JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
JUMA KIPANGA(CCM) ATANGAZWA MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA MAFIA

> Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Mafia mkoani Pwani, amemtangaza Juma Kipanga (CCM) kuwa mshindi wa Ubunge akipata kura 12,691

> Anafuatiwa na Riziki Shahari wa ACT-Wazalendo aliyepata kura 2,342

Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

#Uchaguzi2020
ZANZIBAR: MAALIM SEIF NA VIONGOZI WENGINE WA ACT-WAZALENDO WAKAMATWA

- Kwa mujibu wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif, Juma Duni, Ismail Jussa na viongozi wengine wa chama hicho wamekamatwa mchana wa leo

- Wanadaiwa kuhamasisha watu kuandamana

#Uchaguzi2020 #Zanzibar #TZ2020
KISWAGA DESTERY (CCM) ATANGAZWA MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA MAGU

> Msimamizi wa Uchaguzi Magu, amemtangaza Kiswaga Destery wa CCM kama mshindi wa Ubunge akiwa na kura 139,935

> Leonard Kwizera wa CHADEMA ameshika nafasi ya pili akiwa na kura 14,479

Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

#Uchaguzi2020
ISAAY ZACHARIA PAULO (CCM) ATANGAZWA MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA MBULU MJINI

> Mgombea wa CCM katika Jimbo la Mbulu Mjini, Isaay Zacharia Paulo ametangazwa kuwa mshindi baada ya kupata kura 28,264

> Anayemfuata ni Gervas Michael Sule wa CHADEMA aliyepata kura 11,630

Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

#Uchaguzi2020
FREDRICK LOWASSA (CCM) ATANGAZWA MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA MONDULI

> Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Monduli Mkoani Arusha, amemtangaza Fredrick Lowassa (CCM) kuwa mshindi wa Ubunge akipata kura 72,502

> Anafuatiwa na Cecilia Ndosi (CHADEMA) aliyepata kura 4637

Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

#TZ2020 #Uchaguzi2020
JOHN KANYASU ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA GEITA MJINI

> Mgombea wa CCM, John Kanyasu ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 30,277

> Aliyemfuata ni Upendo Furaha Peneza wa CHADEMA ambaye amepata kura 17,272

Matokeo zaidi, soma https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

#Uchaguzi2020
ADOLF MKENDA ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA ROMBO

- Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Rombo, Godwin Chacha amemtangaza Profesa Adolf Mkenda kutoka CCM kuwa mshindi wa Ubunge kwa kupata kura 48,122 kati ya kura 61,111 zilizopigwa

Matokeo zaidi https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

#Uchaguzi2020 #TanzaniaElections2020
PROF. NDALICHAKO ATANGAZWA MSHINDI WA JIMBO LA KASULU MJINI

> Msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (CCM) kuwa Mbunge kwa kura 49,390

> Wa pili ni Hamza Mturu wa ACT-Wazalendo amepata kura 3,653

Matokeo zaidi, https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo

#Uchaguzi2020
JIMBO LA MIKUMI: DENIS LAZARO WA CCM ATANGAZWA MSHINDI

- Denis Lazaro ameshinda kiti cha Ubunge kwa kupata kura 31,411 dhidi ya Joseph Haule (Profesa Jay) wa CHADEMA aliyepata kura 17,375

- Pia, kwa mujibu wa Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo hilo, CCM imeshinda Udiwani katika Kata zote 40

Matokeo zaidi https://jamii.app/Uchaguzi2020Matokeo
#Uchaguzi2020