AJALI - ZIMBABWE: TAKRIBAN 35 WAFARIKI WAKIENDA MKUTANO WA PASAKA
Ni baada ya Basi lililowabeba kuacha barabara na kutumbukia kwenye korongo
Mbali na kusababisha vifo, watu wengine 71 wamejeruhiwa. Polisi imesema basi hilo lilijaa kupita kiasi
Soma - https://jamii.app/35DeadZim

👍1
CAG: KUNA MAKOSA KWENYE MIKOPO INAYOTOLEWA NA SERIKALI
Wanafunzi 756 wa Elimu ya Juu walikopeshwa Tsh. Bilioni 2.25 bila kukidhi vigezo
> Pia, Mfuko wa Taifa wa Pembejeo uliwadhamini Wajasiriamali 21 (Tsh. bilioni 9.1) waliokosa sifa
Soma: https://jamii.app/CAGReport2022

ZELENSKY: Kati ya Wanajeshi 2,500 na 3,000 wa Ukraine wamepoteza maisha hadi sasa katika vita dhidi ya Urusi na wengine 10,000 wamejeruhiwa
> Aidha, Urusi nayo ilitangaza kuwa Wanajeshi wake 1,350 wameuawa katika vita hiyo
Soma - https://jamii.app/VifoVitaniUkraine

UKRAINE: Zaidi ya miili 900 ya Wananchi wa kawaida imebainika kuwepo katika Jiji la Kyiv Nchini #Ukraine baada ya Majeshi ya #Russia kuondoka
> Jeshi la Polisi limesema mingi kati ya hiyo imeshambuliwa kwa risasi
Soma - https://jamii.app/Miili900Ukraine
#JamiiForums

MPANGO WA UINGEREZA KUHAMISHIA WAKIMBIZI RWANDA WAKOSOLEWA
Shirika la Amnesty International UK limesema kitendo hicho sio ubinadamu na Mpango huo utasababisha kiasi kikubwa cha ukatili na kuchochea njia hatari zaidi za wakimbizi kuanzishwa
Soma - https://jamii.app/RwandaWakimbizi
#HumanRights

SINGIDA: Emmanuel Juma (29) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuiba Lita 300 za Mafuta ya Dizeli katika magari makubwa yanayopita Ikungi na kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani
Mtuhumiwa alihifadhi mafuta hayo katika madumu ya Lita 20
Soma - https://jamii.app/Wizidiesel
#JFLeo

CAG: Mashirika/Taasisi za Umma 4 hazikupeleka michango ya Kisheria ya Tsh. Bilioni 129.33 kwenye Mifuko ya Pensheni, Bodi ya Mikopo na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kama inavyotakiwa
Menejimenti zilikiri hali hiyo ilichangiwa na ukosefu wa Fedha
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#RipotiCAG

CAG: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina mashauri 108 katika Mahakama tofauti
> Kati ya kesi hizo, 86 zinahusu migogoro ya ardhi, 12 zinahusu kazi na 10 ni za madai yenye thamani ya jumla ya Tsh. bilioni 3.6
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#JamiiForums #CAGReport2022

LIVERPOOL YATINGA FAINALI YA #FACup
Klabu ya #Liverpool imeendeleza nia ya kutwaa mataji 4 msimu huu kwa kuingia fainali ya Kombe la FA kwa kuifunga #ManCity goli 3-2
- Klabu hiyo imeshachukua Kombe la Carabao, huku ikiwa na uwezo wa kuchukua Kombe la EPL na Klabu Bingwa Ulaya
#JFSports #liverpoolfc

CAG: KUNA MALIPO HEWA YA TSH. MILIONI 146.3 KWENYE VYAMA VYA SIASA
Vyama hivyo ni ADC Tsh. Milioni 5.7, NRA ni Tsh. Milioni 16.7, AAFP ni Tsh. Milioni 31, CHADEMA ni Tsh. Milioni 37 na CUF ni Tsh. Milioni 55.7
Soma - https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022

CAG: Kumekuwa na tatizo la kukatika Umeme mara kwa mara kwenye eneo la Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere kuanzia Januari 10, 2020 - Oktoba 2020
Kukatika Umeme kumeendelea na kusababisha Mkandarasi kutoa madai ya Dola za Marekani Milioni 8.53 (Takribani Tsh. Bilioni 19.5)
Soma https://jamii.app/CAGReport2022

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TUNAKUTAKIA PASAKA NJEMA WEWE NA UWAPENDAO
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watendaji wa JamiiForums tunakutakia Sikukuu njema ya Pasaka
Tunakushukuru kwa kujiunga JamiiForums.com na kutufuatilia katika Mitandao ya Kijamii ya Facebook, Instagram, Twitter na Telegram
#JamiiForums #Easter2022

SIKUKUU YA PASAKA: PAPA FRANCIS AHIMIZA AMANI
Wakati huu ambapo vita kati ya Urusi na Ukraine inaendelea, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ametoa wito wa kuwepo usitishaji mapigano ili kufikia Makubaliano ya Amani
Soma - https://jamii.app/SalamuZaPasaka
#Easter2022

MWANZA: MGAMBO WALIOWAPORA MACHINGA NDIZI WASIMAMISHWA
Halmashauri ya Jiji la #Mwanza imelaani kitendo cha Mgambo kuchukua ndizi za Machinga katika Oparesheni ya kuwaondoa
Imewasimamisha waliohusika na wameomba radhi
Soma > https://jamii.app/MgamboMwanza
#JamiiForums #HumanRights

CAG: Wataalamu wa Afya 320 kutoka Hospitali za Rufaa wanafanya taaluma yao bila kuwa na Leseni Hai za Kitaaluma
> Hospitali hizo ni Temeke na Amana-Dar, Mbeya na Mbeya-Kanda zilizopo Mbeya, Tumbi-Pwani, Sekou Toure-Mwanza
Soma https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022
> Hospitali hizo ni Temeke na Amana-Dar, Mbeya na Mbeya-Kanda zilizopo Mbeya, Tumbi-Pwani, Sekou Toure-Mwanza
Soma https://jamii.app/CAGReport2022
#CAGReport2022
CHELSEA KUKUTANA NA LIVERPOOL KATIKA FAINALI YA FA
- Chelsea imeingia Fainali ya Kombe la FA kwa kuifunga Crystal Palace goli 2-0 kwenye mchezo wa Nusu Fainali uliochezwa Wembley
- Chelsea na Liverpool zitakutana katika mchezo wa Fainali utakaochezwa Mei 14
#JFSports

SIMBA YAANZA KWA USHINDI DHIDI YA ORLANDO PIRATES
- Simba SC imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Orlando Pirates katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Michuano ya Shirikisho
- Timu hizo zitarudiana Aprili 24, 2022 katika mchezo utakaochezwa huko Afrika Kusini

AFRIKA KUSINI: VIFO KUTOKANA NA MAFURIKO VYAFIKIA 443
Mbali na vifo, watu wengine 63 bado hawajulikani walipo
Mafuriko hayo yaliyotokana na mvua kunyesha kwa siku kadhaa yameacha maelfu bila makazi, na kusababisha kukosekana huduma za Umeme na Maji
Soma - https://jamii.app/SAFloods

UKRAINE: Rais Volodymyr Zelensky amesema Urusi inajaribu kuliharibu kabisa Jimbo la Mashariki la Donbas lakini yeye atalilinda na kulipambania hadi dakika ya mwisho katika Mji uliozingirwa wa Mariupol
Soma > https://jamii.app/UktaineYakomaa
#JamiiForums #RussiaUkraineCrisis
Soma > https://jamii.app/UktaineYakomaa
#JamiiForums #RussiaUkraineCrisis
MBEYA: Baadhi ya Waumini wa Usharika wa Mbalizi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, jana Aprili 17, 2022 walimzuia mchungaji, Atupele Mlawa kuingia Kanisani wakimtuhumu kutumia vibaya mali za kanisa
Soma - https://jamii.app/VuruguKKKT
Soma - https://jamii.app/VuruguKKKT