ARUSHA: WATU SITA WAKIWEMO ASKARI WATATU WATUHUMIWA KUOMBA RUSHWA
> Wamekamatwa kwa tuhuma za kuomba rushwa ya zaidi ya Tsh. milioni 30 kutoka kwa Mkurugenzi wa Gem and Rock Venture ili wamsaidie kukwepa kodi na tuhuma nyingine zinazomkabili
Soma - https://jamii.app/AskariPolisRushwa

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HERI YA KRISMASI: Mkumbushe rafiki ushauri huu muhimu kwake 😊
MALI: KIONGOZI WA UPINZANI AFARIKI KWA #COVID19
- Familia yake imethibitisha kifo ikisema, Soumaila Cisse (71) amefariki kutokana na Virusi vya Corona nchini Ufaransa ambapo alipelekwa kwa matibabu maalum baada ya kugundulika na maambukizi
Soma - https://jamii.app/MaliCisseDies

MARA: WANNE MBARONI KWA KUJIHUSISHA NA QNET
> DC wa Musoma, Dkt. Vicent Naano amesema, wengi wanaotapeliwa hawatoi taarifa Polisi
> Uchunguzi umebaini wengi wametapeliwa akiwemo Mstaafu mmoja wa Manispaa aliyetapeliwa Tsh. milioni 15
Soma https://jamii.app/QNETWakamatwa

TAKUKURU WAENDELEA KUICHUNGUZA CHADEMA KWA UBADHILIFU WA MICHANGO
> Tangu Juni, TAKUKURU imekuwa ikiwahoji Wabunge wa CHADEMA baada ya kupata malalamiko
> Pia, itafuatilia mifuko ya Majimbo kwa Vyama vilivyokuwa na Wabunge katika Bunge la 11
Soma https://jamii.app/UchunguziCHADEMA

#NIGERIA: BOKO HARAM WAFANYA SHAMBULIO NA KUCHOMA MOTO KANISA
- Shambulio limetokea Kijiji cha Pemi kilichopo Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo, na imeelezwa takriban watu 11 wameuawa
- Wanamgambo hao walikuwa wanapiga risasi kiholela
Soma - https://jamii.app/11DeadNGR

FAHAMU KUHUSU KANUNI YA USHIRIKA NDANI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Kanuni hii imewekwa katika Ibara ya 7(1) (d) ya mkataba wa Uanzishwaji wa Jumuiya inayotaka maamuzi yoyote ya Jumuiya yaanzie ngazi ya chini kabisa ambayo ni wananchi.
Soma - https://jamii.app/KanuniEAC

BILIONEA WA URUSI AFARIKI AKIWA MAPUMZIKONI ZANZIBAR
> Igor Sosin amefariki #Zanzibar akiwa na Binti yake, Taisia pamoja na Mwanamke ambae hajafahamika
> Chanzo cha kifo chake bado hakijabainishwa ila miezi kadhaa iliyopita aliugua #COVID19
Soma https://jamii.app/BilioneaMrusi

TMA: TAHADHARI KWA IRINGA, NJOMBE, MTWARA, LINDI, RUVUMA NA MOROGORO
> Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri kuwa, mikoa hiyo itapata mvua ambazo zinaweza kuleta athari
> Mvua zinataanza Desemba 26. Wananchi wachukue tahadhari
Soma https://jamii.app/TMAMikoa

SERIKALI ZA ZANZIBAR NA OMAN KUCHUNGUZA SABABU ZA KUPOROMOKA KWA JENGO LA BEIT AL-AJAIB
- SMZ imesema itahakikisha jengo linarudi lilivyokuwa
- Oman ambayo inafadhili mradi wa ukarabati yasema, itaunda Timu kubaini hatua zinazopaswa kuchukuliwa
Soma - https://jamii.app/UchunguziBeitAlAjaib

SERIKALI: HOTELI YA SUGU HAITOBOMOLEWA
- RC Chalamila asema ameagizwa na Rais Magufuli kumueleza Joseph Mbilinyi (Sugu) kuwa hakuna yeyote atakuja kuigusa na kuibomoa
- Yamekuwepo madai kuwa ingebomolewa kwani imejengwa kwenye chanzo cha Maji
Soma > https://jamii.app/SuguHoteliMby

SERIKALI: MAJIBU YA CORONA YATOKE NDANI YA SAA 24
> Hospitali na Wananchi wanaojitokeza kupima hasa wanaosafiri wamelalamikia ucheleweshwaji wa majibu ya #COVID19
> Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi ametoa agizo kwa Maabara Kuu ya Taifa
Soma https://jamii.app/TzCOVID19

#UGANDA: TUME YA UCHAGUZI YAZUIA KAMPENI KAMPALA NA WILAYA NYINGINE 11
- Kampeni zimezuiwa kutokana na ongezeko la maambukizi ya #CoronaVirus
- Wakosoaji wamedai Tume imefanya hivyo kutokana na umaarufu wa Upinzani katika maeneo hayo
Soma - https://jamii.app/CampaignBanEC

ZANZIBAR: RAIS MWINYI ASISITIZA NIDHAMU KWENYE FEDHA ZA SERIKALI
- Dkt. Mwinyi amesema, fedha za Serikali zinalenga kusaidia wananchi wote
- Ameeleza, hatua anazochukua hazilengi kuonea mtu bali zinalenga kuleta nidhamu ktk matumizi ya Fedha hizo
Soma https://jamii.app/FedhaUmmaZnz

MABONDIA WA TANZANIA WAGAWA KICHAPO KIKALI KWA WAMALAWI NA MZAMBIA
> Desemba 26 kulikuwa na mapambano sita ambapo ktk mapambano manne Watanzania wameshinda kwa KO
> Twaha Kiduku hakupambana kwa kuwa Tshimanga Tshitundu (Mkongo) alichelewa Ndege
Soma https://jamii.app/BoxingTz

KAGERA: MOTO WATEKETEZA MADUKA ZAIDI YA 10
- Umetokea Kayanga Mjini, Karagwe na chanzo chake hakijafahamika hadi sasa
- Moto huo uliodumu kwa zaidi ya saa nne ulianza saa 5 usiku ktk moja ya duka la nguo na kusambaa kwenye maduka mengine
Soma - https://jamii.app/MotoKagera

SERIKALI YAANZA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA HOSPITALI YA DAR GROUP
> Wadau walilalamika kupitia JamiiForums kuhusu manyanyaso yanayofanywa na Uongozi wa Hospitali dhidi ya wafanyakazi
> Serikali imeutaka Uongozi kuheshimu sheria za kazi na imeundwa Tume ili kufanya Uchunguzi wa tuhuma zilizopo
Tazama https://youtu.be/sNhryCpMWaM

YouTube
SERIKALI YASHUGHULIKIA MALALAMIKO YA HOSPITALI YA DAR GROUP
Wadau walilalamika kupitia JamiiForums manyanyaso yanayofanywa na Uongozi wa Dar Group dhidi ya wafanyakazi. Serikali imeutaka uongozi kuheshimu sheria za kazi na wameunda tume ya Uchunguzi
MDAU: TUWAJALI KINA BABA, WALIJITOA NA KUJINYIMA
> Mdau anasema Baba zetu wanapozeeka na kukosa nguvu za kufanya kazi, Watoto huwaona hawana maana bila kujua chakula na mavazi waliyopewa na Mama zao zilitokana na mihangaiko ya Baba
> Anasisitiza kumjali Baba na sio Mama pekee kwa kuwa Baba naye ana nafasi kubwa katika kumfanya Mtoto awe alivyo
Soma https://jamii.app/TuwajaliKinaBaba

EFE AJAGBA: BONDIA ALIYESHINDA SEKUNDE YA KWANZA BAADA YA PAMBANO KUANZA
> Efe Ajagba ktk pambano lake na Curtis Harper alishinda kwa 'disqualification'
> Curtis Harper aliondoka ulingoni baada ya kengele, alikuwa na mgomo kuhusu mkataba
Soma https://jamii.app/EfeAjagba

UFISADI: VIGOGO WAWILI WA FEDHA WA TPA WASIMAMISHWA KAZI
> Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha, Nuru Mhando na Meneja Matumizi ya Fedha, Witness Mahela ili kupisha uchunguzi wa matumizi mabaya ya Fedha za Umma
> Amemuagiza CAG kufanya ukaguzi haraka
Soma https://jamii.app/TPAUbadhirifu