JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
WAZIRI MKUU ATOA ONYO KWA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI WA HALMASHAUR, ATAKA WAPATANE

> Amewaonya DC wa Wilaya ya Biharamulo, Sada Malunde na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Wende Ng'ahara wanaotuhumiana kwa ushirikina(kurogana)

Zaidi, soma => https://jamii.app/PMVsDCDEDBiharamulo
BARRICK WAAHIDI KUILIPA TANZANIA BILIONI 682.5, ACACIA WAKANA

> Mtendaji Mkuu wa Barrick Gold, Dkt. Willem Jacobs ameahidi kutekeleza malipo hayo

> Acacia ambao wana hisa nyingi ndani ya Barrick Gold leo wamekana kuwa na taarifa

Soma => https://jamii.app/BarrickTzAcacia
CROATIA: MWILI WA BINTI ALIYETOWEKA MWAKA 2000 WAKUTWA KWENYE JOKOFU LA DADA YAKE

> Jasmina Dominic(23) alitoweka mwaka 2000 wakati akiwa Mwanafunzi

> Mwaka 2005 familia yake ilisema aliwaaga anakwenda kufanya kazi kwenye Meli

Zaidi, soma => https://jamii.app/CroatiaMwiliFriji
RAIA WA PERU ALIYEINGIZA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFUNGWA MIAKA 20

> Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama Kuu kwa raia wa Peru, Wallenstein Santillan baada ya kumkuta na hatia ya kuingiza nchini #DawaZaKulevya aina ya Cocaine gramu 1420.78

Soma => https://jamii.app/RaiaPeruHukumu
WAHAMIAJI 22 WAKAMATWA TABORA

> Jeshi la Polisi mkoani Tabora limewakamata wahamiaji haramu 22 ambao walikuwa wakisafiri kutoka nchini Burundi kupitia Kigoma, Tabora na kisha kuelekea nchini Zambia kwa basi

> 9 kati yao ni watoto wadogo

Soma - https://jamii.app/Wahamiaji22WakamatwaTBR
KATIBU MKUU UN ATEUA KAMANDA MPYA WA TUME YA KULINDA AMANI

> Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amemteua Meja Jenerali Zia Ur Rehman kuwa Kamanda wa kikosi cha Tume ya Umoja huo Magharibi mwa Jangwa la Sahara MINURSO

Soma- https://jamii.app/UNNewForceCommander
POLISI WAMKAMATA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANAHARAKATI WA UJANGILI

> Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, limemkamata Limito Lebangu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwanaharakati wa kupambana na ujangili, Faustine Sanka ktk Hifadhi ya Tarangire

Soma https://jamii.app/MuuajiSankaAkamatwa
PAKA ARITHISHWA UTAJIRI WA BILIONI 456

> Paka aliyekuwa akimilikiwa na mkongwe wa mitindo Duniani, marehemu Karl Lagerfeld ndiye mrithi wa utajiri unaotajwa kufikia zaidi ya shilingi Bilioni 456 za Kitanzania

> Karl(85) alifariki Februari 19

Soma - https://jamii.app/PakaArithiBil465
SERIKALI KUUNDA KAMATI ILI KUCHUNGUZA KISA CHA MAHABUSU KUTESWA

> Waziri Kangi Lugola ameagiza kuundwa kwa kamati itakayochunguza tukio la Musa Yahya, anayedai kupigwa na kuingiziwa chupa sehemu za siri akiwa Kituo cha Polisi Loliondo

Soma - https://jamii.app/TumeMahabusuKuteswa
BANGLADESH: AJALI YA MOTO YASABABISHA VIFO 70

> Moto mkali uliozuka usiku kwenye nyumba kadhaa ktk mji mkuu wa Dhaka nchini Bangladesh, umesababisha vifo vya takribani watu 70, hasa wanawake na watoto na wengine kadhaa kujeruhiwa

Soma - https://jamii.app/70DeadFireAccident
ELIMU YA URAIA: Askari Polisi anaweza kunilazimisha kukiri kosa?

> Mtuhumiwa akikataa kuongea ni wajibu wa Polisi kumfikisha Mahakamani ndani ya saa 24

> Maelezo ya kukiri kosa yatokanayo na kuteswa hayakubaliki kama ushahidi Mahakamani

Soma > https://jamii.app/Mambo101Polisi

#JFCivic
WAZIRI ATENGUA KAULI KUHUSU UAGIZAJI WA SUKARI NJE

> Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametengua kauli yake kuhusu Sukari kutokuagizwa kutoka nje ya nchi na kuwataka wazalishaji kuendelea kuagiza bidhaa hiyo

> Alitoa zuio hilo Februari 12

Soma - https://jamii.app/VibaliSukariVyarejeshwa
MWANZA: MWANDISHI WA KAMPUNI YA MWANANCHI AKAMATWA NA JESHI LA POLISI

> Jonathan Musa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya kumpiga picha Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(RCO) wa Mwanza, Faustine Mafwere

Zaidi, soma => https://jamii.app/MwandishiMwananchiMwanza

#JFLeo
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI

> Jasmini Ngoye (18), mwanafunzi wa kidato cha nne Manispaa ya Morogoro, amekutwa amekufa baada ya kujipiga risasi ya kichwa Februari 19 huku chanzo cha kifo kikidaiwa kuwa ni msongo wa mawazo

Soma - https://jamii.app/MwanafunziAjipigaRisasi
MGOGORO WA ARDHI: MMOJA AJERUHIWA KWA MKUKI NA MABOMA ZAIDI YA 20 YATEKETEZWA KWA MOTO

> Tukio hilo limetokea katika eneo la Mferejini lililopo mpakani mwa Wilaya ya Arumeru na Monduli

> Mgogoro huo umewahusisha wakulima na wafugaji

Soma > https://jamii.app/MgogoroAruMonduli

#JFLeo
OHIO, MAREKANI: AMSHAMBULIA WAKILI WAKE BAADA YA KUFUNGWA MIAKA 47 JELA

> David Chislton aliyehukumiwa kifungo cha miaka 47 jela amemshambuliwa Wakili Aaron Brockler na kumvunja pua

> Asema ameshindwa kumtetea

Zaidi, soma => https://jamii.app/OhioManAttacksHisLawyer

#JFInternational
UNAKUMBUKA NYIMBO GANI ZILIZOTAMBA KIPINDI CHA NYUMA

> Kila kukicha wasanii wa Bongo Fleva wanaongezeka na mahadhi ya nyimbo zao hubadilika kila siku

> Tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi cha nyuma na nyingine bado zinabamba hata sasa

Tembelea - https://jamii.app/BongoFlevaKale
#JFBurudani
👍1
KONDOMU MILIONI 1 ZIKO NJIANI KUELEKEA MAFINGA & NJOMBE

> Mafinga & Njombe uhitaji ni mkubwa, Serikali imelazimika kupeleka mipira hiyo kwa dharura

> Mwisho wa mwezi kondomu milioni 9 zitaingia nchini na mwezi Machi zitaingia Millioni 90

Soma > https://jamii.app/KondomuNjombe
RPC MBEYA ATHIBITISHA KUMHOJI 'SUGU' KWA KUTOA KAULI YA UCHOCHEZI

> Kamanda wa Polisi Ulrich Matei amethibitisha kumuhoji Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu kwa kukashfu vitambulisho vya Serikali

Zaidi, soma => https://jamii.app/SuguVsRPCMbeya
CHINA YAIUNGA MKONO TANZANIA KWA KUMFUNGA MALKIA WA MENO YA TEMBO

> Serikali ya China imetangaza kuiunga Mkono Tanzania baada ya kumhukumu Yang Fenglan kifungo cha miaka 17 kwa hatia ya kuua na kusafirisha meno ya Tembo 700 kwenda nje

Soma => https://jamii.app/ChinaBacksTanzania
👍1