MADHARA YA ULAJI WA UDONGO
- Kuhisi kushiba muda wote, hivyo husababisha mwili kukosa virutubisho
- Kuna uwezekano wa kula sumu kwenye udongo
Soma > https://jamii.app/MadharaUlajiUdongo
#JamiiAfya #JFLeo #JamiiTalks

DC WA SONGWE ADAIWA KUTISHIA KUMUUA MBUNGE WA SONGWE
- Philipo Mulugo amemtuhumu Samuel Jeremiah kutishia kumuua kwa kumfuatilia kuhusu matumizi ya fedha za michango ya Wawekezaji wa Ufuta
- Pia, asema DC haelewani na DED wa Halmashauri ya Wilaya
Soma - https://jamii.app/DCSongweMbunge

TUNDU LISSU: KATIBA INARUHUSU MIKUTANO YA KISIASA ILA POLISI WANA SHERIA YA KUZUIA
- Amesema #Sheria za Tawala za Mikoa bado ni za Chama Kimoja
- RC's na DC's wanaweka Watu ndani, Rais ana Mamlaka ya kuweka Watu kizuizini bila kupelekwa Mahakamani
Soma https://jamii.app/LissuMikutano

UMEWAHI KUWA NA MATARAJIO MAKUBWA KISHA UKAUMIZWA?
- Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana
- Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
#JamiiTalks

TMA: KIMBUNGA #JOBO KINAPUNGUZA KASI KADIRI KINAVYOISOGELEA NCHI KAVU
TMA imesema kuwa kimbunga hicho sasa kinasafiri kwa kasi ya 18Km/h
> Wananchi wametahadharishwa kuwa kitasababisha mawimbi makubwa baharini na mvua kubwa ukanda wa Pwani
Soma https://jamii.app/KimbungaJoboDhaifu

DAR: WATU 49 WAMEKAMATWA KWA TUHUMA ZA WIZI WA PIKIPIKI NA MAGARI
> Wamekamatwa maeneo mbalimbali ya Dar ktk oparesheni maalum
> Wamekutwa wakiwa na pikipiki 10 na vifaa vyake, gari moja likiwa limetolewa viti na vipuri vya magari
Soma https://jamii.app/WeziMagariDSM

KIMBUNGA JOBO KIMERUDI KWENYE KASI YA AWALI
> Kimbunga JOBO kimekadiriwa kuwa umbali wa kilometa 76 kutoka Kisiwa cha Mafia Mkoani Pwani huku kikisafiri kwa kasi ya 20Km/h
> TMA imesema kasi ya 20km/h ni kasi kubwa
Soma https://jamii.app/KimbungaJoboDhaifu
> Kimbunga JOBO kimekadiriwa kuwa umbali wa kilometa 76 kutoka Kisiwa cha Mafia Mkoani Pwani huku kikisafiri kwa kasi ya 20Km/h
> TMA imesema kasi ya 20km/h ni kasi kubwa
Soma https://jamii.app/KimbungaJoboDhaifu
KILWA: ZAIDI YA TANI MOJA YA HEROIN YAKAMATWA
> Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na #DawaZaKulevya imekamata zaidi ya tani moja ya dawa za kulevya aina ya Heroin eneo la Kilwa Masoko zikisafirishwa kwa kutumia Jahazi
Soma https://jamii.app/DawaHeroinKilwa

TMA: KIMBUNGA JOBO HAKIPO
> Kimbunga JOBO kimepungua nguvu kadiri kilivyokuwa kinakaribia nchi kavu na hakutakuwa na madhara ya moja kwa moja yaliyotarajiwa
> Wananchi wameshauriwa kuendelea kufuatilia taarifa za utabiri kutoka TMA
Soma https://jamii.app/KimbungaJoboDhaifu
> Kimbunga JOBO kimepungua nguvu kadiri kilivyokuwa kinakaribia nchi kavu na hakutakuwa na madhara ya moja kwa moja yaliyotarajiwa
> Wananchi wameshauriwa kuendelea kufuatilia taarifa za utabiri kutoka TMA
Soma https://jamii.app/KimbungaJoboDhaifu
KENYA: WENYE VVU WALALAMIKIA UHABA WA DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI
- Uhaba wa Dawa umesababishwa na mzozo kati ya Serikali na USAID kutokana na kuongeza ushuru wa misaada
- Pia, USAID inatilia shaka madai ya rushwa dhidi ya Mamlaka ya Vifaa Tiba
Soma https://jamii.app/ARVsLackKE

MKURUGENZI WA TEMEKE ASIMAMISHWA KAZI KWA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
> Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemsimamisha Lusubilo J. Mwakibibi baada ya malalamiko
> Pia, DED wa Sumbawanga amesimamishwa kwa usimamizi mbovu wa Miradi
Soma https://jamii.app/MkurugenziTMK

ATHARI ZA MAAMBUKIZI YA MALARIA
- Matatizo ya kupumua
- Matatizo ya Ini
- Mshtuko wa Moyo
- Figo kushindwa kufanya kazi
- Kuvimba na kupasuka kwa bandama
- Kupungukiwa na maji mwilini
#InternationalMalariaDay #Malaria #JamiiAfya #JFLeo #WorldMalariaDay

WAKILI WA SERIKALI MWANDAMIZI MBARONI KWA RUSHWA YA TSH. MILIONI 5
> TAKUKURU Mkoa wa Manyara inamshikilia Mwendesha Mashtaka wa Serikali mkoani humo, Mutalemwa Kishenyi kwa kupokea rushwa ya Tsh. Milioni 5 kutoka kwa watuhumiwa
Soma zaidi - https://jamii.app/KishenyiArrested