CAG: Kupitia ukaguzi maalum katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania hususan Bandari ya Mwanza, ilibainika kuwa kuanzia Julai 2015 hadi Machi 2020 kiasi cha Tsh. Bilioni 8.38 kilitolewa bila Vocha ya Malipo
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022 #JFUwajibikaji
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022 #JFUwajibikaji
LHRC: Utafiti uliofanywa Visiwani Zanzibar umebaini kuwa 48% ya Ajali za Barabarani inasababishwa na uzembe huku 27% ikiwa ni kutozingatiwa kwa Sheria za Barabarani
> Unadhani nini kifanyike kupunguza ajali za barabarani?
Soma - https://jamii.app/UzembeBarabarani
#JamiiForums
> Unadhani nini kifanyike kupunguza ajali za barabarani?
Soma - https://jamii.app/UzembeBarabarani
#JamiiForums
CAG: ATCL imepata hasara kwa kuwa ndege 1 imekuwa matengenezoni kwa zaidi ya miaka 3 na uendeshaji wa Ndege 2 (Boeing-B787) ulizidi Mapato na kusababisha hasara ya Tsh. Bilioni 23.61
> Kati ya Ndege 9 za ATCL, Ndege 6 ndio zilijiendesha kwa faida
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
> Kati ya Ndege 9 za ATCL, Ndege 6 ndio zilijiendesha kwa faida
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
CAMEROON: Miezi miwili baada ya kumalizika Michuano ya AFCON, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo huku basi 1 lililotumiwa na Timu ya Taifa ya Cameroon ndio linajulikana lilipo
Soma - https://jamii.app/AFCONMabasiYapotea
Soma - https://jamii.app/AFCONMabasiYapotea
LHRC: Tabia ya Vijana kuacha jukumu la malezi ya Watoto wao kwa Bibi na Babu kisha wao kuendelea na shughuli nyingine kwa madai ya kutafuta riziki ni Ukatili kwa Wazee
> Aidha, LHRC imesema utafiti unaonesha ukatili kwa Wazee umeongezeka
Soma - https://jamii.app/UkatiliKwaWazee
> Aidha, LHRC imesema utafiti unaonesha ukatili kwa Wazee umeongezeka
Soma - https://jamii.app/UkatiliKwaWazee
DKT. CHARLES KIMEI: MCHAKATO WA UTOAJI MIKOPO YA HALMASHAURI UFANYIWE TATHMINI
Mbunge wa Vunjo amesema inaonekana Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja"
Soma - https://jamii.app/TathminiMikoppHalm

VIONGOZI WAKUBALI KUKOSOLEWA, SIASA SI UADUI
Mdau wa JamiiForums.com anasema adui mkubwa wa Amani ni pale tunapoona Viongozi hawatendi sawa na kuchagua kukaa kimya
Anasisitiza kuwa kutofautiana kifikra na kimawazo ni sehemu ya #Demokrasia
Soma - https://jamii.app/MdauDemokrasia

Ili kuweza kuona fursa hizi na nyingine nyingi za Ajira, tembelea > https://jamii.app/NafasiAjira
#JamiiForums
#JamiiForums
CAG: Kampuni ya Biotech Tanzania (TBPL) ilirekodi hasara ya Tsh. bilioni 14.75 kwa mwaka 2020/21 kutokana na gharama kubwa ya uendeshaji
> Kutokana na hilo Kampuni Mama (Shirika la Maendeleo la Taifa-NDC) lilipata hasara ya Tsh. bilioni 12.03
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022
> Kutokana na hilo Kampuni Mama (Shirika la Maendeleo la Taifa-NDC) lilipata hasara ya Tsh. bilioni 12.03
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022
HUDUMA ZA AFYA NA CHANGAMOTO YA KUKAA MUDA MREFU BILA KUHUDUMIWA
Serikali imewataka watoa huduma kupunguza muda wa kuwahudumia Wananchi kwani wapo Wagonjwa ambao hukaa muda mrefu bila kupatiwa huduma
Umewahi kupata tatizo hili kwenye Kituo cha Afya?
Soma - https://jamii.app/HudumaAfya

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
RWANDA: MCHINA AFUNGWA MIAKA 20 KWA KUMPIGA RAIA
Raia wa China, Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi
Video iliyosambaa ilionesha akimchapa mtu aliyekuwa amefungwa kwenye nguzo
Soma - https://jamii.app/MchinaJelaRW
#HumanRights

MDAU: MALI ZA MTU ALIYEPOTEA KWA MIAKA 7 ZINAWEZA KUGAWIWA KWA NJIA YA MIRATHI
Ni baada ya kuwa na ushahidi wa kutangaza kupotea kwake kwa kuweka matangazo yenye picha yake katika Vyombo vya Habari, na uthibitisho wa ndugu, jamaa, marafiki n.k
Soma - https://jamii.app/SheriaYaMirathi

DAR: Serikali imesema Bodaboda na Bajaji za Biashara zimepangiwa vituo vipya Mjini
Vituo hivyo ni Nasra Tower, Mnazi Mmoja, Kongo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa & SUWATA (K/Koo), Sabasaba (Msimbazi), JK Park (M/Moja), Fire, Mindu & Maliki (Upanga)
Soma - https://jamii.app/BodabodaIngiaMjini
Vituo hivyo ni Nasra Tower, Mnazi Mmoja, Kongo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa & SUWATA (K/Koo), Sabasaba (Msimbazi), JK Park (M/Moja), Fire, Mindu & Maliki (Upanga)
Soma - https://jamii.app/BodabodaIngiaMjini
HAITI: Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye shughuli za kibiashara za watu wengi katika Jiji la Port-au-Prince, Nchini humo jana Aprili 20, 2022 na kuua watu 6 akiwemo Rubani
Mamlaka za Usafiri wa Anga zimesema injini ilifeli na kusababisha ianguke
Soma - https://jamii.app/NdegeHaiti
#JFLeo
Mamlaka za Usafiri wa Anga zimesema injini ilifeli na kusababisha ianguke
Soma - https://jamii.app/NdegeHaiti
#JFLeo
VITA YA URUSI NA UKRAINE: Bilionea Oleg Tinkov wa Urusi amelaani Vita inayoendelea #Ukraine akidai ni 'wendawazimu' na 90% ya Warusi hawaiungi mkono kwani hakuna anayenufaika nayo
Ahimiza ubinadamu na busara kutumika ili kuokoa maisha ya watu
Soma - https://jamii.app/TinkovUrusiVita
Ahimiza ubinadamu na busara kutumika ili kuokoa maisha ya watu
Soma - https://jamii.app/TinkovUrusiVita
POLISI: MAGARI YA ABIRIA KUINGIA TANGA MWISHO SAA SITA USIKU
Zuio hilo limetolewa kwa magari yote ya abiria, na atakayekaidi atachukuliwa hatua za kisheria
Jeshi la Polisi limefikia uamuzi huo kutokana na ongezeko la ajali za barabarani
Soma - https://jamii.app/MagariYaAbiria

ERIK TEN HAG ASAINI MIAKA MITATU KUWA KOCHA MAN UNITED
- Klabu hiyo ya Old Trafford imemchagua Kocha wa sasa wa Ajax, Erik Ten Hag (52), kuwa Kocha wake wa kudumu kuanzia msimu ujao wa 2022/23
- Kocha huyo anakuwa Kocha wa 5 wa kudumu tangu kustaafu kwa Alex Ferguson
#JFSports

CAG: Ukaguzi wa Mwaka 2020/21 umebaini Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ilitoza Bili za Maji kwa Wateja 1,207 na kupata mapato ya Tsh. 755,650,000 bila kusoma mita kwa matumizi ya maji ya kila mwezi
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022
CAG: Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma, iliingia gharama ya Tsh. 300,000,000 kwa ajili ya kuchimba kisima kirefu maeneo ya Mzakwe na baadaye iligundulika hakina uwezo wa uzalishaji maji kama iliyotarajiwa hivyo kilitelekezwa
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022
UKATILI WA KIUCHUMI: Ni aina ya unyanyasaji katika mahusiano ambao humfanya mtu kuwa tegemezi kwani anakosa sauti kwenye masuala ya Fedha
Kuzuiwa kufanya kazi na kutokuwa na maoni ktk maamuzi ya kifedha ni viashiria vya Ukatili huu
Soma - https://jamii.app/DomesticAbuse
#DomesticViolence
Kuzuiwa kufanya kazi na kutokuwa na maoni ktk maamuzi ya kifedha ni viashiria vya Ukatili huu
Soma - https://jamii.app/DomesticAbuse
#DomesticViolence