SERIKALI KUTOBADILI VYUO VYA MAENDELEO KUWA VYA UFUNDI STADI
> Naibu Waziri wa Elimu, William Ole Nasha amesema Serikali haina mpango wa kuvibadili Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi kuwa Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) bali imejikita katika kuboresha vyuo hivyo kwa kuvikarabati na kuviongezea vifaa ili viweze kutoa mafunzo bora
Soma - https://jamii.app/VyuoMaendeleoVeta

BUNGENI: MAONI YA UPINZANI KUHUSU WIZARA YA FEDHA, YAZUILIWA
- Spika Ndugai amedai hotuba hiyo ina makosa na imejaa maneno yasiyofaa
- Sababu nyingine ni Mbunge Halima Mdee aliyesimamishwa kuhudhuria mikutano 2 kushiriki kuandaa hotuba hiyo
Zaidi, soma https://jamii.app/HotubaFedhaUpinzaniYafutwa

MITAA YOTE KWENYE MAJIJI KUWEKEWA UMEME IFIKAPO JUNI 30
> Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania kuhakikisha mitaa yote kwenye majiji, inapatiwa umeme ifikapo Juni 30, mwaka huu ili maeneo hayo yafanane na hadhi ya jiji
Soma - https://jamii.app/UmemeMitaaJiji

IKULU, DAR: ASKOFU GWAJIMA AKUTANA NA RAIS MAGUFULI
- Rais Magufuli amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima leo Juni 3, 2019 Ikulu jijini Dar
Zaidi, soma https://jamii.app/GwajimaMagufuli-Ikulu

SERIKALI: ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA NI KUTOKANA NA MIKOPO MIPYA YA MIRADI
> Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuongezeka kwa deni la Taifa kutoka Tsh. trilioni 49.86 Aprili 2018 hadi Tsh. trilioni 51.03 Aprili 2019, kunatokana na kupokelewa kwa mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa jengo la tatu la kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere
Soma - https://jamii.app/MikopoDeniTaifa

KENYA: VIJANA SITA MBARONI WAKIDAIWA KUTEKA NA KUUA
- Polisi Kaunti ya Kakamega inawashikilia Vijana hao wanaodaiwa kumteka mtoto wa miaka 9 na baadaye kumuua baada ya kukosa kiasi cha Ksh. 50,000(Tsh. 1,134,542) walichodai ili kumuachia
Zaidi, soma https://jamii.app/WatuhumiwaUtekajiMbaroni-KE

MLINZI ALIYEMUUA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA AHUKUMIWA KIFO
> Mahakama Kuu imemhukumu kunyongwa hadi kufa Hamis Chacha kwa kosa la kumuua Humprey Makundi Novemba 6, 2017
> Mmiliki wa shule hiyo na Mwalimu wa nidhamu wamehukumiwa kifungo cha miaka 4 kila mmoja kwa kuficha taarifa za mauaji ya mwanafunzi huyo
Soma - https://jamii.app/HukumuMkinziKifo

DIWANI WA VITI MAALUM(ACT-WAZALENDO) AFARIKI DUNIA
- Diwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Tumaini Bigilimana amefariki leo katika Hospitali ya Rabininsia Jijini Dar
- Taarifa za mazishi zitatolewa baadaye na ndugu wa Marehemu
Zaidi, soma https://jamii.app/DiwaniACTAfariki-Kibondo

RAIA WA SWEDEN WAKUTWA NA HATIA YA KUFANYA KAZI NCHINI BILA KIBALI
> Mkurugenzi wa Kampuni ya Biabana, Anna Kristina Edler, (54) na mumewe Anders Svensson (58) wamenusurika kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela, baada ya kufanikiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 20 kwa kosa la kuajiri raia wa nje na kujihusisha na kazi nchini bila kibali cha Uhamiaji
Soma - https://jamii.app/JelaKibaliKazi

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA SOKO LA SAMAKI, FERRY
- Amezungumza na Wauza Samaki umuhimu wa kutumia mifuko mbadala na kuachana na mifuko ya plastiki
- Pia, amezungumza na wauza kahawa na kuagiza kuboreshwa kwa sehemu ya biashara hiyo kuanzia kesho
Zaidi, soma https://jamii.app/MagufuliAtembeleaFerry

KENYA: AJIUA BAADA YA MKEWE KUMNYIMA PESA YA KUNYWEA POMBE
> James Kamau (39) mkazi wa kijiji cha Mbogo-ini kaunti ya Murang'a alikwenda bar na rafiki yake na kuanza kunywa pombe huku yeye akiwa mlipaji, lakini alipomaliza pesa alirudi nyumbani na kutaka mkewe ampatie pesa nyingine na ndipo mama huyo alipogoma kumpa pesa
Soma - https://jamii.app/MumeKifoPesaPombe

IKULU: RAIS MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WA JESHI LA ZIMAMOTO
-
Miongoni mwao ni Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Manyara ASF Julishaeli Mfinanga ambaye ametoka kuwa Mrakibu Msaidizi wa Zimamoto(ASF) na Kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto(SACF)

ALGERIA: UCHAGUZI ULIOPANGWA KUFANYIKA JULAI 4 WAFUTWA
> Taarifa iliyotolewa na Baraza la Katiba imesema katika mkutano uliofanyika ili kuwatathmini wagombea wamegundua kwamba wagombea ni watu wasiofahamika lakini pia hawakuwasilisha nyaraka zinazohitajika
Soma - https://jamii.app/SitishoUchaguziRais

MUSEVENI: MWALIMU NYERERE KIONGOZI MUHIMU ZAIDI KUTOKEA AFRIKA
- Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemwelezea marehemu Mwalimu Julius Nyerere kama kiongozi muhimu zaidi aliyewahi kutokea kwenye historia za medani za kisiasa kwa Afrika
Zaidi, soma https://jamii.app/MuseveniAmsifuNyerere

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA MKANDA WA JESHI
> Ugonjwa huu kitaalamu unaitwa shingles au herpes zoster ambapo husababishwa na virusi aina ya Varicella-zoster ambao pia husababisha ugonjwa wa tetekuwanga na huathiri ngozi kwa huambatana na vipele na michubuko kama ya kuungua yenye maumivu makali
> Baada ya mtu kupatwa na ugonjwa wa tetekuwanga, virusi vya ugonjwa huo hubaki katika hali ya kupooza/ kutokuwa na madhara katika baadhi ya neva mwilini na baada ya muda mrefu iwapo kinga za mwili zitashuka kwasababu yoyote virusi hawa hupata nguvu na kuwa imara jambo linalopelekea kutokea kwa ugonjwa wa mkanda wa jeshi
Tembelea - https://jamii.app/UgonjwaMkandaJeshi
#JFAfya

SUDAN: WALIOFARIKI WAKATI JESHI LIKIPAMBANA NA WAANDAMANAJI WAFIKIA 9
- Vikosi vya usalama vilitumwa Mjini Khartoum wakati waandamanaji wakifunga barabara
- Ila Jeshi limesema liliwalenga wahalifu hivyo waandamanaji na kambi yao wapo salama
Zaidi, soma https://jamii.app/GunfireProtestorsKhartoum

KENYA YAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA UVUVI KWENYE MPAKA WAKE NA SOMALIA
> Afisa wa Serikali katika Kaunti ya Lamu, Joseph Kanyori, amesema wavuvi wote wamezuiwa kwenda kuvua katika maeneo ya Ras Kamboni na karibu na mji wa Kiunga unaopakana na nchi hizo mbili kwasababu za kiusalama kwa kuwa eneo hilo limeshuhudiwa kwa utekaji wa binadamu, dawa za kulevya pamoja na bidhaa zingine
Soma - https://jamii.app/ZuioUvuviKESM

IDADI YA WAGONJWA WA DENGUE YAZIDI KUONGEZEKA, WATATU WAFARIKI
> Wizara ya Afya imesema idadi ya wagonjwa waliothibitika kuwa na homa ya dengue imefikia 3,495 hadi kufikia Juni Mosi 2019 ikiwa ni ongezeko la ndani ya siku nne tangu idadi ya waliothibitika kufikia watu 2,971 kutoka Januari 1 hadi Mei 29, 2019
> Kati ya hao, wagonjwa 3,333 na vifo 3 ni kutoka Dar es Salaam, 135 Tanga, 19 Pwani, 6 Morogoro, Singida 1 na Kilimanjaro 1
Soma - https://jamii.app/OngezekoWagonjwaDengue