ZISIZOTAKIWA
- Robert Alai alikamatwa jana kwa ku-post picha zinazoonesha miili ya Polisi waliouawa katika shambulio la bomu siku ya Ijumaa
- Polisi ilizuia picha hizo zisisambazwe mtandaoni lakini yeye aliweka akielezea hisia zake kwa namna Serikali ilivyokuwa ikishughulikia miili ya Polisi hao
Zaidi, soma https://jamii.app/RobertAlaiArrested-KNY

TAKUKURU INAWASAKA WAMILIKI WA KAMPUNI YA MEIS INDUSTRIES KWA TUHUMA ZA KUTOROKA NA BILIONI 46
> Walikopa fedha hizo kwa ajili ya kujenga kiwanda cha saruji, Lindi
> Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, amesema walikabidhiwa mwaka 2011
Soma => https://jamii.app/TakukuruVsMeis

SUDAN: JESHI LAKIRI KUWA LILIAMUA KUONDOA KAMBI YA WAANDAMANAJI
- Limesema lilipanga kuwaondoa Waandamanaji hao ila linasikitika kuwa mpango ulikuwa na makosa
- Katika tukio, Watu 120 wanadaiwa kufariki ila Wizara ya Afya inasema ni watu 61
Zaidi, soma https://jamii.app/MilitaryProtestersDispersal-SDN

GEITA: TAKUKURU YAWASHIKILIA WATUMISHI 3 WA TRA KWA KUOMBA RUSHWA
> Wanatuhumiwa kwa kuwafanyia makadirio ya juu Wafanyabiashara na baadaye kuwaomba rushwa ili washushiwe makadirio
> Wanaoshikiliwa ni Sadick Lutenge, Amza Rugemalira na Elias Msula
Soma > https://jamii.app/TakukuruVsTRAGeita

JESHI LA POLISI LIMEWATAMBUA WALIOSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WA KIU
> Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Jeshi la Polisi limewatambua wahusika
> Ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali wahalifu ili liwe fundisho
Soma > https://jamii.app/MasauniVsKifoMwanafunziKIU

CHINA YAIONYA MAREKANI KUHUSU KUTUMA WANAJESHI MASHARIKI YA KATI
- Ni baada ya Marekani kutangaza kutuma Wanajeshi 1,000 wa ziada katika eneo la Mashariki ya Kati
- Aidha, imeisihi Iran kutojitenga na makubaliano ya nyuklia kiurahisi
Zaidi, soma https://jamii.app/ChinaYaionyaUSA

BUNGENI: Wabunge wa CHADEMA, Esther Matiko, John Heche na Dkt. Emmaculate Sware walitolewa Bungeni wakipinga Dkt. Tulia kumtaka Augustine Vuma(CCM) kuomba radhi kwa alichokizungumza wakati akichana kitabu cha hotuba ya Upinzani na si kitendo chake cha kuchana kitabu
Zaidi, soma https://jamii.app/WabungeCDMWatolewaBungeni

ETHIOPIA: INTERNET YAREJEA BAADA YA KUKATWA KWA WIKI MOJA
> Huduma hiyo imerejeshwa leo baada ya mtandao kuzimwa kwa muda wa wiki moja
> Yadaiwa 'internet' ilizimwa ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani ya Taifa ya Sekondari
Zaidi, soma => https://jamii.app/EthiopiaInternet

ORLANDO, MAREKANI: RAIS DONALD TRUMP AZINDUA KAMPENI ZAKE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020
> Rais wa Marekani, Donald Trump amezindua kampeni zake kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
> Hotuba yake imegusia utoaji mimba, familia, silaha, ujamaa na uchumi
Soma > https://jamii.app/Trump2020

NAIROBI, KENYA: MATATU ZAGOMA, ABIRIA WATEMBEA KWA MIGUU
- Abiria wa Nairobi hususani maeneo ya Kayole, Eastleigh na Dandora imewalazimu kutembea kwa miguu
- Moja ya sababu ya madereva kugoma ni kuchoshwa na udhalilishaji kutoka kwa Polisi
Zaidi, soma https://jamii.app/NairobiMatatuStrike

KARATU, ARUSHA: WATOTO 49 WALIOKUWA WAKITUMIKISHWA MASHAMBANI WAREJEA KATIKA FAMILIA ZAO
> Watoto hao wenye umri wa kati ya miaka 10-17 walikutwa wakitumikishwa katika mashamba ya vitunguu wakati ambao walitakiwa kuwa kwenye masomo
Zaidi, soma => https://jamii.app/WatotoMashambaKaratu

👍1
MASWA, SIMIYU: KIJANA AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA NA KUMPA UJAUZITO MWANAFUNZI
> Domician Faustine(20) amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama kwa hatia ya kumbaka na kumpa ujauzito Mwanafunzi wa Kidato cha 1 wa Shule ya Sekondari Binza
Soma > https://jamii.app/KifungoKubakaMaswa

UNHCR: WATU MILIONI 70.8 WANAISHI KAMA WAKIMBIZI DUNIANI
- Watu hao wameyakimbia makazi yao duniani kote kuepuka ghasia na unyanyasaji
- Kundi kubwa la Wakimbizi takribani milioni 13 linatoka Syria, waliokimbia vita vilivyodumu kwa miaka 8
Zaidi, soma https://jamii.app/IdadiWakimbiziDuniani

KENYA: MWANAUME ASHIKILIWA GEREZA LA KIKE
- Alikamatwa katika Hospitali ya Rufaa ya Moi akifanya kazi kama Muuguzi Mwanafunzi wa kike bila kusajiliwa
- Aligundulika ni mwanaume wakati wa ukaguzi katika gereza la Eldoret alikokuwa akishikiliwa
Zaidi, soma https://jamii.app/MwanaumeGerezaWanawake

MOROGORO: MWANAJESHI WA JWTZ AUAWA NA KUPORWA PIKIPIKI
> Leonard Lihumba(52) Askari wa Jeshi la Wananchi(JWTZ), aliuawa tarehe 30 mwezo Mei, 2019 katika mashamba ya mkonge Tungi
> Katika tukio hilo aliporwa Pikipiki aliyokuwa akitembelea
Zaidi, soma => https://jamii.app/MwanajeshiAuawaMoro

WADAIWA SUGU WA MADENI YA CIS NA FACF WATAKIWA KULIPA
- Ni wadaiwa sugu wa madeni ya Commodity Import Suport(CIS) na Food Aid Counterpart Fund(FACF)
- Miongoni mwa wadaiwa kupitia Kampuni zao ni Yusuph Manji, Mohamed Dewji na Stephen Wassira
Zaidi, soma https://jamii.app/WadaiwaCIS-FACFKikaangoni