MWANAFUNZI AJINYONGA BAADA YA KAKA KUSHINDWA KUMUHUDUMIA
> Ephria Valeli (15) wa darasa la 7, Shule ya Msingi Ifukutwa Kata ya Mpanda Ndogo Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amejinyonga kwa kutumia tisheti kwa kile kinachodaiwa kuchoshwa na manyanyaso ya walezi wake walioshindwa kumuhudumia mahitaji yake ya msingi
Soma - https://jamii.app/MwanafunziAjinyongaHuduma
#JFLeo

CHRISTCHURCH, NEW ZEALAND: SILAHA ZA KIVITA ZAPIGWA MARUFUKU KUUZWA KWA RAIA
> Hii ni baada ya kutokea kwa mashambulio katika misikiti miwili na kuua watu 50
> Mtu aliyehusika katika mashambulizi hayo alinunua silaha yake kwa njia halali
Soma => https://jamii.app/NewZealandShooting

TAHARUKI: TETEMEKO LA ARDHI LAITIKISA MBEYA
> Taarifa kutoka Jiji la Mbeya zinaeleza kuwa tetemeko la ardhi limepita na kuzua taharuki kwa watu. Yaelezwa kuwa limechukua sekunde 5-10
> Lina ukubwa wa kipimo cha 5.1. Athari zake bado hazijafahamika
Zaidi, soma > https://jamii.app/TetemekoMbeya

DAR: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA QATAR
> Rais Magufuli ameiomba Qatar ishirikiane na Tanzania katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye sekta ya nishati umeme, ujenzi wa reli, barabara na madaraja
Zaidi, soma > https://jamii.app/TanzaniaVsQatar

ASKARI AHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA KWA MAKOSA YA RUSHWA
> Tufike Tumaini aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka 13 ya rushwa, amehukumiwa adhabu ya miaka 2 jela, baada ya kutiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Tsh. 600,000
Soma - https://jamii.app/AskariJelaRushwa

HISTORIA YA KABILA LA WABENA
> Wabena ni kabila la kibantu linalopatikana katika eneo la Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania Wilaya ya Njombe Mkoa wa Iringa
> Maeneo makuu ya Wabena yamegawanyika katika sehemu tano ndani ya Wilaya ya Njombe ambayo ni Ivanging’ombe, Usovi, Ikilavugi, Nyikolwe na Mfirika
> Kibena ni lugha pana yenye utajiri wa maneno na lahaja kuu tano ila lugha yao ni moja tu ila tofauti ni ndogondogo, zinazotokana na matamshi
Zaidi, tembelea - https://jamii.app/HistoriaKabilaWabena
#JFHistoria

ATHARI ZA TETEMEKO NYANDA ZA JUU KUSINI: MTU MMOJA AFARIKI, NYUMBA NNE ZABOMOKA
> Mkazi Mmoja wa Kijiji cha Iyula(Songwe) amefariki baada ya kuangukiwa na ukuta
> Rukwa: Nyumba 4 na nyingine nyingi zapata nyufa
Soma > https://jamii.app/TetemekoMbeya
#MbeyaEarthQuake #RukwaEarthquake

MASUL, IRAQ: WATU 40 WAMEFARIKI BAADA YA KIVUKO KUZAMA
> Takribani watu 40 wamefariki baada ya kivuko kuzama katika Mto Tigris karibu na eneo la kitalii
> Waliofariki wengi ni Wanawake na Watoto
Zaidi, soma => https://jamii.app/FerrySunkIraq
#JFInternational

TANZANIA KUWASILISHA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA SDG
> Tanzania itawasilisha kwa mara ya kwanza ripoti ya tathmini kuhusu utekelezaji wa malengo endelevu ya maendeleo (SDG) kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mwaka huu ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya Umoja wa Mataifa
Soma - https://jamii.app/SDGRipotiTz

TANZANIA YASHAURIWA KUTATHMINI ONGEZEKO LA WATU
> Benki ya Dunia (WB) imeishauri Tanzania kutathmini mwenendo wa ongezeko la watu, kuwekeza katika elimu kwa kuzingatia mapinduzi ya teknolojia, kuendeleza kilimo na kushirikisha sekta binafsi katika mambo mbalimbali
> Tathimini ya ongezeko la watu na kukua kwa Pato la Taifa vilikuwa ni vitu muhimu ili kufikia uchumi wa kati
Soma - https://jamii.app/WBUchumiTanzania

HISTORIA KUHUSU VITA KUU YA KWANZA YA DUNIA
> Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilikuwa vita iliyopiganwa kuanzia mwaka 1914 hadi 1918 na Mataifa wapiganaji yalikuwa Ujerumani, Austria-Hungaria, Bulgaria na Uturuki kwa upande mmoja dhidi ya Ufaransa, Urusi, Uingereza, Italia, Marekani na nchi mbalimbali zilizoshirikiana nazo
> Sababu yake ilikuwa mashindano makali kati ya mataifa ya Ulaya kuhusu kushika nafasi ya kipaumbele barani Ulaya na duniani kote
Tembelea - https://jamii.app/HistoriaVita1Dunia

RC AKANUSHA KUKATAZA UVAAJI WA SARE ZA CCM, MWANDISHI AKAMATWA
> Mkuu wa Mkoa wa Songwe amekanusha kuwazuia wanachama wa CCM kuvaa sare za chama chao wakati wa sherehe za Mwenge
> Mwandishi wa Gazeti la Majira, Mashaka Mhando akamatwa kwa tuhuma za kuandika habari hizo ikidaiwa kuwa ni upotoshaji
Soma - https://jamii.app/MwandishiAkamatwaSare

CHINA: WATU 44 WAFARIKI NA 640 KUJERUHIWA BAADA YA KIWANDA CHA DAWA KULIPUKA
> Kiwanda kimoja cha dawa za kuulia wadudu kilichopo katika Jimbo la Jiangsu kimelipuka na kusababisha maafa hayo
> Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali 16 tofauti na kuhudumiwa na wahudumu 3,500
Soma > https://jamii.app/ChinaMlipuko

WAHAMIAJI HARAMU MIONGONI MWA WENYE MIKOPO YA ELIMU
> Idara ya Uhamiaji Mkoani Kagera itawafikisha Mahakamani watu 5 akiwemo M/Kiti wa Kijiji cha Rwagati, kwa tuhuma za kuwawezesha raia 2 wa Rwanda kupata mikopo ya elimu kinyume cha sheria
Soma - https://jamii.app/WahamiajiHaramuHESLB

SIKU YA MAJI DUNIANI: WATANZANIA 80% WAISHIO MIJINI NA 64% VIJIJINI WANAPATA MAJI SAFI
> Lengo la siku hii ni kuangalia umuhimu wa maji safi na njia madhubuti za kuhakikisha vyanzo vya maji safi vinatunzwa na kuendelezwa
Soma > https://jamii.app/SikuYaMajiDuniani
#WorldWaterDay

RAIS MSTAAFU WA BRAZIL MBARONI KWA TUHUMA ZA UFISADI
> Rais Mstaafu wa Brazil, Michel Temer ametiwa mbaroni jijini Sao Paulo kwa tuhuma za rushwa na ufisadi kupitia operesheni 'Car Wash' baada ya kinga aliyokuwa nayo ya kutoweza kushtakiwa kuisha
> Alikuwa Rais toka mwaka 2016 mpaka 2018
Soma - https://jamii.app/ExPresidentArrested

KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII ZA KENYATTA ZASITISHWA
> Akaunti za mitandao ya kijamii za Rais Uhuru Kenyatta leo asubuhi zimezimwa baada ya kudaiwa kudukuliwa saa chache baada ya kutolewa ujumbe wa kuwaonya mafisadi
> Akaunti zilizofungwa ni ya Twitter pamoja na Facebook
Soma - https://jamii.app/KenyattaSociaMediaSuspended

WANAFUNZI MBARONI KWA KUHARIBU PICHA YA RAIS NKURUNZIZA
> Wanafunzi watatu wa kike nchini Burundi wanaweza kukabiliwa na kifungo cha miaka mitano jela kwa kuharibu picha ya Rais Pierre Nkurunziza kwa kuchora kwenye madaftari yao
> Walikamatwa wiki iliyopita na wanasubiri kufikishwa Mahakamani Jumatatu ijayo
Soma - https://jamii.app/StudentsArrestedDoodling