NASSARI ASEMA ATAENDA MAHAKAMANI ASIPOPATA HAKI YAKE
- Asema hakuhudhuria Bunge la Novemba 2018 na Januari 2019 kutokana na mke wake kuwa na matatizo ya kiafya
- Asema alimtaarifu Spika kupitia anuani aliyopewa na Msaidizi wa Spika
Zaidi, soma https://jamii.app/NassariAongeaKuvuliwaUbunge

TANZIA: WAKILI SHUKURU MLWAFU AFARIKI
- Amefariki dunia leo nyumbani kwake jijini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mrefu
- Alikuwa akifundisha sheria UDOM na ndiye aliyefungua kesi kupinga Wafanyakazi kukatwa 15% ya mshahara na HESLB
Zaidi, soma https://jamii.app/WakiliMlwafuAfariki

SERIKALI YAAHIDI KUMALIZA MALIPO YA KOROSHO KABLA YA MACHI 31, 2019
> Yasema uhakiki umekamilika kwa kiasi kikubwa ikiwemo kuwabaini 'Kangomba' wote
> Hadi sasa Tani 222,684 zimekusanywa na Sh. Bilioni 596.9 kati ya Bilioni 723 zimeshalipwa
Zaidi, soma https://jamii.app/MalipoKoroshoMachi31

TAKRIBANI WATU 150 WAMEFARIKI KUTOKANA NA KIMBUNGA
- Mamia wengine hawajulikani walipo baada Kimbunga Idai kuzikumba nchi za Malawi, Msumbuji na Zimbabwe
- Aidha, zaidi ya watu Milioni 1.5 wameathiriwa na Kimbunga hicho katika nchi hizo tatu
Zaidi, soma https://jamii.app/KimbungaChauaZimbabwe

GEITA: UKUSANYAJI WA MADUHULI SEKTA YA MADINI WAONGEZEKA
- Kati ya mwaka 2011 hadi 2018 ukusanyaji wa maduhuli katika sekta ya madini umetoka Tsh. Bilioni 24 hadi Tsh. Bilioni 114.7
- Moja ya sababu ni mabadiliko ya kisheria yenye manufaa
Zaidi, soma https://jamii.app/UkusanyajiMaduhuliMadiniWapanda

KENYA: WAKILI AMPIGA RISASI MWANAE NA KUMUUA
- Wakili Assa Kibagedi anasema alimpiga mwanae risasi kwa bahati mbaya akiwa anaihifadhi silaha ndani ya gari walimokuwepo wote
- Wakili huyo kwa sasa yupo kituo cha Polisi huku tukio hilo likiendelea kuchunguzwa zaidi
Zaidi, soma https://jamii.app/WakiliAuaMwanaeKNY

WATUMISHI 12 NJOMBE KUKAMATWA KWA TUHUMA ZA UBADHILIFU
> Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ameagiza kukamatwa kwa watumishi 12 akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri kwa ubadhilifu wa Tsh bilioni 5.5 za ujenzi wa kituo cha mabasi
Soma - https://jamii.app/WatumishiKamatwaUbadhilifu
#JFLeo

GEITA YAPATA SOKO LA MADINI, WATOROSHAJI KUADHIBIWA KISHERIA
> Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa tahadhari kwa wadau wote wa madini kuwa atakayekamatwa anatorosha madini, atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo utaifishaji wa madini atakayokuwa akiyatorosha
> Ametoa tahadhari hiyo jana wakati akifungua soko la madini la Mkoa wa Geita ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Magufuli la kuitaka mikoa yote ianzishe masoko ya madini
Soma - https://jamii.app/SokoMadiniGeita

MAHAKAMA KUU YAMTAMBUA PROF LIPUMBA KAMA MWENYEKITI HALALI WA CUF
> Kesi ilifunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho wanaomuunga mkono Maalim Seif baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa kudai anamtambua Lipumba kama Mwenyekiti halali
Soma > https://jamii.app/MahakamaKuuLipumba

MALI ZA MANJI ZAZUILIWA KUTOKANA NA DENI LAKE NBC
> Mahakama Kuu imezuia mali za mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuph Manji kutokana na madeni anayodaiwa na Benki ya NBC
> Anadaiwa zaidi ya Tsh bilioni 25 ambazo hajazirejesha kwa wakati
Soma - https://jamii.app/ZuioManjiNBC

JESHI LA POLISI LAUA MTU MMOJA AKIDAIWA KUWA JAMBAZI
> Jeshi la Polisi Wilayani Muheza Mkoani Tanga limemuua kwa kumpiga risasi Mkazi wa Dar es Salaam, Mwinyiheri Nuhu, akidaiwa alikuwa akijihusisha na ujambazi
> Yeye na wenzake walivamia nyumba ya Mfanyabiashara Ally Nassoro Wilayani Muheza wakiwa na bunduki juzi usiku na kupora Tsh. milioni moja
Soma - https://jamii.app/JambaziKifoPolisi

MWANAFUNZI WA DARASA LA 5 AJIUA KWA KUJINYONGA
> Ktk Kijiji cha Shaviringa ndogo ya makuchi, Kenya, mvulana (13) amejitoa uhai kwa kujinyonga na kamba
> Ni baada ya wazazi wake kumuadhibu kwa kosa la kuchukua kitu cha jirani yao
Soma - https://jamii.app/MwanafunziAjinyongaKE
#JFInternational

MAALIM SEIF ATANGAZA KUJIUNGA NA ACT-WAZALENDO
> Mwanasiasa mkongwe na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF ametangaza kukihama chama hicho na kuhamia ACT Wazalendo
> Maalim Seif ametangaza uamuzi huo mchana huu
Zaidi, soma => https://jamii.app/MaalimACT

ATHARI ZA KULA MATUNDA NA MAJI TU KWA MUDA MREFU
> Matumizi ya matunda na maji kama chakula ndani ya mwezi mzima itasababisha upungufu wa Vitamin za aina zote ila kwa kiasi kikubwa Vitamin B12 ambayo haipatikani kwenye tunda lolote lile
> Upungufu wa B12 unaweza kusababisha matatizo ya kinyurologia, ikiwamo matatizo ya akili (psychosis) na kuharibika kwa Kongosho, ambapo kwa kiasi kikubwa utapata kansa
Zaidi, soma - https://jamii.app/AthariMatundaMajiTu
#JFAfya

SERIKALI YAAGIZA ASKARI WALIOTUKANA NA KUMPIGA DEREVA WAKAMATWE
> Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
> Askari hao wanaonekana kupitia picha ya video wakimpiga dereva na kumtukana
Zaidi, soma => https://jamii.app/AskariKukamatwa

SPIKA NDUGAI: NINATAFAKARI HATUA ZA KUMCHUKULIA LIJUA LIKALI
> Taarifa rasmi ya Ofisi ya Bunge, imemtuhumu Mbunge huyo wa Jimbo la Kilombero kwa kumtolea kauli ya dharau na kejeli Spika na Bunge zima mbele ya Wanahabari Machi 17
Zaidi, soma > https://jamii.app/SpikaNdugaiVsMbungeLijualikali

MADHARA YA KUINGIZA VIDOLE UKENI WAKATI WA KUJISAFISHA
- Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivyo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
- Pia husababisha wadudu kupenya kirahisi mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operesheni
Zaidi, tembelea - https://jamii.app/VidoleUkeniKujisafisha

KAGERA: WATU 3 WANAODAIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA
> Polisi walikuwa wakipelekwa zilikofichwa silaha, ghafla walianza kushambuliwa kwa risasi kutoka porini
> Waliouawa ni Erick Samson(Burundi), Shabani Magote na mmoja jina lake halijafahamika
Soma > https://jamii.app/MajambaziKagera

MAELEZO KUHUSU LISHE KWA MBWA NA UANDAAJI WA CHAKULA CHAKE
> Vyakula vingi vya Mbwa hupatikana madukani kutoka viwandani maana vimefanyiwa utafiti ila hata wewe mmiliki wa Mbwa unaweza kujitengenezea chakula mwenyewe
> La muhimu kuzingatia ni kuwa Mbwa anaweza kukaa muda mrefu bila kula chakula ( Hunger tolerance) lakini hawezi kukaa muda mrefu bila kunywa maji. Akipoteza 1/10 ya maji yake mwilini hupoteza maisha
> Chakula cha Mbwa kinatakiwa kuwa na ladha na harufu ya kuvutia, kiwango kikubwa cha nguvu (wanga) na Protini ya kutosha kuwezesha ukuaji
Fahamu zaidi - https://jamii.app/ChakulaLisheMbwa
#JFKilimo

NINI MAANA YA KUVAA NGUO NYEUSI MSIBANI?
> Mjadala ndani ya JamiiForums unaeleza kwamba nguo nyeusi kwenye misiba huwa ni ishara ya kufukuza pepo wachafu/ roho za mauti na wengine wanadai kwamba nguo nyeusi inapovaliwa msibani ni kukumbushana kwamba asili yetu wote ni mavumbini kama ambavyo marehemu anatangulia kwenye kwenye asili yake, na sisi tutafuata
> Je, kwa mtazamo wako ni kwanini rangi nyeusi hutawala sana kwenye misiba?
Tembelea - https://jamii.app/RangiNyeusiMsibani
#JFHoja