Mbali na matatizo ya Kiuchumi, Wananchi wametaja matatizo mengine kwenye Huduma za Kijamii ikiwemo Vituo vya Afya (23%), Upatikanaji wa Maji safi (20%), Huduma za Usafiri (17%) na mapungufu katika Sekta ya Elimu (15%)
#JamiiForums #SautiZaWananchi #TakwimuHuru
#JamiiForums #SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍4
Wakazi wa Dar es Salaam wanalalamikia zaidi tatizo la ukosefu wa Ajira na fursa nyingine za kipato tofauti na wakazi wa maeneo mengine
Pia, wanataja kukabiliwa na masuala ya uhalifu na usalama, ingawa matatizo haya ni madogo kwenye maeneo yote.
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
Pia, wanataja kukabiliwa na masuala ya uhalifu na usalama, ingawa matatizo haya ni madogo kwenye maeneo yote.
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍2
Wananchi wenye Elimu ya Sekondari na zaidi (92%) na Wananchi walio kwenye Ajira rasmi (89%) ni watumiaji wakubwa wa huduma za fedha kupitia Simu za Mkononi
Wananchi nane kati ya kumi (80%) wanafahamu kuhusu tozo mpya ya Miamala ya Fedha kwa njia ya simu
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
Wananchi nane kati ya kumi (80%) wanafahamu kuhusu tozo mpya ya Miamala ya Fedha kwa njia ya simu
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍6
Zaidi ya nusu ya Wananchi (55%) wanafahamu kuhusu kupunguzwa kwa tozo hizo kulikopitishwa Novemba 2021
Mwezi huohuo Novemba, Mwananchi 1 kati ya 3 (34%) hakuunga mkono kuanzishwa kwa tozo hizo. Julai 2022 idadi sawa na hiyo (28%) hawakukubaliani wala kuunga mkono punguzo la tozo
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
Mwezi huohuo Novemba, Mwananchi 1 kati ya 3 (34%) hakuunga mkono kuanzishwa kwa tozo hizo. Julai 2022 idadi sawa na hiyo (28%) hawakukubaliani wala kuunga mkono punguzo la tozo
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍7
Wananchi wanaonesha dalili kuwa wangeunga mkono zaidi Tozo hizo iwapo wangekuwa na taarifa kamili kuhusu matumizi ya Fedha zinazokusanywa
Wengi (63%) wanasema wangekuwa tayari zaidi kulipa tozo iwapo wangeweza kufuatilia matumizi. Wachache (39%) wanasema wanajua pesa zinatumikaje
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
Wengi (63%) wanasema wangekuwa tayari zaidi kulipa tozo iwapo wangeweza kufuatilia matumizi. Wachache (39%) wanasema wanajua pesa zinatumikaje
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍7
Karibu mara tatu ya Wananchi (44%) waliripoti kuwa wamepunguza kutuma Fedha kwa njia ya simu na kiasi cha Fedha wanachopokea kupitia simu kimepungua tangu Julai 2021, tofauti na wachache (15%) walioongeza idadi ya Miamala katika kipindi hicho
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍4
Wananchi 4 kati ya 10 (39%) wanasema watu wanakwepa kulipa kodi kwasababu wanahisi viwango vya kodi ni vikubwa
Sababu nyingine ni dhana ya kwamba hawalipwi mishahara mizuri (20%), kwamba kodi hazitumiki vizuri (15%), au kwamba watu hawajui namna ya kuwasilisha kodi zao (11%)
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
Sababu nyingine ni dhana ya kwamba hawalipwi mishahara mizuri (20%), kwamba kodi hazitumiki vizuri (15%), au kwamba watu hawajui namna ya kuwasilisha kodi zao (11%)
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍6
Wananchi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo. Wananchi wengi wanasema hawajui (42%) mapato ya tozo yanatumikaje kuliko wanaosema wanajua (38%)
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru #JamiiForums
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru #JamiiForums
👍3
Wananchi wangependa kuona mapato ya tozo za Miamala ya Simu yakielekezwa kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo lakini kipaumbele kikiwa Huduma za Afya (57%), Elimu (50%), ikifuatiwa na Ujenzi wa Barabara (38%)
Huduma za Maji (33%), Umeme (20%), Kilimo (18%) na Mikopo (17%)
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
Huduma za Maji (33%), Umeme (20%), Kilimo (18%) na Mikopo (17%)
#SautiZaWananchi #TakwimuHuru
👍4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mdau wa JamiiForums.com ameeleza baadhi ya mambo machungu kuhusu Maisha
Je, unakubaliana naye kwa kiasi gani?
#JamiiForums #Maisha #JFMdau
Je, unakubaliana naye kwa kiasi gani?
#JamiiForums #Maisha #JFMdau
👍7
FAHAMU HATI NNE ZINAZOTOLEWA NA CAG
Katika Ukaguzi, CAG hutoa Hati inayoridhisha (Hati Safi), Hati Yenye Mashaka, Hati Isiyoridhisha na Kushindwa kutoa Hati (Hati Mbaya)
Hati Safi inatolewa Mkaguzi akiridhika Hesabu zimetayarishwa kwa usahihi
Hati Mbaya hutolewa Mkaguzi anapojiridhisha kuna udhaifu wa Usimamizi wa Mifumo ya udhibiti ya ndani
Fahamu zaidi - https://jamii.app/4Hati
#JFUwajibikaji

JKT YATANGAZA NAFASI ZA KUJITOLEA KWA VIJANA
Utaratibu wote wa kutuma maombi unaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya
Jeshi limewataka Vijana watakaopata fursa hiyo kutambua kuwa halitoi Ajira kwa Vijana wala halihusiki kuwatafutia Ajira
Soma - https://jamii.app/KujitoleaJKT

👍11
MBEYA: KARANI WA SENSA MBARONI KWA KUINGIA MITINI BAADA YA KULIPWA TSH. 600,000
Lutengano Mwakibambo anatuhumiwa kutofika kituo cha kazi akisingizia anaumwa
Baada ya kulipwa alitoweka na Agosti 21, 2022 alirudi kupokea malipo ya awamu ya pili
Soma - https://jamii.app/KaraniMalipo
Lutengano Mwakibambo anatuhumiwa kutofika kituo cha kazi akisingizia anaumwa
Baada ya kulipwa alitoweka na Agosti 21, 2022 alirudi kupokea malipo ya awamu ya pili
Soma - https://jamii.app/KaraniMalipo
😁11👍8🎉1
#ANGOLA: Tume ya Uchaguzi imesema baada ya theluthi moja ya Kura kuhesabiwa, Chama Tawala cha #MPLA kinaongoza katika Matokeo ya Awali ikielezwa kimepata zaidi ya 60%
Chama cha Upinzani cha #UNITA kinatajwa kupata takriban 34% ya Kura
Soma - https://jamii.app/UchaguziAngola
#Democracy
Chama cha Upinzani cha #UNITA kinatajwa kupata takriban 34% ya Kura
Soma - https://jamii.app/UchaguziAngola
#Democracy
🤔7👍6😁3
#JAPAN: Mkuu wa Jeshi la Polisi Itaru Nakamura ameandika barua ya #Kujiuzulu nafasi yake akisema ameamua kuwajibika juu ya mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe
> Ripoti ya Uchunguzi imeonesha ulinzi ulikuwa dhaifu
Soma - https://jamii.app/JapanIGP
#JamiiForums #Uwajibikaji
> Ripoti ya Uchunguzi imeonesha ulinzi ulikuwa dhaifu
Soma - https://jamii.app/JapanIGP
#JamiiForums #Uwajibikaji
👍16😢1
HAKI ZA KISHERIA KABLA YA KUPEKULIWA NA ASKARI
Kabla ya Askari kupekua ndani ya Gari, Nyumba au Ofisi ya mshukiwa anatakiwa kuwa na;
- Hati ya Upekuzi kutoka Mahakamani
- Mashahidi wanaotambulika rasmi Kisheria
- Jirani wa mshukiwa
Fahamu zaidi > https://jamii.app/HakiZaKisheria
#JFSheria

#DATAPRIVACY: Mahakama imeamuru Mjane wa #KobeBryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola Milioni 16 kwa uvamizi wa faragha yake
- Hii ni kutokana na usambazaji wa picha za ajali ya Helikopta iliyomuua Mumewe na Binti yao 2020
Soma https://jamii.app/UvamiziFaragha
#DigitalRights
- Hii ni kutokana na usambazaji wa picha za ajali ya Helikopta iliyomuua Mumewe na Binti yao 2020
Soma https://jamii.app/UvamiziFaragha
#DigitalRights
👍9
TRA imewataka Wapangaji wa nyumba kuwa Wazalendo na kulipia 10% ya kodi wanazowalipa wenye nyumba ili kulipia kodi ya pango
Agosti 20, 2021 Wananchi walianza ulipaji wa Kodi ya Majengo kupitia manunuzi ya mfumo wa LUKU
Soma https://jamii.app/WapangajiKodi
#JFLeo
Agosti 20, 2021 Wananchi walianza ulipaji wa Kodi ya Majengo kupitia manunuzi ya mfumo wa LUKU
Soma https://jamii.app/WapangajiKodi
#JFLeo
🤔14👍4