JamiiForums
52.9K subscribers
34.3K photos
2.43K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MAREKANI: MAJIMBO 16 YAUSHTAKI UTAWALA RAIS TRUMP

> Muungano wa majimbo 16 nchini Marekani yameushtaki utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uamuzi wa kutangaza hali ya dharura ili kukusanya fedha za ujenzi wa ukuta mpakani na Mexico

Soma- https://jamii.app/MajimboYamshtakiTrump
UGANDA: KODI YA MITANDAO YA KIJAMII YAPUNGUZA WATUMIAJI MILIONI 5 NDANI YA MIEZI 6

> Kodi hii kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii ilitambulishwa mwezi Julai 2018 imetajwa kupunguza watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini humo

Zaidi, soma => https://jamii.app/UgandaSMTax
WANANCHI WA MBEYA WAINGIWA NA HOFU JUU YA MATUKIO YA UBAKAJI

> Wananchi wa Mbalizi Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, wameripoti kuwa, Februari 14 binti wa darasa la 7 alibakwa na mabinti wengine 3 walinusurika kubakwa Jumapili wakiwa Kanisani

Soma - https://jamii.app/UbakajiWatotoMbeya
KENYA: MUME AUA MKEWE BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA UGALI

> Mwanaume mmoja(45) katika Kaunti ya Kakamega amenusurika kifo kwa kunywa sumu baada ya kumuua mkewe kisa kikiwa ni kukataa kumpikia ugali

> Alimvamia mkewe kwa kutumia kisu

Soma - https://jamii.app/ManKillsWifeOverUgali
ELIMU YA URAIA: NINI MAANA YA AMRI NA HATI YA UPEKUZI?

> Amri ya Upekuzi (Search Order) ni kibali kitolewacho na Mkuu wa Kituo cha Polisi

> Wakati Hati ya Upekuzi (Search Warrant) ni kibali kitolewacho na Mahakama

Zaisi, soma => https://jamii.app/Mambo101Polisi

#JFCivic
UPDATE: Mahakama nchini Kenya yamwachilia huru Boniface Wangeci, baba aliyetaka kumtorosha mtoto wake Hospitali ya Taifa Kenya (KNH) ili kukwepa kulipa pesa ya matibabu kiasi cha Ksh 56,000

> Amepewa miezi 3 kudhihirisha kwa vitendo kuwa hakusudii kujitia hatiani tena
#JFInternational
MALKIA WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE WAKUTWA NA HATIA

> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan(66) na wenzake 2 baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa katika kesi yao ya kujihusisha na biashara haramu ya Meno ya Tembo

> Imewahukumu kifungo cha miaka 17 jela kila mmoja

Zaidi, soma https://jamii.app/MalkiaMenoTemboHatiani
TANZANIA YAPEWA SIKU 45 KUJIBU KUHUSU MATOKEO YA UCHAGUZI KUPINGWA MAHAKAMANI

> Mahakama ya Afrika ya haki za binaadamu (ACHPR) imeipa siku 45 Serikali ya Tanzania kutoa utetezi wake juu ya, kwanini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani?

Soma - https://jamii.app/ACHPRVsTZGovernment
KESI YA MWANARIADHA CASTER SEMENYA YAANZA KUSIKILIZWA

> Mwanariadha huyo(SA) anapinga Sheria zinazopendekezwa na Shirikisho la Riadha Duniani kuhusu viwango vya Homoni ya testosterone kwa wanariadha ktk Mahakama ya michezo

Soma - https://jamii.app/SemenyaVsIAAFCourt
IRINGA: SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WAGANGA WA JADI KUPEWA LESENI

> Marufuku hiyo imetangazwa kutokana na ongezeko la waganga wanaoelezwa kuchochea matukio ya uhalifu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo

Zaidi, soma => https://jamii.app/IringaWagangaLeseni
KIGOMA: WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MHAZINI WA WILAYA YA KIBONDO

> Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha

> Thomas Chogolo atuhumiwa kwa kutoweka mapato kwenye mfumo wa Serikali

Zaidi, soma => https://jamii.app/MhaziniKibondoVsPM

#JFLeo
UTEUZI: RAIS MAGUFULI AMEMTEUA EZEKIEL KASHIMBA KUWA MKURUGENZI MKUU WA PSSSF

> Kabla ya uteuzi alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani wa Shirika la NSSF

> Ameteuliwa kuchukua nafasi ya Eliud Sanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa

Soma > https://jamii.app/UteuziPSSSF

#JFLeo
TANZIA: MENEJA MAWASILIANO WA TFS AFARIKI GHAFLA

> Meneja Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu(TFS), Glory Mziray kufariki dunia leo wakati akizungumza na waandishi wa habari

Zaidi, soma => https://jamii.app/TanziaMenejaTFS

#JFLeo
NAPE: NATAMBUA MAUMIVU WANAYOYAPATA WANANCHI KWA BUNGE KUTOKUONESHWA 'LIVE'

> Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa, Michezo na Wasanii, Nape Nnauye amesema anajua kuwa wananchi wanaona jambo hilo halikuwatendea haki

Zaidi, soma > https://jamii.app/NapeBungeLive

#JFLeo
TABORA: MWENYEKITI WA KITONGOJI AKAMATWA KWA ULAWITI

> Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Usinge Kati kwa tuhuma za ulawiti, kumuingiza miti na chupa na kuuponda uume wa kijana aliyemtuhumu kwa kutembea na Mke wake mdogo

Soma > https://jamii.app/UlawitiTabora
KIGOMA: WAZIRI MKUU AFUNGA SOKO LA NDUTA, ASEMA LIHAMISHIWE NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI

> Amesema udhibiti wa Wakimbizi wanaotoka nje ya kambi kwa ajili ya kupata mahitaji ni mgumu sana kwani hawatakiwi kuchanganyika na raia

Zaidi, soma > https://jamii.app/FungaSokoNduta
ELIMU YA URAIA: JE, ASKARI POLISI ANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE ATAKACHO?

> Askari Polisi anaweza kufanya kile kinachokubalika kisheria

> Askari wanaongozwa na sheria na kanuni za nchi [Kwa mfano hairuhusiwi Polisi kutukana au kudhalilisha]

Soma > https://jamii.app/Mambo101Polisi

#JFCivic
KENYA: AKAMATWA KWA KUWAZUIA WATOTO WAKE KUPATA ELIMU NA AFYA

> Tumaini Hamisi amekamatwa kwa tuhuma za kuwazuia Watoto wake kupata huduma hizo

> Yeye ni muumini wa Kanisa la Good News International Church na anaamini elimu ni ushetani

Soma => https://jamii.app/WatotoElimuAfya
INDIA: LORI LAGONGANA NA MSAFARA WA HARUSI, 13 WAPOTEZA MAISHA

> Lori hilo lililokuwa kwenye mwendokasi liligongana na msafara wa harusi na kusababisha vifo vya watu 13 na kujeruhi 19 katika jimbo la Racastan Magharibi mwa India

Soma - https://jamii.app/13DeadWeddingConvoy
VINGUNGUTI YANYANG'ANYWA FEDHA ZA UJENZI WA MACHINJIO

> Serikali imeinyang'anya Manispaa ya Ilala, Tsh bilioni 3 ilizoipa kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Machinjio ya Kisasa wa Vingunguti, baada ya kushindwa kutekeleza mradi huo kwa wakati

Soma - https://jamii.app/VingungutiKukosaMachinjio