JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
HUAWEI KUPATA HASARA YA DOLA BILIONI 30 KWA MIAKA 2 IJAYO

> CEO wa Huawei, Ren Zhengfei amesema kampuni hiyo anailaumu Marekani kwa kupinga biashara yake

> Amesema mauzo ya nje ya bidhaa za kampuni hiyo yameshuka kwa asilimia 40 kwa mwaka huu

Soma > https://jamii.app/HuaweiLoss
MWANAFUNZI CHUO KIKUU KIU AFARIKI BAADA YA KUSHAMBULIWA NA VIBAKA

> Aliyefariki ni Anifa Mgaya mwanafunzi wa Stashahada ya Maabara katika Chuo Kukuu cha Kampala tawi la Tanzania

> Alivamiwa na vibaka waliomjeruhi kwa kisu

Zaidi, soma https://jamii.app/RIPAnifaMgaya
NIGERIA: WATU 30 WAMEFARIKI KATIKA MASHAMBULIO MATATU YA BOMU

- Watu wengine 40 wamejeruhiwa katika milipuko hiyo iliyotokea nje ya ukumbi huko Konduga, Borno

- Katika ukumbi huo Mashabiki wa mpira walikuwa wakifuatilia mechi kupitia runinga

Zaidi, soma https://jamii.app/30WauawaNigeriabomu
KIRINYAGA, KENYA: AMCHOMA MKEWE KWA KUPIKA WALI BADALA YA KANDE

> Peter Ngugi(32) anashikiliwa na kwa kumjeruhi mkewe kwa kumwagia moto

> Alimuagiza Mkewe apike 'Githeri' (Kande) lakini Mkewe alipika wali

Zaidi, soma => https://jamii.app/AmchomaMkeweKE
TAASISI ZA KIDINI NA JUMUIYA ZA KIJAMII KUFUTIWA USAJILI ZISIPO HAKIKIWA

-Serikali inafanya uhakiki wa Jumuiya na Taasisi hizo nchi nzima ambapo awamu ya 2 itafanyika Dodoma, Morogoro, Singida na Manyara kuanzia Juni 23 hadi Julai 2 mwaka huu

Zaidi, soma https://jamii.app/TaasisiZisizohakikiwaKufutwa
RIPOTI: KIWANGO CHA SILAHA ZA NYUKLIA CHAPUNGUA DUNIANI

- Kituo cha Kimataifa cha Utafiti wa Amani kimesema kiwango kimepungua kwa silaha 800 katika nchi 9 katika kipindi cha mwaka mmoja ila Mataifa yanatengeneza silaha za kisasa zaidi

Zaidi, soma https://jamii.app/SilahaNyukliaZapungua
KENYA: MWANAMKE ALIYEONESHA DALILI ZA EBOLA, HANA UGONJWA HUO

- Matokeo ya vipimo ya mgonjwa aliyedhaniwa kuwa na Ebola yameonesha hana ugonjwa huo

- Amelazwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kericho akiwa ameonesha dalili kama za Ebola

Zaidi, soma https://jamii.app/SuspectedEbolaCase-KE
MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA REA ATENGULIWA

- Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini(REA), Michael Pius Nyagoga

- Aidha, amemteua Wakili Julius B. Kalolo kushika nafasi hiyo kuanzia leo

Zaidi, soma https://jamii.app/MwenyekitiBodiREAAtenguliwa
MTANDAO WA 5G WAANZA KUPATIKANA KWENYE BAADHI YA MAJIMBO YA MAREKANI

> Kampuni ya Verizon imefunga miundombinu ya mtandao wa 5G katika Majiji yafuatayo, Houston, Indianapolis, Los Angeles, Sacramento, na California

> Siku za hivi karibuni Kampuni ya Huawei ya China ilijitapa kuwa na teknolojia hiyo

Soma => https://jamii.app/5GMarekani
TUKUKURU YAKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZENYE TUHUMA DHIDI YA MAAFISA WAKE

> Taarifa hizo zinazotajwa kuwa za upotoshaji zilichapishwa katika magazeti mawili ya Fahari Yetu na Tanzanite

> TAKUKURU yasema taarifa hizo zimelenga kuidhoofisha

Soma > https://jamii.app/TAKUKURUVsMagazeti
DODOMA: WATU 29 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA TRENI NA LORI

- Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo ambapo pia mabehewa matatu ya treni yalianguka

- Treni hiyo iliyokuwa inatoka Tabora kwenda Dar ilipata ajali kabla ya kuingia stesheni

Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliTreni29Wajeruhiwa-DOM
TANZANIA KINARA WA AMANI AFRIKA MASHARIKI

- Kwa mujibu wa ripoti ya Global Peace Index(GPI), Tanzania imeshika nafasi ya 7 kwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

- Kwa Afrika Mashariki, Rwanda inafuata, ikifuatiwa na Uganda na kisha Kenya

Zaidi, soma https://jamii.app/TZKinaraAmaniEA
CHINA: WATU 12 WAMEFARIKI NA 134 KUJERUHIWA KATIKA TETEMEKO LA ARDHI

- Uokoaji unaendelea huko Sichuani Kusini Magharibi mwa China baada ya kutokea tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Kipimo cha Richa 6, jana usiku

Zaidi, soma https://jamii.app/EarthquakeKills12-China
MCHEZAJI WA FC BARCELONA FRENKIE DE JONG ATEMBELEA SERENGETI

> Amepost picha kupitia Instagram akionekana ndani mbuga hiyo

> Aidha, zipo taarifa pia za Mshambuliaji, wa Chelsea, Gonzalo Higuaín kuwepo nchini akitembelea vivutio mbalimbali

Soma > https://jamii.app/FrenkieDeJongTz
RAIS WA ZAMANI WA UEFA, MICHEL PLATINI AMEKAMATWA NA POLISI

- Amekamatwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea dhidi ya madai ya kuwepo kwa rushwa katika uamuzi wa kukubali michuano ya Soka ya Kombe la Dunia ya mwaka 2022, kufanyika Qatar

Zaidi, soma https://jamii.app/MichelPlatiniArrested-2019
RUVUMA: WATU 8 MBARONI WAKIDAIWA KUTAKA KUMTOA MTOTO KAFARA

- Watu hao, Wanne kutoka Njombe na wanne kutoka Ruvuma Wanashikiliwa Wilayani Namtumbo

- Wanatuhumiwa kufanya ramli chonganishi na kutaka kumtoa kafara mtoto katika mlima Mgwijima

Zaidi, soma https://jamii.app/8MbaroniKafaraMtoto-RVM
PWANI: WATUMISHI 7 WA NIDA MBARONI WAKIDAIWA KUIBA VITAMBULISHO 15,000

- Pia wamekamatwa na kompyuta mpakato 2, meza, scana, kamera, maturubai, BVR kits na friji ndogo

- Wanadaiwa kuiba vitu hivyo wakati ofisi za NIDA zilipokuwa zinahamishwa

Zaidi, soma https://jamii.app/WatumishiNIDAMbaroniWizi-PWN
KENYA: MWANDISHI WA BLOG MBARONI KWA KU-POST PICHA ZISIZOTAKIWA

- Robert Alai alikamatwa jana kwa ku-post picha zinazoonesha miili ya Polisi waliouawa katika shambulio la bomu siku ya Ijumaa

- Polisi ilizuia picha hizo zisisambazwe mtandaoni lakini yeye aliweka akielezea hisia zake kwa namna Serikali ilivyokuwa ikishughulikia miili ya Polisi hao

Zaidi, soma https://jamii.app/RobertAlaiArrested-KNY
TAKUKURU INAWASAKA WAMILIKI WA KAMPUNI YA MEIS INDUSTRIES KWA TUHUMA ZA KUTOROKA NA BILIONI 46

> Walikopa fedha hizo kwa ajili ya kujenga kiwanda cha saruji, Lindi

> Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, amesema walikabidhiwa mwaka 2011

Soma => https://jamii.app/TakukuruVsMeis
SUDAN: JESHI LAKIRI KUWA LILIAMUA KUONDOA KAMBI YA WAANDAMANAJI

- Limesema lilipanga kuwaondoa Waandamanaji hao ila linasikitika kuwa mpango ulikuwa na makosa

- Katika tukio, Watu 120 wanadaiwa kufariki ila Wizara ya Afya inasema ni watu 61

Zaidi, soma https://jamii.app/MilitaryProtestersDispersal-SDN