JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
DODOMA: OFISI ZA WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
-
Rais Magufuli alimtaka Waziri wa Wizara hiyo, Selemani Jafo kuhamia katika majengo hayo licha ya kutomalizika

> Alisema Wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi kwa wakati

Soma > https://jamii.app/OfisiTAMISEMI
WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WANAOWASWEKA WATU RUMANDE BILA HATIA KUCHUKULIWA HATUA

> Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika, amesema kuwa Mtu anayehatarisha amani ndio anapaswa kuwekwa mahabusu lakini sio kwa kesi za watu kudaiana madeni

Soma > https://jamii.app/MkuchikaWakuuWilayaMikoa
UHOLANZI: DAKTARI AWAPA MIMBA WANAWAKE 49 BILA RIDHAA YAO

- Daktari wa uzazi aliyefariki miaka miwili iliyopita, Jan Karbaat anayeshutumiwa kwa kupandikiza mbegu zake za uzazi kwa wagonjwa bila ridhaa yao amethibitishwa kuwa baba wa watoto 49

Zaidi, soma https://jamii.app/DktMimbaWanawake49
MAMBO YAKUFANANA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WALIOFANIKIWA

- Moja; Wazazi hao hufanya watoto wao wajishughulishe ili wajifunze uwajibikaji

- Pili; Huwafundisha watoto wao stadi za jamii na kuwajengea mfumo mzuri wa kushirikiana na wenzao

Kufahamu zaidi https://jamii.app/MtotoKufanikiwa
KILIMANJARO: MTOTO WA MIAKA 8 AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA

- Sarafina William alikatwa na panga usiku wa kuamkia Jumapili, Aprili 14, 2019 akiwa amelala na mama yake

- Kutokana na jereha alilopata shingoni alifariki akipelekwa hospitalini

Zaidi, soma https://jamii.app/MtotoAkatwaPangaAfarikiKLM
ZANZIBAR: RAIA WA MISRI AKAMATWA AKITOROSHA KOBE

> Mohamed Abdul amekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kutaka kuondoka nchini akiwa na Kobe wadogo 47

> Alipanga kutoroka Kobe hao kwa Ndege ya Ethiopia ET 814

Soma > https://jamii.app/EgyptianKobeZanzibar
MANUNUZI YA SILAHA: KENYA YAONGOZA IKIFUATIWA NA TANZANIA

- Ripoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm(Sipri) imebainisha hivyo

- Kenya imetumia Dola Milioni 963.5 mwaka 2017 na Tanzania imetumia Dola Milioni 593.1

Zaidi, soma https://jamii.app/ManunuziSilahaEA-2018
RAIS WA TFF ADAIWA KUPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA RAIS WA CAF

- Wallace Karia anadaiwa kuwa miongoni mwa walionufaika na Tsh. Milioni 46 zilizotolewa na Rais Ahmad Ahmad

- Kwa sasa Ahmad anatuhumiwa kwa rushwa na matumizi mabaya ya ofisi

Zaidi, soma https://jamii.app/MadaiRushwaKariaTFF
Kutoka ukurasa wa 66 wa Kitabu kilichoandikwa na Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere cha “UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA”
NAIROBI, KENYA: WATU 8 WAKIWEMO WATANZANIA WAKAMATWA NA DHAHABU BANDIA

> Wamekamatwa asubuhi ya leo pamoja na raia wa Congo, Nigeria na Kenya. Wamekutwa na fedha bandia

> Watanzania waliokamatwa ni Manson Chogga Mtaasi na Konnie Kalist

Soma > https://jamii.app/WatanzaniaDhahabuKenya
VIWANDA 20 VYAFUTWA KATIKA ORODHA YA VIWANDA TANZANIA

- Serikali kupitia Waziri wa Viwanda, Joseph Kakunda imesema ni kutokana na ubinafsishaji mali mojamoja

- Katika orodha hiyo, kipo Kiwanda cha Tanganyika Packers kilichopo Kawe jijini Dar

Zaidi, soma https://jamii.app/Viwanda20Vyafutwa
ARUSHA: AFARIKI BAADA YA KUJICHINJA MWENYEWE

- Ni Lazaro Keolori(53) mkazi wa Simanjiro aliyejichinja mwenyewe kwa kutumia kisu kidogo

- Uchunguzi wa awali wa Polisi umebaini kuwa chanzo ni mgogoro wa kifamilia kati ya wake zake wawili

Zaidi, soma https://jamii.app/AjichinjaAfarikiAR
MISRI: BUNGE KUPIGA KURA YA MAREKEBISHO YA KATIBA IKIWEMO KUREFUSHA MUDA WA URAIS

- Bunge hilo lenye Wabunge wengi wanaomuunga mkono Rais el-Sisi linatarajiwa kupiga kura leo

- Marekebisho yakipita, Rais el-Sisi ataweza kukaa madarakani hadi mwaka 2030

Zaidi, soma https://jamii.app/VoteExtendingPrsdtRule-EGYPT
JE, UNATAKIWA KUZINGATIA KILA AGIZO LA ASKARI POLISI?

> Unatakiwa kuzingatia kama amri hiyo ni halali na inahusiana na kazi yake; mfano wakati wa kuzuia uhalifu

> Raia ana wajibu wa kumsaidia Askari Polisi ktk kutekeleza kazi zake

Soma > https://jamii.app/Mambo101Polisi

#JFCivicSpace
USAJILI WA KADI ZA SIMU: KWANINI TAASISI ZA SERIKALI NA MASHIRIKA WASIPEANE NYARAKA?

> Watu wanahoji ni kwanini Watoa Huduma za Mawasiliano wasiwasiliane na Mamlaka za Serikali ikiwemo NIDA ili waombe taarifa na alama za vidole zinazohitajika?

Soma > https://jamii.app/HojaUsajiliWaSimu
KENYA: ASKARI WA 'KK SECURITY' ASIMAMISHWA KAZI KWA KUMPIGA MWANAMKE

- Katika video, Askari huyo anaonekana kumpiga Mwanamke aliyekataa kuacha kumchukua video

- Mwanamke huyo anasema alimchukua video Askari huyo baada ya kumkatalia kupita getini

Zaidi, soma https://jamii.app/KKSecurityGuardAssaultWoman
MAREKANI: FAMILIA YA WAKENYA ILIYOPOTEZA NDUGU YAO KATIKA AJALI YA NDEGE YAFUNGUA KESI

> Aliyefariki ni kijana mwenye umri wa miaka 29

> Familia imetaka Mahakama itoe amri ya wao kupewa Barua Pepe na Nyaraka za ndege ya Ethiopia

Zaidi, soma > https://jamii.app/KenyansVsBoeng
Mpira ni dakika ya 26, Barcelona wanaongoza kwa goli 2 dhidi ya Man Utd

#barcelona #barcamanu #UCL #ManchesterUnited #BARMNU
Mpira ni dakika ya 69, Barcelona wanaongoza kwa goli 3 dhidi ya Man Utd

#barcelona #barcamanu #UCL #ManchesterUnited #BARMNU