JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.44K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
ARUSHA: 3 WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

> Washtakiwa walikusanya ushuru wa utalii wa utamaduni kati ya Julai 2017 hadi Machi 2018 na hawakuwasilisha makusanyo Halmashauri ya Karatu na kusababisha hasara ya Tsh. 11,409,045

Soma https://jamii.app/KaratuUhujumu
KILIMANJARO: MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA NA KUMSABABISHIA KIFO MKEWE

> Zakayo Kimaro anatuhumiwa kumpiga na kumsababishia kifo Magdalena Makishe (61)

> Kimaro amedaiwa kumuuza ng'ombe wa mkewe na alipoulizwa akamshambulia mkewe kwa fimbo

Soma https://jamii.app/MkeSihaMauaji
Baadhi ya Nukuu za Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 22, 2021 Bungeni Dodoma

#JFLeo
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Bungeni Dodoma leo Aprili 22, 2021

#JFLeo
RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO KUNAHITAJIKA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA ZA UZALISHAJI ZINAZOTOA AJIRA KWA WINGI

> Rais Samia amesema Uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.9% lakini #COVID19 imefanya ukue kwa 4.7%. Wataboresha Mazingira ya Uwekezaji ili kuleta ajira

Soma https://jamii.app/22HotubaSamia