AFRIKA KUSINI YAPENDEKEZA MWANAMKE KUWA NA MUME ZAIDI YA MMOJA
Idara ya Mambo ya Ndani imependekeza Sheria ya kuwaruhusu Wanawake kuolewa na Mwanaume zaidi ya mmoja (#Polyandry)
Pia, Ndoa za Wahindi, Wayahudi, Waislamu na Rastafarian zitambuliwe
Soma - https://jamii.app/PolyandrySA

GAZA: WAPALESTINA 36 WAUAWA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA ISRAEL
Mbali na vifo, watu wengine 250 wamejeruhiwa kufuatia mashambulizi ya maroketi ambayo yameanguka katika bomba la mafuta na kusababisha moto mkubwa
> Kundi la Hamas limeapa kulipa kisasi
Soma https://jamii.app/GazaMashambulizi

YOWERI MUSEVENI AAPISHWA KUWA RAIS WA UGANDA KWA MIAKA MINGINE MITANO
Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza Taifa hilo hadi mwaka 2026
Museveni amekuwa Kiongozi wa #Uganda tangu mwaka 1986
Soma - https://jamii.app/MuseveniSworn

TANGA: WATENDAJI WATATU KUFUKUZWA KAZI KWA UBADHIRIFU
Baraza la Madiwani Handeni limewafukuza kazi Watendaji wa Kata kwa matumizi mabaya ya Fedha za Serikali
> Mahakama iliwakuta na hatia Watendaji wawili, Juma Kikoti na Juma Kidungwe
Soma https://jamii.app/WatendajiWaKijiji

NJIA ZA KUJIJENGEA UAMINIFU KWENYE BIASHARA YAKO
Jenga uhusiano mzuri na Wateja: Toa huduma bora, wajali Wateja wanapopata changamoto na kuwa tayari kutatua changamoto zao
Tekeleza unachoahidi: Hakuna kitu kinapoteza Imani ya Wateja kama kuahidi akija kwako atapata kitu fulani halafu asikipate
Soma zaidi - https://jamii.app/UaminifuBiashara
#Biashara

DAR: POLISI WAUA WATATU WANAOSHUKIWA KUWA MAJAMBAZI
Tukio limetokea Mbagala ambapo Polisi imesema watu hao walikuwa kwenye pikipiki ikidhaniwa walijiandaa kufanya ujambazi
Walikaidi amri walipoambiwa wasimame na kuanza kuwarushia Polisi risasi
Soma https://jamii.app/Majambazi3DSM

CHINA YAIPA TANZANIA MSAADA WA TSH. BILIONI 35.37
Tanzania imepokea Tsh. Bilioni 35.37 zitakazotumika kwa miradi ya Maendeleo itakayokubaliwa na China na Tanzania
> Baadhi ya miradi ni kuboresha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kuwa Chuo Kikuu
Soma https://jamii.app/ChinaTzMsaada

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi, ametangaza Sikukuu ya Eid El-Fitr itasherehekewa Ijumaa ya Mei 14, 2021
- Asema Mwandamo wa Mwezi haujaonekana sehemu yoyote hivyo Waislamu wataendelea na Mfungo
#JFLeo

DAR: MBARONI KWA TUHUMA ZA KUTISHIA KUUA KWA BASTOLA
Mfanyabiashara Adelard Lyakurwa alimtishia bastola Valence Lekule maeneo ya Kariakoo
Alienda kinyume na Kifungu cha 89 (2)(a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marejeo 2019
Soma > https://jamii.app/BastolaKutishia

CHELSEA NA ARSENAL KUMENYANA USIKU WA LEO
-
Mchezo huo wa Ligi Kuu ya #England unatarajiwa kuanza majira ya saa 4:15 usiku (EAT) katika Dimba la Stamford Bridge
-
Endapo Chelsea FC itashinda itafikisha alama 67 na kukwea hadi nafasi ya 3 katika msimamo wa Ligi
-
Arsenal FC itasaka ushindi ili kufufua matumaini ya kupigania nafasi ya kufuzu Ligi ya #EUROPA
#EPL #Chelsea #Arsenal

RWANDA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL FITRI KESHO
- Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa kesho ni siku ya mapumziko kwa Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi baada ya Usharika wa Waislamu nchini humo kutangaza kuwa kesho ni Eid El Fitri
Soma https://jamii.app/EidRwanda
#EidElFitri

KENYA: WAFANYABIASHARA WAKIMBILIA ETHIOPIA SABABU YA GHARAMA ZA UMEME
> Bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya
> Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli kutokana na bei za umeme
Soma https://jamii.app/UmemeKenya

DAR: POLISI WAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO KWENYE SIKUKUU YA EID
Kamanda Lazaro Mambosasa amepiga marufuku disko toto katika kumbi za starehe na kuwataka Wananchi kusherehekea Eid El Fitri kwa amani na utulivu ikiwemo kutovunja #Sheria
Soma - https://jamii.app/BanDiskoToto

MWANZA: DC AAGIZA KUONDOLEWA KWA MWALIMU ANAYEDHALILISHA WANAFUNZI
DC wa Magu ameagiza Mwalimu Martin Mambosasa wa Shule ya Msingi Ilungu anayetuhumiwa kuwafanyia michezo michafu Wanafunzi hata 2 ktk kitanda kimoja kuondolewa Wilayani humo
Soma - https://jamii.app/MwlNgonoWanfz

PETRA DIAMONDS KULIPA FIDIA YA TSH. BILIONI 14.02 KWA KUKIUKA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA
Kampuni imethibitisha walinzi waliwapiga na kuwatesa wachimbaji wadogo walioingia Mgodi wa Mwadui na kusababisha vifo 7
> Wamekubali kuwalipa fidia wahanga
Soma https://jamii.app/MgodiWalipaFidia

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Tausi wana uwezo wa kuruka/kupaa lakini sio kwa umbali mrefu. Mara nyingi hupaa kutoka Ardhini hadi juu ya Mti au dari kutokana na Uzito wa Mabawa yake
Ni mara chache sana kumkuta Tausi akiwa amepaa juu zaidi kama Tai au aina nyingine ya Ndege