JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA YATUPILIA MBALI WOSIA WA DKT. MENGI

- Imesema wosia wa Reginald Mengi wa Agosti 17, 2017 haukuzingatia misingi ya kisheria na uliandikwa kipindi ambacho alikuwa hana uwezo huo kutokanana maradhi yaliyomsumbua tokea 2016

Soma https://jamii.app/MirathiMengi
MAJALIWA: MENEJA WA TEHAMA NA WENZAKE WASIMAMISHWE KAZI HADI UCHUNGUZI UKAMILIKE

Waziri Mkuu ametaka Meneja TEHAMA wa TANESCO na Wasaidizi wake wakae pembeni hadi uchunguzi ukamilike

> Aagiza wasiishie kusimamishwa siku 10 kama ilivyotangazwa awali

Soma https://jamii.app/LUKUSaga
👍1
RAIS MUSEVENI AKOSOA KILIMO CHA TUMBO (SUBSISTENCE ECONOMY)

Rais Yoweri Museveni wa #Uganda amesema Watu wengi hujihusisha na #Kilimo cha Tumbo tu na kujikuta Wakilima sana bila kupata maendeleo

Asema shida ni kutojua kitu sahihi cha kufanya

Soma https://jamii.app/UtiajiSainiTzUG
#Siasa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
RAIS SAMIA: BOMBA LA MAFUTA LITASAIDIA KUVUTA WAWEKEZAJI

Asema taswira ya Bara la Afrika imekuwa ikihusishwa na vita, njaa, kutokuwa na mazingira bora ya #Biashara

Anaamini Wawekezaji wengi wakubwa kutoka nje watakuja Afrika Mashariki

Soma > https://jamii.app/MuseveniZiaraTZ
#Siasa
MABONDIA 4 WA TANZANIA KUZICHAPA NCHINI URUSI MEI 20

Dullah Mbabe atakipiga na Pavel Silyagin kuwania mkanda wa #WBO. Twaha Kiduku atakuwa na Bek Nurmaganbet

Nasibu Ramadhani na Yergniy Pavlov huku Alphonce Mchumiatumbo atakuwa Vartan Arutyunyan

Soma - https://jamii.app/TanzanianBoxersRussia
RAIS SAMIA: TUNA MATEGEMEO YA KUPATA MAFUTA ZIWA EYASI

Amesema Mradi wa Bomba la Mafuta unachochea utafutaji wa Biashara ya Mafuta na Gesi Afrika Mashariki

Ametoa rai kwa Tanzania na Uganda kukamilisha majadiliano ya Mikataba iliyobaki

Soma > https://jamii.app/MuseveniZiaraTZ
UN: NCHI ZA KIPATO CHA CHINI NA KATI ZINAHITAJI MITUNGI MILIONI 4 YA OKSIJENI KWA SIKU

Uwepo wa Oksijeni unaweza kupunguza 40% ya vifo vya #COVID19

Uhaba umeongeza idadi ya vifo vinavyoweza kuepukika huku Familia zikilipa fedha nyingi za Matibabu

Soma - https://jamii.app/UhitajiOksijeni
SERIKALI: HATUTAKUBALI KUONA MWANDISHI WA HABARI ANAONEWA

Waziri Mkuu asema "Sio Sera ya Serikali kuonea Waandishi wa Habari"

Asema hatua kadhaa zinaendelea ktk kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto, Tanzania Daima na Mwanahalisi

Soma > https://jamii.app/UonevuWaandishi

#MediaFreedom
HUMAN RESOURCE DAY: Siku hii imetengwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza Watu wote wanaohakikisha masuala yanayohusu Wafanyakazi yanasimamiwa kwa weledi katika maeneo yote yanayotoa ajira.

Je, una ujumbe gani kwenda kwa HR wako?

#HRDay2021 #JamiiForums
WADUDU NA MAGUGU HUIGHARIMU AFRIKA DOLA TRILIONI 3.5 KWA MWAKA

Utafiti uliofanywa na watafiti wa #Ghana, Uswizi, Uingereza na #Kenya umebainisha wadudu, mimea vamizi na magugu huigharimu Afrika

> Gharama huwa ktk palizi na uharibifu wa mazao

Soma https://jamii.app/MimeaVamizi
KUTOPATIKANA HUDUMA YA UMEME KUMEKUATHIRI KWA KIASI GANI?

Hali ya kutokuwepo umeme husababisha athari za moja kwa moja sekta mbalimbali muhimu kwa Uchumi kama Biashara

> Je, umeridhika na hatua zilizochukuliwa kutatua tatizo? Nini mapendekezo yako ili lisijirudie?

#JamiiForums
NIPE FAGIO: WAOKOTA MAKOPO NI MUHIMU KTK KUTUNZA MAZINGIRA

Shirika la Nipe Fagio limesema Serikali iweke utaratibu wa kuwatambua waokota makopo na kuwaingiza kwenye ajira rasmi

Watambulike na kuheshimiwa ili kuwapa Moyo ktk kutunza Mazingira

Soma https://jamii.app/KuokotaMakopoAjira
ZIMBABWE YARIPOTI AINA MPYA YA KIRUSI CHA #COVID19 KUTOKA INDIA

Wasafiri watakaoingia #Zimbabwe wakitokea au kupitia India watakaa Karantini kwa gharama zao

Hatua hiyo imekuja baada ya Mwanafunzi aliyerejea kutoka #India kukutwa na kirusi cha India

Soma https://jamii.app/ZimbabweCOVID19
ISRAEL NA PALESTINA ZASITISHA MAPIGANO

> Misri inatarajiwa kutuma Wajumbe nchini Israeli na Ukanda wa Gaza ili kumaliza mgogoro

> Mgogoro huu uliodumu kwa siku 11, umepelekea vifo vya Wapalestina zaidi ya 200 na Waisrael zaidi ya 10

Soma https://jamii.app/IsraelStopsFight
#COVID19: UWEZEKANO WA WAGONJWA MAHUTUTI KUFARIKI AFRIKA NI MKUBWA ZAIDI

Kwa mujibu wa Utafiti uliochapishwa na The Lancet, hali hiyo ni kutokana na Hospitali barani humo kukumbwa na uhaba wa vifaa muhimu vya kuokoa maisha na kukosa Wataalamu

Soma https://jamii.app/AfricaPatients
MOROCCO YAZUIA MAANDAMANO YA WANANCHI KUPINGA MAUAJI UKANDA WA GAZA

Awali, Wananchi walifanya maandamano ya kushinikiza Nchi yao kufuta uhusiano na #Israel

Mapigano kati ya Israel na Palestina yamesitishwa baada ya siku 11 za kushambuliana

Soma - https://jamii.app/MoroccoMaandamano
Zao la #Chai ni mojawapo ya mazao ya kimkakati hapa nchini na kama litaimarishwa linaweza kuwa na tija zaidi kwa wakulima, wenye viwanda na Taifa kwa ujumla kuliko ilivyo sasa.

#InternationalTeaDay2021 #Jamiiforums