Waziri wa Fedha wa #Japan, Shunichi Suzuki ameonya uchumi kuzorota kutokana na kuanguka kwa Sarafu ya Yen uliozidisha shinikizo la mfumuko wa bei
> #RussiaUkraineWar inatajwa kuchochea mfumuko wa bei kutokana na gharama za usafirishaji kuwa juu
Soma: https://jamii.app/UchumiJapani
> #RussiaUkraineWar inatajwa kuchochea mfumuko wa bei kutokana na gharama za usafirishaji kuwa juu
Soma: https://jamii.app/UchumiJapani
#SriLanka yaiomba IMF usaidizi wa haraka wa kifedha ili kuweza kupambana na mdororo wa kiuchumi unaozidi kuikumba
> Imeelezwa, athari za COVID-19, usimamizi mbaya wa fedha za Serikali na kupanda kwa bei ya mafuta ndio vyanzo vya mdororo huo
Soma: https://jamii.app/SrilankaIMF
> Imeelezwa, athari za COVID-19, usimamizi mbaya wa fedha za Serikali na kupanda kwa bei ya mafuta ndio vyanzo vya mdororo huo
Soma: https://jamii.app/SrilankaIMF
MTWARA: Watu watatu wakazi wa Wilaya ya Masasi wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Nora Hamisi, Mkazi wa Kata ya Mkuti miaka 20 iliyopita
> Watuhumiwa ni Rajabu Songo, Stanley Mtweve na Yusuph Pahala
Soma - https://jamii.app/KosaLaMauaji
#JamiiForums #JFMatukio
> Watuhumiwa ni Rajabu Songo, Stanley Mtweve na Yusuph Pahala
Soma - https://jamii.app/KosaLaMauaji
#JamiiForums #JFMatukio
DEO SANGA: CCM ILISHINDA UCHAGUZI KWA KISHINDO
Mbunge wa Makambako amesema "Mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote wameshinda. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"
Asema ni kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa
Soma - https://jamii.app/CCMKura2020

TARIME: Moshi Sayi Maduhu (Kada wa CCM) amefariki baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali kifuani karibu na shingo katika ubishani wa kisiasa kati yake na anayedaiwa kuwa Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Senga Shuri
Soma - https://jamii.app/UbishiWauaMtu
Soma - https://jamii.app/UbishiWauaMtu
DODOMA: Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara wakati wote
> Amesema hayo akitolea mfano ubovu wa Barabara ya Mbeya-Chunya na Dodoma-Iringa
Soma: https://jamii.app/BarabaraMbeya
> Amesema hayo akitolea mfano ubovu wa Barabara ya Mbeya-Chunya na Dodoma-Iringa
Soma: https://jamii.app/BarabaraMbeya
MBUNGE: SERIKALI IWEKEZE KATIKA MIRADI YENYE TIJA
Tunza Malapo amesema Soko la Chuno Mkoani Mtwara limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu
Asema, "Maana yake ni Bilioni 5.5 zimelala pale hazina tija"
Soma - https://jamii.app/MiradiTija
#JFLeo

WIZI WA FEDHA ZA UMMA: JE, VIONGOZI WASIO NA SIFA NI KIKWAZO?
Mdau anasema Wizi unaweza kuepukika kama Viongozi wangekuwa wanateuliwa kutokana na uwezo wao na si kwa sababu ya kulipana fadhila, kwani matokeo yake wanashindwa kusimamia miradi ya Serikali na matumizi ya Fedha za Umma
Nini maoni yako kuhusu hili?
Soma - https://jamii.app/ViongoziFedhaUmma
#Uwajibikaji

FAHAMU VIASHIRIA VYA UNYANYASAJI/UKATILI WA KIMWILI
Unaweza kuwa katika uhusiano wenye unyanyasaji huu ikiwa uliyenaye;
1) Anatumia silaha kukutisha na kukufungia ndani ili usiweze kuondoka
2) Anakuzuia kutafuta msaada wa Polisi, Hospitali na sehemu nyingine
Soma - https://jamii.app/DomesticAbuse
#DomesticViolence

AFGHANISTAN: Takriban watu 6 wameripotiwa kuuawa na wengine 11 kujeruhiwa Aprili 19, 2022 baada ya milipuko miwili kulenga Shule ya Wavulana iitwayo Abdul Rahim Shahid ktk Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Kabul
> Kundi la ISIL linadaiwa kuhusika
Soma - https://jamii.app/MilipukoAfghanstan
> Kundi la ISIL linadaiwa kuhusika
Soma - https://jamii.app/MilipukoAfghanstan
KUFUZU AFCON-2023: TANZANIA KUNDI MOJA NA ALGERIA, UGANDA
- Makundi ya kufuzu kushiriki Michuano ya Mataifa ya Afrika yamepangwa ambapo Tanzania ipo Kundi F pamoja na Uganda, Niger na Algeria
- Bingwa Mtetezi, Senegal ipo Kundi L pamoja na Benin, Msumbiji na Rwanda
#JFSports

LIVERPOOL YAIBAMIZA MAN UNITED 4-0
Liverpool imeshika usukani wa #PremierLeague kufuatia mabao ya Diaz (5), Salah (22 & 86) na ManΓ© (68) dhidi ya #ManUnited
Mchambuzi Gary Neville amesema hajawahi kuona United mbovu kama ya sasa
Soma https://jamii.app/ManULivepool
#JFSports #LIVMUN

WANADIPLOMASIA 31 WAFUKUZWA URUSI
Wanadiplomasia wa Uholanzi na wengine wa Ubalozi wa Ubelgiji wapewa siku 14. Wanadiplomasia 4 wa Austria wamepewa hadi Jumapili ili kuondoka
Uvamizi wa Urusi Nchini #Ukraine umeathiri uhusiano wake na Nchi nyingine
Soma https://jamii.app/RussiaDiplomacy

KENYA: Baadhi ya Walimu ktk Shule za Sekondari wamesema nidhamu shuleni imeshuka hivyo adhabu ya viboko irejeshwe kwani zuio la adhabu hiyo linadumaza Mamlaka ya Walimu
> Adhabu hiyo ilizuiwa mwaka 2001 ili kuwalinda Wanafunzi na Manyanyaso
Soma - https://jamii.app/WanafunziKenya
> Adhabu hiyo ilizuiwa mwaka 2001 ili kuwalinda Wanafunzi na Manyanyaso
Soma - https://jamii.app/WanafunziKenya
RANGNICK: HUENDA WACHEZAJI 10 WAPYA WAKATUA OLD TRAFFORD
- Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick amekielezea kitendo cha Liverpool kuifunga timu yake goli 4-0 kuwa ni cha aibu na fedheha
- Amesema wataijenga upya timu hiyo na huenda wakanunua wachezaji wapya 10

#CAGReport2022 imebainisha kuwa, mwaka 2020/21 Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ilirekodi ongezeko la 403% ya vifo vya Wanyamapori vilivyotokana na ajali za barabarani na kufanya idadi ya vifo kuwa 535
> 2019/20 idadi vifo vya Wanyamapori ilikuwa 106
Soma https://jamii.app/CAGReport2022
> 2019/20 idadi vifo vya Wanyamapori ilikuwa 106
Soma https://jamii.app/CAGReport2022
CAG: Mapungufu mbalimbali yalibainika katika Mradi wa Tsh. Bilioni 11.04 wa Ujenzi wa Hoteli ya Burigi yenye Hadhi ya Nyota Tatu ikiwemo kutofanyika tathmini ya kimazingira
Vilevile, kulikuwa na ucheleweshaji wa kukamilika kwa kazi
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG
Vilevile, kulikuwa na ucheleweshaji wa kukamilika kwa kazi
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG
ARUSHA: Takwimu za mwaka 2021 zinaonesha jumla ya Wanawake 4,510 walifanyiwa Ukatili wa Kijinsia, kati yao Wasichana wenye umri chini ya miaka 18 ni zaidi ya 1,000
> Ukeketaji, Ndoa za Utotoni na Ubakaji ni vitendo vinavyotaja zaidi
Soma - https://jamii.app/UkatiliArusha
#HumanRights
> Ukeketaji, Ndoa za Utotoni na Ubakaji ni vitendo vinavyotaja zaidi
Soma - https://jamii.app/UkatiliArusha
#HumanRights
MOROGORO: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Hassani Njama Hassani amesimamishwa kazi Aprili 20, 2022 ili kupisha uchunguzi kwa kushindwa kufuatilia matumizi ya Tsh. milioni 231.84 za ujenzi ktk Shule Sekondari ya Sokoine
Soma - https://jamii.app/UfujajiFedhaMorogoro
Soma - https://jamii.app/UfujajiFedhaMorogoro