JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.44K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
IRINGA: SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WAGANGA WA JADI KUPEWA LESENI

> Marufuku hiyo imetangazwa kutokana na ongezeko la waganga wanaoelezwa kuchochea matukio ya uhalifu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo

Zaidi, soma => https://jamii.app/IringaWagangaLeseni
KIGOMA: WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MHAZINI WA WILAYA YA KIBONDO

> Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha

> Thomas Chogolo atuhumiwa kwa kutoweka mapato kwenye mfumo wa Serikali

Zaidi, soma => https://jamii.app/MhaziniKibondoVsPM

#JFLeo
UTEUZI: RAIS MAGUFULI AMEMTEUA EZEKIEL KASHIMBA KUWA MKURUGENZI MKUU WA PSSSF

> Kabla ya uteuzi alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani wa Shirika la NSSF

> Ameteuliwa kuchukua nafasi ya Eliud Sanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa

Soma > https://jamii.app/UteuziPSSSF

#JFLeo
TANZIA: MENEJA MAWASILIANO WA TFS AFARIKI GHAFLA

> Meneja Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu(TFS), Glory Mziray kufariki dunia leo wakati akizungumza na waandishi wa habari

Zaidi, soma => https://jamii.app/TanziaMenejaTFS

#JFLeo
NAPE: NATAMBUA MAUMIVU WANAYOYAPATA WANANCHI KWA BUNGE KUTOKUONESHWA 'LIVE'

> Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa, Michezo na Wasanii, Nape Nnauye amesema anajua kuwa wananchi wanaona jambo hilo halikuwatendea haki

Zaidi, soma > https://jamii.app/NapeBungeLive

#JFLeo
TABORA: MWENYEKITI WA KITONGOJI AKAMATWA KWA ULAWITI

> Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Usinge Kati kwa tuhuma za ulawiti, kumuingiza miti na chupa na kuuponda uume wa kijana aliyemtuhumu kwa kutembea na Mke wake mdogo

Soma > https://jamii.app/UlawitiTabora
KIGOMA: WAZIRI MKUU AFUNGA SOKO LA NDUTA, ASEMA LIHAMISHIWE NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI

> Amesema udhibiti wa Wakimbizi wanaotoka nje ya kambi kwa ajili ya kupata mahitaji ni mgumu sana kwani hawatakiwi kuchanganyika na raia

Zaidi, soma > https://jamii.app/FungaSokoNduta
ELIMU YA URAIA: JE, ASKARI POLISI ANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE ATAKACHO?

> Askari Polisi anaweza kufanya kile kinachokubalika kisheria

> Askari wanaongozwa na sheria na kanuni za nchi [Kwa mfano hairuhusiwi Polisi kutukana au kudhalilisha]

Soma > https://jamii.app/Mambo101Polisi

#JFCivic
KENYA: AKAMATWA KWA KUWAZUIA WATOTO WAKE KUPATA ELIMU NA AFYA

> Tumaini Hamisi amekamatwa kwa tuhuma za kuwazuia Watoto wake kupata huduma hizo

> Yeye ni muumini wa Kanisa la Good News International Church na anaamini elimu ni ushetani

Soma => https://jamii.app/WatotoElimuAfya
INDIA: LORI LAGONGANA NA MSAFARA WA HARUSI, 13 WAPOTEZA MAISHA

> Lori hilo lililokuwa kwenye mwendokasi liligongana na msafara wa harusi na kusababisha vifo vya watu 13 na kujeruhi 19 katika jimbo la Racastan Magharibi mwa India

Soma - https://jamii.app/13DeadWeddingConvoy
VINGUNGUTI YANYANG'ANYWA FEDHA ZA UJENZI WA MACHINJIO

> Serikali imeinyang'anya Manispaa ya Ilala, Tsh bilioni 3 ilizoipa kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Machinjio ya Kisasa wa Vingunguti, baada ya kushindwa kutekeleza mradi huo kwa wakati

Soma - https://jamii.app/VingungutiKukosaMachinjio
HUAWEI NA MAREKANI ZAENDELEA KUTUNISHIANA MISULI

> Mwanzilishi wa Huawei amesema, hakuna njia ambayo Marekani inaweza kuitumia ili kuivunja kampuni hiyo

> Ren Zhengfei amesema hata kukamatwa kwa binti yake, ni hatua ya kisiasa tu

Soma - https://jamii.app/HuaweiVsUS
WATANZANIA WANACHANGIA HARUSI MILIONI 300, LAKINI SI CHOO CHA SHULE CHA MILIONI 20

> Ndani ya JamiiForums kuna mada inayoelezea suala hili na mleta mada anasema kwake anaona huu kama ugonjwa wa kujitakia

Zaidi kuhusu mada hii, soma > https://jamii.app/MichangoHarusi

#JFHoja
KENYA: MKE AUAWA, MUME AJERUHIWA NA MABINTI ZAO 3 WABAKWA

> Jeshi la Polisi linawatafuta wahuni waliomuua mwanamke mmoja kwa kumkatakata hovyo, kumjeruhiwa vibaya mumewe na kuwabaka mabinti 3 alfajiri ya leo, eneo la Letein

Soma - https://jamii.app/MauajiUbakajiKE
SAKATA LA MAUAJI SIMIYU: IGP AMNG'OA KAMANDA WA POLISI

> IGP Sirro amemuondoa RPC Deusdedit Nsimeki kwa kushindwa kudhibiti matukio ya mauaji ya watoto

> Amesema kuwa amekuwa akilalamikiwa na Wananchi kushindwa kudhibiti uhalifu huo

Soma > https://jamii.app/IGPVsRPCSimiyu

#JFLeo
ATEKETEA KWA MOTO ALIOUWASHA SHAMBANI KWAKE

> Mkazi wa Kijiji cha Kilongo, Muheza mkoani Tanga, Saidi Sekizenge (72), amefariki kwa kuteketea kwa moto akiwa shambani kwake

> Mzee huyo alikuwa akichoma majani yaliyokauka shambani mwake

Soma - https://jamii.app/AteketeaMotoShambani
MBINU ZA KUKUWEZESHA KUFANYA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO

> Chagua wazo la biashara unalolipenda na kuliweza vyema

> Anza na unachokijua pasipo kuhusisha mambo mengi mageni kwa kuwa huna pesa za kuyagharamia

> Waambie watu unachokifanya ili kupata wateja na kufahamika na usiogope kueleza kuwa unafanya biashara ya aina fulani

Soma - https://jamii.app/BiasharaMtajiMdogo
MUSEVENI APITISHWA KUGOMBEA TENA URAIS UGANDA

> Kamati kuu ya Chama Tawala nchini Uganda, NRM imemtangaza Rais Yoweri Museveni kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2021

> Rais Museveni amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30

Soma - https://jamii.app/NRMEndorsesMuseveni6thPhase
JE, KUFANIKIWA NI BAHATI AU NI JUHUDI ZA MTU BINAFSI?

> Wapo wanaosema mafanikio mara nyingii huendana na bahati ya mtu kwasababu kuna wengi wamepambana/wanapambana vya kutosha bila kufikia mafanikio mpaka hujikatia tamaa

> Wengine hudai kufanikiwa bali juhudi binafsi za mtu na ndizo humpeleka kwenye mafanikio tarajiwa na wote waliofanikiwa wamepambana vya kutosha

> Mtazamo wako ni upi katika hili?

Tembelea - https://jamii.app/BahatiVsJuhudiKufanikiwa
RAIS MAGUFULI ATEUA MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA USHINDANI

> Mkurugenzi mpya wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima ni Dkt. Ng'umbi

> Jaji Magoiga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushindani

Soma > https://jamii.app/UteuziTEWW

#JFLeo