GODWIN MOLLEL ATANGAZWA MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA SIHA
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Mgombea Ubunge wa CCM Godwin Mollel kuwa mshindi kwa kupata kura 22,172
> Elvis Mossi wa CHADEMA amepata kura 8,614, Amedeus Kitali wa ACT Wazalendo amepata kura 418 na Lesilie Killeo NCCR-Mageuzi amepata kura 306
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020

DKT. PIUS CHAYA ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA MANYONI MASHARIKI
> Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Manyoni, amemtangaza Dkt. Pius Chaya (CCM) kuwa mshindi kwa kura 36,284 akifuatiwa na Aisha Luja (CHADEMA) kwa kura 4,773
Matokeo zaidi, https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

TABASAM HAMIS AMETANGAZWA KUWA MSHINDI JIMBO LA SENGEREMA
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Tabasam Hamis Mwagao (CCM) kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge kwa kura 59,734
> Wa pili ni Victoria B. Tinabatangile (CHADEMA) kura 7,949
Matokeo zaidi, https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#TZ2020

FESTO SANGA(CCM) ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA MAKETE
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Festo Sanga kuwa mshindi kwa kura 24,237
> Ahadi Mtweve (CHADEMA) amepata kura 5,077 na Grace Jekela (NCCR Mageuzi) amepata kura 981
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Festo Sanga kuwa mshindi kwa kura 24,237
> Ahadi Mtweve (CHADEMA) amepata kura 5,077 na Grace Jekela (NCCR Mageuzi) amepata kura 981
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
DKT. FAUSTINE NDUGULILE ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA KIGAMBONI
> Dkt. Faustine Ndugulile (CCM) amepata kura 34,540 huku Mageleli Simon wa CHADEMA akipata kura 11,306
> Mwanaisha Mndeme wa Chama cha ACT-Wazalendo amepata kura 1,952
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
> Dkt. Faustine Ndugulile (CCM) amepata kura 34,540 huku Mageleli Simon wa CHADEMA akipata kura 11,306
> Mwanaisha Mndeme wa Chama cha ACT-Wazalendo amepata kura 1,952
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
ROBERT MABOTO AMETANGAZWA MSHINDI JIMBO LA BUNDA MJINI
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Robert Maboto (CCM) kuwa Mshindi wa Nafasi ya Ubunge kwa kura 31,129
> Wa pili ni Ester Bulaya (CHADEMA) aliyepata kura 13,258
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Robert Maboto (CCM) kuwa Mshindi wa Nafasi ya Ubunge kwa kura 31,129
> Wa pili ni Ester Bulaya (CHADEMA) aliyepata kura 13,258
Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020
JAPHET HASUNGA AMETANGAZWA MSHINDI JIMBO LA VWAWA
> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Japhet Hasunga (CCM) kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge kwa kura 38,226
> Nafasi ya pili imeenda kwa Fanuel Mkisi wa CHADEMA aliyepata kura 17,157