JamiiForums
βœ”
56.3K subscribers
32.7K photos
1.82K videos
29.9K links
Official JamiiForums Telegram Channel | Be Informed, Engaged & Entertained
Download Telegram
#BELARUS: TOVUTI YA HABARI YAONDOLEWA HEWANI KWA MADAI YA UKWEPAJI KODI

Mamlaka zimevamia Ofisi za Tut.by pamoja na makazi ya Mhariri

Matukio ya uvamizi ni sehemu ya ukandamizaji unaofanywa dhidi ya wanaotofautiana na Serikali

Soma > https://jamii.app/PressBelarus
MDAU: ILI KUFANIKIWA KIBIASHARA KUWA NA URAFIKI NA WANAOFANYA BIASHARA KAMA YAKO

> Anasema itakusaidia kujua sehemu za kupata vitu kwa bei nafuu

> Anaongeza, wasio na biashara kama yako wanaweza kukufanya uache biashara na kujaribu wanazofanya wao

Soma https://jamii.app/BiasharaUrafiki
DULLAH MBABE: MABONDIA WA TANZANIA MSIENDE URUSI NA KAZAKHSTAN

Bondia wa #Tanzania, Abdallah Pazi amesema hatokwenda kupigana Urusi na Kazakhstan kwani mabondia wa huko ni wakali

Asema Mabondia wa huko hawapoi na wanapiga ngumi kama mawe

Soma - https://jamii.app/DullahMbabe
#Michezo
RAIS SAMIA ABADILISHA UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA YA ARUSHA NA SIMIYU

- John Mongella aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

- David Kafulila ambaye awali aliteuliwa kuwa RC Arusha atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

#JamiiForums #JFLeo
JAJI MKUU: DPP NI CHUJIO LA KWANZA LA HAKI

Prof. Ibrahim Juma amesema, "DPP hawezi kuingiliwa na mtu yeyote, hata Jaji Mkuu hana mamlaka ya kuingilia kazi yake"

Asema Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa wajibu wa kuangalia maslahi ya Taifa

Soma > https://jamii.app/HakiDPP
DKT. MPANGO AWAASA WAKUU WA MIKOA WASIWE WALEVI NA WAZINZI

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi

Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi

Soma - https://jamii.app/WelediUongozi
NEW YORK, MAREKANI: KAMPUNI YA TRUMP KUFANYIWA UCHUNGUZI WA JINAI

Mwanasheria Mkuu amekuwa akichunguza kama uongo uliripotiwa kwenye thamani ya mali ili Kampuni ipate Mikopo na faida za Kiuchumi na Kodi

Trump asema Uchunguzi unachochewa kisiasa

Soma > https://jamii.app/TrumpInvestigation
SERIKALI YAONGEZA VITUO VYA KUPIMA VIRUSI VYA CORONA KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

Viwanja vya Ndege vimeongezewa vituo vya kupima #COVID19 kutoka vituo 2 hadi kufikia 10

Pia, Serikali imebadili mfumo wa malipo wa huduma hiyo kuwa wa kieletroniki

Soma https://jamii.app/COVID19TestAirports
Embe ni chanzo kizuri cha Vitamin A ambayo ni muhimu kwa ajili ya Macho

> Embe lina nyuzi nyuzi ambazo ni muhimu katika kumeng’enya chakula

#JamiiForums #LisheChakula
MALAWI: CHANJO 19,000 ZA #COVID19 ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI KUHARIBIWA

Mamlaka za Afya zitaharibu dozi 19,000 za #AstraZeneca ambazo zimeisha muda wa matumizi

Maafisa wasema kutumia chanjo iliyopita muda itawaoongezea woga raia

Soma - https://jamii.app/MalawiChanjo
RUKWA: AHUKUMIWA KUNYONGWA KWA KOSA LA KUMUUA BABA YAKE ILI ARITHI MALI

Seni Lisesi (33) alikodi Watu na kuvamia Nyumba ya Baba yake Desemba 4, 2016 katika kijiji cha Mwadui na kumuua Lisesi Magadula (50) kwa kumkatakata mapanga

Soma - https://jamii.app/HukumuKunyongwa
MENEJA TEHAMA NA HUDUMA ZA BIASHARA TANESCO ASIMAMISHWA KAZI KWA SIKU 10

Lonus Feruzi na wasaidizi wake, Frank Mushi na Idda Njau, wametakiwa kutoa maelezo kuhusu tatizo la kununua Umeme kielektroniki

Maelezo yasipojitosheleza wataondolewa kazini

Soma - https://jamii.app/SakataLaUmeme
UNAFAHAMU MTUNZI AKIFARIKI, SHERIA INALINDA KAZI ZAKE KWA MIAKA 50?

- Sheria za Hakimiliki hulinda wamiliki zaidi ya zinavyolinda maisha yao.

- Kwa Tanzania, kazi zinalindwa kwa miaka 50 baada ya Mtunzi wa mwisho kufariki

Soma > https://jamii.app/HakiMiaka50

#CreativeIndustryTz
WAANDAMANAJI NA VIKOSI VYA USALAMA WAENDELEA KUVUTANA CHAD

Vikosi vimetumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji katika Mji Mkuu wa N'Djamena

Umoja wa Afrika (AU) umeunga mkono Utawala wa Jeshi na kutaka Uchaguzi ufanyike katika miezi 18

Soma https://jamii.app/ChadMaandamano
ACT WAZALENDO: TUTAPINGA MATOKEO YA BUHIGWE MAHAKAMANI

Wamepinga na matokeo ya Uchaguzi mdogo Buhigwe na Kata za Miuta, Ikizu na Ligoma wakidai kulikuwa na udanganyifu ikiwemo kukamata kura bandia

> Pia, wamemwandikia barua Rais Samia kueleza hayo

Soma https://jamii.app/MatokeoYapingwa
KWANINI CHUMVI ILIITWA KWA JINA TOFAUTI USIKU?

- Kuna walioita Mkubwa wa Mboga, Mkubwa wa Jiko, Dawa ya Mboga, Dawa ya Jiko nk ili mradi jina Chumvi lisitajwe wakati wa usiku

Soma https://jamii.app/ChumviZamani
BRIGEDIA JENERALI RAJABU MABELE ATEULIWA KUWA MKUU WA JKT

Ameteuliwa na Rais Samia baada ya Meja Jenerali Charles Mbuge kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera

Pia, Kanali Absolomon Shausi ameteuliwa na kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA-JKT

Soma > https://jamii.app/UteuziJKT
RAIS YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA YA SIKU 1 TANZANIA

Leo Mei 20, 2021, Rais wa Uganda na Rais Samia Suluhu watashuhudia utiaji saini Mikataba ya Utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima hadi Bandari ya Tanga

Soma > https://jamii.app/MuseveniZiaraTZ