JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.46K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KUFANYIKA MEI 19

> Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata za halmashauri 6 katika mikoa 6 ya Tanzania Bara

> Uchaguzi katika kata hizo, utafanyika sambamba na uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki

Soma - https://jamii.app/UchaguziMadiwani2019
#JFLeo
RAIS MAGUFULI: BAADHI YA WATENDAJI SERIKALINI WAMEKUWA VICHWA VIGUMU KAMA KAMONGO

> Wamekuwa wakimuona mwekezaji kama adui badala ya rafiki

> Wapo waliokuja kuwekeza lakini wakapigwa mikwara hadi wakaenda nchi jirani

Soma > https://jamii.app/WatendajiKamongo

#JFLeo
BUNGENI, DODOMA: SERIKALI KUWASILISHA RIPOTI YA CAG

> Ripoti hii inawasilishwa Bungeni huku kukiwa na vuguvugu la Bunge kutangaza azimio la kutofanya kazi na CAG, Prof. Assad

Zaidi, soma => https://jamii.app/RipotiCAGBungeni

#JFLeo
NIGERIA: WATU 21 WAUAWA KWENYE SHAMBULIZI LA RISASI

> Shambulizi hilo limefanywa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha katika jimbo la Kaduna, Kaskazini mwa nchi hiyo

> Watu 3 wamejeruhiwa, nyumba 10 zimechomwa moto na Ngo'mbe 50 wameibwa

Soma - https://jamii.app/21DeadKadunaAttack
#JFInternational
UCHAGUZI ISRAEL: 95% YA KURA ZAHESABIWA, CHAMA CHA NETANYAHU CHAONGOZA

> Chama cha Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu cha Likud kinaongoza kwa kupata viti vingi vya Wabunge

> Chama cha 'Blue and White’ kinachoongozwa na Benny Gantz kinafuata

Soma > https://jamii.app/IsraelElection
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI 2017/18

> Ripoti hii imesheheni mambo muhimu yanayohitajika kufahamika kwa Umma, Serikali, Bunge na Menejimenti za Mamlaka za Serikali za Mitaa

Kwa nakala za ripoti, fungua > https://jamii.app/RipotiCAG

#RipotiYaCAG2018
RIPOTI YA CAG YABAINISHA MATUKIO YA UDANGANYIFU WA SHILINGI MILIONI 321

> CAG amesema wakati wa ukaguzi, alibaini matukio matatu ya udanganyifu wa Shilingi 321,377,067 ambayo yanahitaji uchunguzi zaidi

Soma => https://jamii.app/RipotiCAG

#RipotiYaCAG2018
CAG: CHADEMA WALINUNUA GARI NA KULISAJILI KWA JINA LA MWANACHAMA

> Gari hilo lilinunuliwa kwa Tsh.147 lilipaswa kusajiliwa chini ya Bodi ya Wadhamini

> NEC ilinunua mashine za BVR 8,000 kati ya hizo 5,000 hazikukidhi vigezo

Soma > https://jamii.app/RipotiCAG

#RipotiYaCAG2018
UGANDA YAMTAKA RAIS TRUMP KUTOINGILIA MASUALA YA NCHI YAO

> Msemaji wa Serikali ya Uganda, Ofwno Opondo amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapaswa kutatua na kurekebisha matatizo ya Taifa lake badala ya kuingilia masuala ya nchi ya Uganda

> Trump aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa watu hawataona Uganda ni sehemu salama hadi pale watekaji nyara wa raia wa Marekani Kim Sue Endicott pamoja na Jean-Paul Mirenge raia wa Congo watakapokamatwa

Soma - https://jamii.app/TrumpSafetyUG
#JFInternational
MABASI 58 YA DART YAONDOLEWA BARABARANI, UHABA WAIBUKA

> Taarifa ya DART imesema uhaba huo unatokana na mabasi kupata hitilafu mbalimbali ambapo idadi ya mabasi yanayotoa huduma leo katika mfumo wao ni 85, huku 58 yakifanyiwa matengenezo makubwa na madogo

Soma - https://jamii.app/UbovuMabasiDart
#JFLeo
Ripoti ya CAG 2017/2018: ‘Madudu’ yaliyofanywa katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015