SUDANI: Waziri wa Ulinzi, Awad Ibn Aouf ametangaza kujiuzulu nafasi ya uongozi wa Serikali Mpito
> Jeshi lilitangaza kuunda Serikali ya mpito baada ya kumpindua Rais Omar al-Bashir
> Amemtangaza Abdel Fatah al-Burhan kuwa kiongozi mpya huku akimuondoa Kamal Abdul Maarouf katika baraza la Uongozi
#SudanUprising

DODOMA: MJI WA KISERIKALI KUZINDULIWA LEO NA RAIS MAGUFULI
> Mji huo ulianza kujengwa katika eneo la Mtumba nje kidogo ya jiji la Dodoma baada ya mwaka jana Wizara ya Fedha kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 23
Zaidi, soma => https://jamii.app/UzinduziMjiDodoma

KYELA: DIWANI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI
> Diwani wa kata ya Lusungo(CCM) mkoani Mbeya, Veronika Kanyanyila anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Oliva Kyusa kwasababu ya wivu wa Mapenzi
> Amehusishwa na mauaji hayo kwa vile mara kadhaa alimtuhumu Marehemu Oliva kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mume wake, Alfred Mwankenja
Soma - https://jamii.app/DiwaniMbaroniMauaji

POLISI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUTAPELI PESA ZA UPATU
> Mrakibu Msadizi wa Polisi (ASP), Lydia Ngua (43) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka 22 ya kujipatia fedha Tsh. 489,615,000 za upatu kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo maofisa wa Jeshi hilo
Soma - https://jamii.app/PolisiKizimbaniUpatu

RAIS AWAPANDISHA VYEO WALIOJENGA MJI WA SERIKALI NA KUTANGAZA AJIRA
> Amempandisha cheo cha kijeshi kiongozi na msimamizi mkuu wa ujenzi huo kutoka Kanali hadi Brigedia Jenerali
> Pia, amemwagiza Mkuu wa Majeshi kupeleka mapendekezo ya kuwapandisha vyeo maafisa wote wa Jeshi walioshiriki
Soma - https://jamii.app/AjiraVyeoJWTZ

TBS YAPIGA MARUFUKU UUZWAJI WA NYAYA ZA MAWASILIANO (DATA CABLE)
> Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marukufu kuuzwa kwa nyaya hizo baada ya kubainika hazikidhi viwango
> Wenye maduka yaliyokuwa yakiuza nyaya hizo wamepewa muda wa siku 14 kujieleza
> Wanaoingiza bidhaa kutoka nje ya nchi bila kukaguliwa kupitia PVoC, wanatozwa faini ya 15% kulingana na thamani ya mzigo
Soma - https://jamii.app/ZuioNyayaCable

MAREKANI: JAJI AMFANANISHA RAIS TRUMP NA WAKILI WA KUNDI LA WAUAJI LA KKK
> Jaji Wayne Reeves amemlaumu Rais Trump kwa kutoa kauli za kuishambulia Mahakama na kumfananisha na Wabunge wabaguzi wa enzi za sheria kandamaizi dhidi ya Watu weusi
Soma > https://jamii.app/FederalJudgeVsTrump

LIPUMBA: HALI YA UCHUMI TANZANIA HAIRIDHISHI
> Amesema maisha ya wananchi si bora, kinyume na mategemeo yao
> Aidha, hakuna mzunguko mzuri wa fedha na kusababisha Watanzania wengi mijini na vijijini kuishi kwenye umaskini
Zaidi, soma https://jamii.app/LipumbaUchumiHauridhishi
#JFLeo

TRA INASHIKILIA MABASI 70 YA MWENDOKASI TANGU FEBRUARI 2018
- Ni zaidi ya miezi 13 tangu mabasi hayo yakwame katika Bandari ya Dar es Salaam
- Kuyapiga mnada mabasi hayo inatakuwa ni maamuzi ya kisheria na kiutawala ya kodi ya TRA
Soma https://jamii.app/TRAVsMwendokasi