JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
EU YAPITISHA SHERIA YA KUWALINDA WATOA TAARIFA KWA SIRI 'WHISTLEBLOWERS’

- Bunge la Umoja wa Ulaya(EU) limepitisha sheria hiyo na kuzitaka nchi Wanachama wake kuitumia

- Sheria hiyo inasema kuwalinda ‘Whistleblowers’ ni muhimu kwenye jamii za kidemokrasia

Zaidi, soma https://jamii.app/EUProtectWhistleblowers
UINGEREZA: PAUL SCHOLES MATATANI KWA KUCHEZA KAMARI

> Mchezaji Mstaafu wa Timu ya Taifa ya England na Klabu ya Man UTD, Paul Scholes atuhumiwa kushiriki kubashiri(betting) matokeo ya michezo ya mpira wa miguu mara 140 kwa miaka 4

> FA imesema Scholes amekiuka kanuni za soka kwani alikuwa akifanya ubashiri huo hata wakati alipokuwa mmiliki mwenza wa timu ya Salford City

Zaidi, soma => https://jamii.app/PaulScholesVsFA
KENYA: ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TUME YA ARDHI NA MAAFISA WENGINE KUSHTAKIWA

- Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa(EACC) imemkamata Muhammad Swazuri na wenzake

- Miongoni mwa makosa yao ni Matumizi mabaya ya ofisi na utakatishaji fedha

Zaidi, soma https://jamii.app/FormerNLCBossArrested
WAZIRI WA VIWANDA AKIRI WIZARA YAKE KUWA NA UDHAIFU MKUBWA

- Waziri Joseph Kakunda amesema Wizara yake ina udhaifu katika kusimamia utekelezaji wa sera kutokana na kukosa uwakilishi wa kitaalamu kwenye sekretarieti za Mikoa na Halmashauri

Zaidi, soma https://jamii.app/WaziriAkiriUdhaifu
ZANZIBAR KUANZA KUSHIRIKI MASUALA YA KIMATAIFA

- Kamati inayoshughulikia Muungano imepitisha mwongozo wa Zanzibar kushiriki katika masuala ya Kikanda na Kimataifa

- Awali, Zanzibar ilikuwa inashiriki masuala hayo kupitia Serikali ya Muungano wa Tanzania

Zaidi, soma https://jamii.app/SMZKushirikiKimataifa
KENYA: BODI YA MATABIBU YAWAFUTIA USAJILI MADAKTARI 2,063

> Katika zoezi hilo Madaktari wa Kinywa 212 nao wamefutiwa usajili

> Hatua hii imechukuliwa kwa wataalamu wa sekta ya afya wanaofanya kazi katika Hospitali za Serikali na binafsi

Soma > https://jamii.app/KenyaMedicsDeregistered
SUDAN: OMAR AL BASHIR AHAMISHIWA GEREZANI

> Hatua hii imechukuliwa ikiwa ni siku 6 tangu Jeshi limuondoe madarakani aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Omar al-Bashir

> Amehanishiwa katika gereza la Kobar linalotajwa kuwa na ulinzi mkali

Soma > https://jamii.app/BashirMovedPrison
URUSI YAAZIMIA KUUNDA 'INTERNET' YAKE

- Bunge limepitisha muswada ambao ukiwa sheria, Taifa hilo litaunda Internet yake na kuacha kutumia inayotumika duniani

- Ni ili kujilinda na mashambulio ikiwemo kuzimiwa Internet na Mataifa yenye uwezo

Zaidi, soma https://jamii.app/RussiaUnplugInternet
SERIKALI: HAKUNA HAJA YA KUBADILI MUDA WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI

- Naibu Waziri wa Elimu, William Ole Nasha amesema muda wa miaka 7 si kitu kibaya

- Amesema Serikali haijavunja sheria kwa hatua hiyo na inazingatia ubora wa elimu

Soma https://jamii.app/MudaElimuMsingi
KAKAMEGA, KENYA: MAPACHA WALIOTENGANISHWA WAKUTANA BAADA YA MIAKA 19

> Walizaliwa Agosti 15 mwaka 1999 katika Hospitali ya Kakamega ambayo kwa sasa ni Hospitali ya Rufaa

> Mama yao aliporuhusiwa kutoka Hospitali, alipewa Watoto 2 mmoja akiwa si wake

Zaidi kuhusu kisa hiki, soma > https://jamii.app/MapachaKakamega
RAIS WA TFF AKANUSHA KUPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA RAIS WA CAF

- Wallace Karia amekanusha kuwa miongoni mwa waliopokea rushwa ya Tsh. Milioni 46 kutoka kwa Rais wa CAF, Ahmad Ahmad

- Amesema hakuwepo madarakani wakati uchaguzi wa CAF unafanyika

Zaidi, soma https://jamii.app/MadaiRushwaKariaTFF
RAIS MAGUFULI ATOA WIKI 1 TARATIBU ZA UWEKEZAJI KWA KAMPUNI YA SIT ZIKAMILIKE

- Ameziagiza Wizara ya Ardhi na Wizara ya Viwanda kukamilisha uwekezaji wa Kampuni ya Sugar Investment Trust(SIT) iliyocheleweshwa kuwekeza katika uzalishaji wa sukari tangu mwaka 2017

Zaidi, soma https://jamii.app/UwekezajiKampuniSIT
PERU: RAIS WA ZAMANI AJIUA KWA RISASI POLISI WALIPOTAKA KUMKAMATA

- Alan Garcia(69) amefariki baada ya kujipiga risasi kichwani leo wakati Polisi walipofika nyumbani kwake katika mji wa Lima kumkamata kwa kumuhusisha na vitendo vya rushwa

Zaidi, soma https://jamii.app/RaisAjiuaAsikamatwePolisi-PERU
TotalAFCONU17: Mchezo kati ya timu ya UgandaU17 na timu ya TanzaniaU17(Serengeti Boys) umemalizika

- UgandaU17 imeibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli yaliyofungwa na Kawooya Andrew katika dakika za 16 na 28 pamoja na Najib Yiga aliyefunga goli lake dakika ya 77
KENYA: UWANJA WA NDEGE WAFUNGWA KWA MUDA KUTOKANA NA TAHADHARI YA BOMU

- Ni Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliofungwa leo majira ya saa 7:00 mchana

- Ni baada ya abiria kwenye ndege ya Shirika la Kenya(KQ) kutamka neno “bomu”

Zaidi, soma https://jamii.app/JKIABombThreat
TRA: MWISHO WA MATUMIZI YA STEMPU ZA KARATASI NI APRILI 30, 2019

- TRA imepiga marufuku matumizi ya stempu za karatasi kwa bidhaa zote za sigara, pombe kali, mvinyo, bia na aina zote za vileo zenye stempu zisizo za kielektroniki

Zaidi, soma https://jamii.app/TRAStempuKaratasiMwisho
UEFA Champions: Mpira ni dakika ya 80, Man City wanaongoza kwa Goli 4 dhidi ya 3 za Spurs | On Aggr 4-4

> Matokeo ya mwisho yataamua nani anasonga mbele

#MCITOT #UCL
FT Results #UCL #PORLIV #MCIVSTOT #MCTOT | Liverpool & Spurs zinasonga mbele
MADEIRA, URENO: WATALII 28 KUTOKA UJERUMANI WAFARIKI KATIKA AJALI

> Wamefariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka

> Watu 21 wamejeruhiwa na wanaendelea na matibabu katika hospitali moja huko Santa Cruz

Soma > https://jamii.app/AjaliMadeira
KENYA: MAMA MWENYE NYUMBA AMUUA MPANGAJI WAKE KWA DENI LA TSH. 11,400/=

> Loice Kasembeli(Mama Kelele) anashikiliwa na Polisi kwa kuhusika na mauaji ya mpangaji wake(Mwanaume)

> Maiti yakutwa ndani ya nyumba yake ikiwa na majeraha shingoni

Soma > https://jamii.app/LandladyKillTenant