UMMY MWALIMU ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA TANGA MJINI
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Ummy Mwalimu (CCM) kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge kwa kupata kura 114,445
> Nafasi ya pili ni Mussa Mbaruk wa CUF aliyepata kura 7,497
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#TZ2020

ARUSHA MJINI: NEC YAMTANGAZA MRISHO GAMBO KUWA MBUNGE MTEULE
- Aliyewahi kuwa RC wa Arusha, Mrisho Gambo (CCM) ametangangazwa kuwa Mbunge Mteule kwa kura 82,480
- Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Godbless Lema (CHADEMA) amekuwa wa 2 kwa kupata kura 46,489
#Uchaguzi2020

KIGOMA MJINI: KIRUMBE NGβENDA (CCM) ATANGAZWA KUWA MBUNGE
- Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini imemtangaza Kirumbe Ng'enda kupitia CCM kuwa Mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 27,638
- Amefuatiwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo aliyepata kura 20,600
Matokeo zaidi, fuatilia https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

VUNJO: ALIYEKUWA MKURUGENZI CRDB, CHARLES KIMEI (CCM) ATANGAZWA KUWA MBUNGE
- NEC imemtangaza Dkt. Charles Kimei kupata kura 40,170
- Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata kura 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949 na Agustino Mrema kutoka TLP kura 606
Matokeo zaidi, fuatilia https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
- NEC imemtangaza Dkt. Charles Kimei kupata kura 40,170
- Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata kura 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949 na Agustino Mrema kutoka TLP kura 606
Matokeo zaidi, fuatilia https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
SALMA KIKWETE ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA MCHINGA
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Salma Rashid Kikwete (CCM) kuwa ni mshindi wa nafasi ya Ubunge kwa kura 11,690 huku Cyprian Mtotomwema (ACT-Wazalendo) akipata kura 5,388
Matokeo zaidi https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

KAWE: GWAJIMA ATANGAZWA KUWA MBUNGE MTEULE
- Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Josephat Gwajima wa CCM kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Kawe kwa kupata kura 194,833
- Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Halima Mdee kupitia CHADEMA amepata kura 32,524
Matokeo zaidi, fuatilia https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
- Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Josephat Gwajima wa CCM kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Kawe kwa kupata kura 194,833
- Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Halima Mdee kupitia CHADEMA amepata kura 32,524
Matokeo zaidi, fuatilia https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
#CORONAVIRUS: MAREKANI YAREKODI VISA ZAIDI YA 91,000 NDANI YA SAA 24
> Visa 91,295 vimerekodiwa na idadi ya maambukizi imefikia 8,426,568 huku waliopona wakiwa 2,778,552
> Vifo 1,021 vimeripotiwa na jumla ya waliofariki dunia ni 228,625
Soma - https://jamii.app/COVID19Updates

KISUTU, DAR: HUKUMU YA KESI DHIDI YA JAMIIFORUMS KUTOLEWA LEO
> Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 inatarajiwa kutolewa leo mbele ya Hakimu Huruma Shaidi
> Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa wanashtakiwa kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa kwa kikoa cha DO-TZ
> Katika shtaka la pili, Polisi ilimtaka Mkurugenzi wa Jamii Forums kutoa taarifa za Wanachama 2 waliodaiwa kuandika kuhusu madai ya uhalifu uliokuwa ukiendelea CRDB, washirikiana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari

UFARANSA: WATATU WAUAWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI
> Chanzo cha shambulio hakijafahamika, lakini linakuja baada ya Rais Macron kutetea uchapishaji wa katuni zinazomuonyesha Mtume Mohammad
> Mtuhumiwa ni raia wa Tunisia na yupo chini ya ulinzi
Soma https://jamii.app/3KilledFR
#JFLeo

KENYA YASHUHUDIA WIMBI LA 2 LA MAAMBUKIZI YA #COVID19
> Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe amesema wanashuhudia wimbi la pili la maambukizi baada ya watu 54 kufariki Wiki hii huku 761 wakithibitishwa kupata COVID-19 baada ya sampuli 4,830 kupimwa
Soma - https://jamii.app/KenyaCorona

UMOJA WA MATAIFA WATAKA DINI NA IMANI ZOTE KUHESHIMIWA
> Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ameeleza uwepo wa wasiwasi mkubwa juu ya vurugu zinavyoongezeka kutokana na kuchapishwa kwa katuni za kichochezi zinazowadhalilisha Waislamu
Soma - https://jamii.app/ReligionViolence

SENEGAL: TAKRIBAN WAHAMIAJI 140 WAFARIKI BAADA YA MELI KUZAMA
> Ofisi ya Uhamiaji ya Kimataifa (IOM) imesema ni ajali mbaya zaidi ya meli mwaka huu
> Mapema wiki hii Serikali ilionya kuhusu kuibuka tena kwa wahamiaji wanaojaribu kufika Ulaya
Soma https://jamii.app/AjaliBotiSngl

ZAMBIA: JARIBIO LA CHAMA TAWALA KUTAKA KUBADILI KATIBA LAGONGA MWAMBA
> Ni kufuatia upinzani mkali wa Asasi za Kiraia na Vyama vya Siasa
> Kama ungepitishwa, ungeongeza Mamlaka ya kuteua Majaji, Mawaziri na kuruhusu mabadiliko ktk Uchaguzi
Soma https://jamii.app/MuswadaBungeZA

ATHARI ZA #COVID19: KAMPUNI YA EXXON KUPUNGUZA WAFANYAKAZI 14,000 DUNIANI
> Kampuni hiyo kubwa ya mafuta Marekani inafanya hivyo kutokana na mlipuko kuathiri uhitaji
> Pia, Exxon imepunguza zaidi ya Dola Bilioni 10 ktk bajeti ya mwaka 2020
Soma - https://jamii.app/AjiraAthariCorona

KENYA: MZOZO WA MAHARI WAPELEKEA KAKA WA BIBI HARUSI KUUAWA
> Jacob Kipkosgei (27) na Daniel Kipchirchir (44) wanatuhumiwa kumuua Darius Kiplimo ktk mzozo kuhusu jinsi ya kugawana pesa ambazo baba yao alikuwa amepokea kama mahari ya Bintiye
Soma - https://jamii.app/MahariKifoKaka

KENYA KUTOA ADHABU KWA WANAOVUJISHA DATA ZA WATEJA
> Serikali italinda taarifa za Wakenya zinazohifadhiwa na Kampuni kama Facebook, Twitter na Google
> Moja ya adhabu ni faini takriban Tsh. Milioni 106, kifungo cha miaka 10 au vyote pamoja
Soma - https://jamii.app/DataProtectionKE

CAF YAAHIRISHA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
> Shirikisho la Soka Barani #Afrika limelazimika kuahirisha fainali ya ligi ya Mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6
> Kuahirisha huko kumechangiwa na kucheleweshwa kwa pambano la marudio la Nusu Fainali baina ya Zamalek na Casablanca
Soma - https://jamii.app/CAFFainaliLigi
#JFSports

#UGANDA: SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUNDI LA WAANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU
> Mamlaka imepiga marufuku muungano wa Mashirika zaidi ya 60 ikidai sio halali
> Imesema baadhi ya Mashirika hayajasajiliwa na hayana kibali cha kuhudumu nchini humo
Soma - https://jamii.app/UGElections