JamiiForums
βœ”
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
#MALARIA: Kufanya Vipimo mapema huchangia kupunguza Maambukizi na Vifo

Upimaji huwawezesha watoa Huduma za #Afya kutofautisha kwa haraka kati ya Homa ya Malaria na isiyo ya Malaria, hivyo kutoa matibabu sahihi

Soma - https://jamii.app/MalariaDay22

#WorldMalariaDay #EndMalaria
WATOTO KUFANYIANA VITENDO VYA UKATILI: Waziri Dorothy Gwajima amesema mmomonyoko wa maadili kwa Watoto umechangiwa na Wazazi kuwa na shughuli nyingi za maisha na kusahau jukumu la Malezi

> Nini kifanyike kupunguza matukio hayo kwa Watoto?

Soma - https://jamii.app/UkatiliKwaWatoto
MDAU: KAULI KINZANI ZA VIONGOZI ZINAWACHANGANYA RAIA

Anasema inashangaza Viongozi wanapotoa kauli tofauti katika jambo moja

Anahoji; Je, kila mmoja anayejisikia anasema cha kwake tu bila kujali kuna kupingana kauli kunakowachanganya Raia?

Soma > https://jamii.app/KauliViongozi
94% YA WATANZANIA WAPO HATARINI KUPATA MALARIA

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema bado Ugonjwa huo unaweka mzigo mkubwa ktk utoaji Huduma za #Afya

Mikoa inayoongoza kwa maambukizi ni Kigoma, Kagera, Geita, Mtwara, Lindi na Ruvuma

Soma - https://jamii.app/MalariaTZ

#EndMalaria
Tanzania ina wakazi zaidi ya milioni 60 na Watu milioni 5.7 (sawa na 10%) wanasumbuliwa na Ugonjwa wa Kisukari

> Wenye miaka 20-79 ni waathirika wakubwa, huku utafiti ukionesha 35% ya wenye Kisukari wana madhara ya Ugonjwa huo kwenye Macho

Soma - https://jamii.app/UgonjwaWaKisukari
ASASI ZA KIRAIA-ZANZIBAR: Kukosekana kwa mifumo imara inayotoa fursa sawa za upatikanaji wa Haki za Msingi kwa Wanawake na Wanaume ndio chanzo cha Wanawake kukosa uwezo wa kudai Haki zao na kushiriki kikamilifu ktk ngazi za maamuzi

Soma - https://jamii.app/MifumoWanawake
πŸ‘1
DKT. SLAA: Huku kwetu Viongozi wa Serikali za Mitaa wanatoka kwenye chama fulani, hili lina madhara makubwa

> Kule katika nchi nilizotoka Wazee wenye sifa ndio wanaongoza Serikali za Mitaa. Wanatafuta wastaafu wenye sifa wanapewa nafasi ya kuongoza

Soma https://jamii.app/DrSlaaAfunguka
TRA YAVIFUTIA RIBA VYOMBO VYA MOTO VISIVYO NA USAJILI

Mamlaka hiyo imefuta adhabu na riba kwa Vyombo vyote vya Moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata Taratibu za Forodha

Wamiliki watakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022

Soma - https://jamii.app/RibaTRA
MDAU: Mwanaume kumpiga Mpenzi wake ni njia ya mkato baada ya kushindwa kwa nguvu ya hoja

> Mwanaume huyo anakosa nguvu ya kutetea hoja yake kimantiki hivyo anatumia nguvu kwa njia ya kipigo ili kuufunga mjadala au alazimishe suala lake lipite

Soma - https://jamii.app/UkatiliWanawake
WADAU WAALIKWA KUTOA MAONI KUHUSU MASUALA YA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA

Miongoni mwa Masuala Makuu 9 yaliyoainishwa ili kuwasilishwa Serikalini ni Mfumo wa Maridhiano, Katiba Mpya, Mikutano ya hadhara pamoja na Masuala ya Uchaguzi

Soma - https://jamii.app/MaoniKikosiKazi
MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mnamo Aprili 26, 1964 uliasisiwa na Hayati Mwalimu Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Muungano huu ulipelekea kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa #Tanzania

Tunawatakia Maadhimisho mema ya Siku ya Muungano

Soma zaidi - https://jamii.app/HistoriaMuungano

#UnionDay2022 #Muungano58
URUSI: KUNA HATARI YA VITA YA TATU YA DUNIA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov asema hatari hiyo ni kubwa na haiwezi kudharauliwa

Amshutumu Zelensky kwa kujifanya anataka majadiliano na kukosoa mbinu za Ukraine ktk Mazungumzo ya Amani

Soma - https://jamii.app/RussiaWW3
SIMIYU: Wanaume wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa au kunyimwa unyumba na wake zao, wametakiwa kutoa taarifa Dawati la Jinsia ili wahusika wachukuliwe hatua stahiki kulingana na Sheria za nchi

Soma - https://jamii.app/WanaumeUkatili

#JamiiForums
RAIS SAMIA ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 3,826

Msamaha huo uliotolewa na Rais kwa kuzingatia Masharti kadhaa utahusisha Wafungwa wa makosa mbalimbali yakiwemo usafirishaji wa Dawa za Kulevya na ubadhirifu wa Fedha na Mali za Umma

Soma - https://jamii.app/MsamahaMuungano

#UnionDay2022
TETESI: POGBA AJIONDOA KWENYE KUNDI LA WHATSAPP LA WACHEZAJI

Kiungo Paul Pogba (29) anadaiwa kujiondoa kwenye Kundi hilo la Wachezaji wa Manchester United na kuwaambia ataondoka Klabuni hapo mwisho wa msimu huu

Inadaiwa amepokea ofa za kujiunga na PSG na Real Madrid

#JFSports
ETHIOPIA: Vikosi vya Waasi wa Tigray vyaripotiwa kuondoka #Afar, baada ya kushikilia eneo hilo tokea Juni 29, 2021

> Inaelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kufikisha misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa vita ktk eneo hilo

Soma - https://jamii.app/MajeshiTigray
DR CONGO: Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mgonjwa wa pili wa #Ebola amefariki dunia Kaskazini Magharibi mwa Nchi hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko mpya kuripotiwa

Wakati huo huo, mwenendo wa Afya za takriban Watu 145 unafuatiliwa

Soma - https://jamii.app/EbolaDRC
ARUSHA: MTANDAO WA KUTEKA, KUBAKA, KUPORA WANAWAKE WAANZA KUDAKWA

Watu 2 wanaodaiwa kuongoza Mtandao wa Kuteka, Kupora na Kubaka Wanawake wanashikiliwa na Polisi

> Inadaiwa kuna kesi zaidi ya 20 Kituo Kikuu cha Polisi Arusha za matukio hayo

Soma - https://jamii.app/UbakajiUporaji
πŸ‘1
MAXENCE: KUOMBA β€˜CONNECTION’ NI KUSHIRIKI UDHALILISHAJI MTANDAONI

Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo anasema Elimu itolewe kwa Watumiaji wa Digitali kuwa usambazaji wa picha/video chafu hasa za Wanawake ni udhalilishaji

Soma - https://jamii.app/Udhalilishaji
πŸ‘1
WB: VITA YA URUSI NA #UKRAINE INAUMIZA KAYA MASIKINI

Ripoti ya Benki ya Dunia inakadiria bei za bidhaa muhimu kupanda kwa hadi 50%, hali inayoumiza zaidi Watu masikini

Ongezeko hilo linatajwa kuwa kubwa zaidi kushuhudiwa duniani ndani ya miaka 50

Soma - https://jamii.app/VitaUkraine
πŸ‘1