KENYA: VIWANDA VYA UNGA VYAFUNGWA KUTOKANA NA UHABA WA MAHINDI
> Karibu asilimia 80 ya viwanda vimesitisha uzalishaji kwa muda huku viwanda vilivyoathiriwa zaidi vikiwa katika maeneo ya Bungoma, Busia, Kisumu, Narok, Kajiado na vingine vinne katika eneo la Kati
> Kwa sasa Kilo 2 za unga zinauzwa kwa Ksh. 130(Tsh. 2900) ikilinganishwa na Ksh. 80(Tsh. 1800) wiki chache zilizopita
Soma - https://jamii.app/MaizePriceUp

SUDAN: JESHI LATANGAZA UCHAGUZI MKUU UTAKAOFANYIKA MIEZI 9 IJAYO
> Kiongozi wa Baraza la Kijeshi amesema Baraza lake limefuta makubaliano yote ya awali waliyoafikiana na Viongozi wa waandamanaji kuhusu kuundwa kwa Serikali ya mpito, na badala yake sasa Uchaguzi Mkuu utafanyika baada ya miezi 9 chini ya uangalizi wa Jumuiya za Kikanda
Soma - https://jamii.app/MilitaryCallsElection

KENYA: WADAIWA KUMUUA MTOTO WAO ILI KUNUSURU NDOA YAO
- Stephen Kariuki na Mildred Musya wanadaiwa kumuua mtoto wao wa miaka 2
- Yadaiwa ni kutokana na ugomvi baina ya mke na familia ya Mume juu ya mtoto huyo na yeye kuolewa akiwa na watoto 2
Zaidi, soma https://jamii.app/WanandoaWadaiwaKuua

MAWAKILI WA HAKI ZA BINADAMU WAUSHTAKI UMOJA WA ULAYA, ICC
- Wameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kufungua kesi dhidi ya EU kuhusiana na sera yake ya uhamiaji
- Wameorodhesha hatua kadhaa za kuzuia uhamiaji, zinazokiuka haki za binadamu
Zaidi, soma https://jamii.app/UmojaUlayaKushtakiwa

MWANZA: WANAFUNZI 103 WA SHULE ZA MSINGI WAPATA MIMBA NDANI YA MWAKA
> Utoro umetajwa kuwa moja ya sababu ya kuzorotesha elimu jijini Mwanza ambapo kwa mwaka 2017/18, wanafunzi 2,646 wa shule za msingi waliacha masomo kwasababu mbalimbali wakiwamo 103 waliopata mimba
> Wengine waliacha shule kwasababu ya magonjwa, utoro, vifo na utovu wa nidhamu
Soma - https://jamii.app/MimbaUtoroElimuMWZ

ALIYEFUKUZWA UHISPANIA NA REAL MADRID, ATEULIWA KUINOA SEVILLA
- Julen Lopetegui(52) amesaini mkataba wa miaka 3 kuinoa Klabu ya Sevilla ya Uhispania
- Alifukuzwa kuinoa timu ya Taifa ya Uhispania siku 2 kabla ya Kombe la Dunia 2018 kuanza
Zaidi, soma https://jamii.app/LopeteguiKuinoaSevilla

MWALIMU MBARONI KWA KUKUTWA NA SILAHA(AK-47) DARASANI
> Mwalimu wa shule ya Msingi Naan, Solomon Letato (30) mkazi wa Kijiji cha Enguserosambu, Loliondo anashikiliwa na Polisi akihusishwa na matukio ya ujambazi wa kutumia silaha baada ya kukutwa darasani na silaha ya kivita aina ya AK-47 ikiwa na risasi 5
> Pia anatuhumiwa kujihusisha na biashara haramu ya nyara za Serikali yakiwemo meno ya tembo na pembe za Faru
Soma - https://jamii.app/MwlSilahaAK47

TARIME, MARA: KIONGOZI WA MWENGE AKATAA KUZINDUA MIRADI
- Mzee Mkongea amesema mradi wa maji wa Mtaa wa Gamasara, haujakidhi vigezo kwani nondo hazijapimwa
- Mradi wa daraja katika Kijiji cha Kiterere, una ukosefu wa alama za barabarani
Zaidi, soma https://jamii.app/MwengeKutozinduaMiradi-TRM

HESLB YATOA MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2019/20
- Imetangaza mwongozo huo ikiwa ni maandalizi ya kukaribisha maombi ya mikopo
- Itaanza kupokea maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/20 kuanzia Juni 15 hadi Agosti 15, 2019
Zaidi, soma https://jamii.app/HeslbMikopo2019-20

JAY-Z ATANGAZWA KUWA RAPA BILIONEA WA KWANZA DUNIANI
> Jay-Z ametangazwa rasmi na Jarida la Forbes kuwa ndiye bilionea wa kwanza wa Muziki wa HipHop huku akikadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 1
> Anamiliki hisa za dola milioni 70 kwenye kampuni ya usafiri ya Uber, dola milioni 70 kwenye masuala ya sanaa, dola milioni 50 kwenye umiliki wa majumba ya kupangisha na muziki, umiliki wa ‘Tidal’ inayouza nyimbo mtandaoni pamoja na umiliki wa Kampuni ya Roc Nation
Soma - https://jamii.app/JayZNetWorth1Bl
#JFLeo

BEI KIKOMO ZA MAFUTA KWA MWEZI JUNI 2019 ZAONGEZEKA
- Ni bei za mafuta kwa jumla na rejareja yanayoingia nchini kupitia bandari za Dar, Tanga na Mtwara
- Ni kutokana na mabadiliko ya bei ktk soko la ndani na ongezeko la bei ktk soko la dunia
Zaidi, soma https://jamii.app/BeiMafutaJuni-2019

OMAN: Katika kusheherekea sikukuu ya Idd El Fitr, Serikali imefanywa uamuzi wa kuwaachia huru wafungwa 478 ambao kati ya hao 240 ni raia wa kigeni
> Wamesamehewa vifungo vyao na kuachiliwa huru baada ya hati ya msamaha iliyosainiwa na Sultani Kabus bin Said kusambazwa
#JFInternational

SUDAN: WAPINZANI WAKATAA UCHAGUZI ULIOITISHWA NA JESHI
- Viongozi wameitisha maandamano mapya na kukataa mpango wa uchaguzi mpya
- Chama cha Wanataaluma kimesema sio Wanajeshi wala washirika wake, watakaomua mustakabali wa watu wa Sudan
Zaidi, soma https://jamii.app/MilitaryCallsElection

MWEZI WAANDAMA, SIKUKUU YA EID AL FITR KUSHEREHEKEWA KESHO
- Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir ametangaza kuwa mwezi umeonekana katika maeneo mbalimbali nchini
- Swala ya Idd Kitaifa itaswaliwa Tanga na kuongozwa na Mufti Zubeir
Zaidi, soma https://jamii.app/MweziWaandamaEidKesho

MWISHO WA MATUMIZI YA PASIPOTI ZA ZAMANI NI JANUARI 2020
> Msemaji Idara ya Uhamiaji, Ally Mtanda amewataka watu wote wanaotarajia kusafiri safari za nje ya nchi hivi karibuni kuhakikisha wanabadilisha pasipoti zao hadi kufikia Julai 2019
> Kisheria pasipoti inatakiwa kuwa hai angalau miezi 6 ili iweze kuombewa visa
Soma - https://jamii.app/PassportRenewal

Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Jamiiforums wanapenda kuwatakia Waislamu wote Kheri, Amani na Baraka katika sikukuu ya Eid al-Fitr baada ya Kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani
#JFLeo #EidMubarak
#JFLeo #EidMubarak
MBEYA: MBARONI WAKIDAIWA KUMUUA MFANYABIASHARA WA UFUTA
- Watu 2 wa familia moja, wanashikiliwa na Polisi wakidaiwa kumuua Oswald Malambo na kumpora Tsh. Milioni 55
- Inadaiwa waliweka sumu kwenye kinywaji cha Oswald wakiwa wote baa
Zaidi, soma https://jamii.app/MuuzaUfutaAuawa-Mbeya

BENI: KUNDI LA WAASI LA ADF LAUA WATU 12
- Kundi la The Allied Democratic Forces(ADF) limewaua watu hao katika mji wa Beni Mashariki mwa nchi ya DR Congo
- Waasia hao pia walivamia kambi ya Jeshi ya Rwangoma na kuua Wanajeshi wawili
Zaidi, soma https://jamii.app/ADFLaua12Beni-DRC