JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
UHURU KENYATTA: TANZANIA NA KENYA ZIKISHIRIKIANA PANDE ZOTE ZITASHINDA

- Rais wa Kenya amesema, "Wananchi wakijiona kama ndugu na kushirikiana badala la kushindana, pande zote zitashinda. Hatuna lolote la kushindana"

Soma > https://jamii.app/KenyaTZKenyatta
RAIS SAMIA: HALI YA DEMOKRASIA NCHINI NI NZURI

- Ameeleza hayo alipokutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu

- Asema, Serikali itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa kulinda Usalama

Soma https://jamii.app/RaisSamiaUN
Hotuba ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 05, 2021 akiwa Bungeni Kenya
WATU 27 AKIWEMO HALIMA MDEE WAFUTIWA KESI YA KUTOTII AMRI SEGEREA

- Mahakama imewafutia Kesi ya kufanya mkusanyiko na kutotii amri halali katika geti la Gereza la Segerea

- Ni baada ya Upande wa Mashtaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu

Soma > https://jamii.app/KesiYafutwa
BAKWATA: SIKUKUU YA EID KUSHEREHEKEWA MEI 13 AU MEI 14, 2021

- BAKWATA inawajulisha Wananchi wote Sikukuu ya EID EL-FITR itakuwa Mei 13 au 14 kutegemea kuandama kwa mwezi

- Swala ya Eid itaswaliwa Viwanja vya Mnazi Mmoja saa 1:30 asubuhi

Soma - https://jamii.app/BakwataEidElFitr
MBUNGE KISHIMBA: VYUO VITAFUTE AJIRA KABLA YA KUSAJILI WANAFUNZI

- Mbunge wa Kahama Mjini asema Wazazi wamechoshwa na mfumo wa Elimu unavyofilisi mali zao tofauti na matarajio

- Ashauri Degree isomwe kwa miezi 8 ili Mtu aendelee na maisha mengine

Soma - https://jamii.app/KishimbaVyuoAjira
MBUNGE NOAH: WATOTO WANACHUKIA SHULE KWASABABU YA LUGHA, TUNAWATESA KISAIKOLOJIA

- Mbunge wa Arumeru Magharibi amesema vikwazo vya Elimu viko vingi ikiwemo Lugha ya kufundishia, Chakula, Uhaba wa Walimu na kukosekana kwa Sera ya Elimu ujuzi

Soma - https://jamii.app/LughaShuleMbunge
LIGI YA MABINGWA ULAYA: JE, TIMU ZA EPL KUKUTANA FAINALI?

- Chelsea inahitaji sare tasa au ushindi wowote huku Madrid wakihitaji sare ya zaidi ya bao moja au ushindi wowote

- Je, Waingereza watakutana Fainali au Zidane ataibuka kidedea?

Soma > https://jamii.app/ChelMadrid

#CHERMA
MBUNGE MWIJAGE: NASHINDWA KWENDA MISIBANI WANANIONA MCHAWI, MNISAIDIE

- Mbunge wa Muleba Kaskazini amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki Ziwani wakati wa kwenda Shuleni

- Aiomba Serikali kujenga Mabweni ktk Shule ya Bumbile ili Wanafunzi waache kusafiri kila mara

Soma - https://jamii.app/MulebaBweni