TANZANIA YAFANYA UCHAGUZI MKUU LEO - OKTOBA 28, 2020
> Waliojiandikisha ni 29,188,347 na jumla ya Vituo vya Kupigia Kura ni 80,155
> Vyama ya Siasa 19 vinashiriki ktk Uchaguzi, Wagombea Ubunge ni 1,257, na Wagombea Udiwani ni 9,237
Soma https://jamii.app/UchaguziTZ
#Uchaguzi2020

KAWE, DAR: Wananchi wamejitokeza ili kutumia haki yao kikatiba kuchagua viongozi
> Pichani ni wananchi wa Kawe, Ukwamani wakiwa katika vituo wakihakiki majina kwanza na kisha kwenda kupiga kura
#TZ2020 #TanzaniaElections2020 #Uchaguzi2020

WAGOMBEA WANAWAKE KATIKA NAFASI YA URAIS, UDIWANI NA UBUNGE
> Kwa mujibu wa NEC, Wagombea wanawake ktk kiti cha Rais ni 2 kati ya 15 sawa na 13% na kwa Makamu wa Rais wanawake ni 5
> Wagombea Ubunge ni 1,257 na Wanawake walioteuliwa ni 294 sawa na 23%. Wagombea Udiwani ni 9,237 na Wanawake walioteuliwa ni 669 sawa na 7.2%
Soma - https://jamii.app/Wanawake2020

UCHAGUZI ZANZIBAR: DKT. HUSSEIN MWINYI APIGA KURA, AHIMIZA WAZANZIBARI KUENDELEA KUJITOKEZA
> Mgombea huyo wa Urais (CCM) ametoa rai kwa Wazanzibari kuendelea kujitokeza Vituoni
> Mgombea Mwenza wa Urais JMT, Samia Suluhu naye amepiga kura Zanzibar akisema hali ipo vizuri
Tazama https://youtu.be/bYblLXBN47o

MAALIM SEIF ATIMIZA HAKI YAKE YA KUPIGA KURA
> Amefika ktk Kituo cha Garagara, Jimbo la Mwera na kupiga kura mapema leo
> Asema ametiwa moyo na watu wengi kujitokeza kupigia kura ila Wananchi wengi wana malalamiko ya kutokuona majina yao kwenye vituo
#TanzaniaDecides2020 #Uchaguzi2020

DKT. MAGUFULI NA MKEWE WAPIGA KURA DODOMA
> Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Magufuli na Mama Janet Magufuli wametimiza haki yao ya Kikatiba ya kupiga kura katika kijiji cha Chamwino jijini Dodoma
> Amewasihi Watanzania kujitokeza kwa wingi ili kufanya maamuzi yaliyomo ndani ya mioyo yao

DKT. TULIA ACKSON: NINA UHAKIKA NA USHINDI WA CCM MBEYA MJINI
> Mgombea huyo wa Ubunge asema ana uhakika CCM itaibuka kidedea ktk Jimbo hilo
> Ametaja changamoto kwa baadhi ya Raia kukata tamaa kupiga kura baada ya kukosa Majina yao Vituoni
Soma https://jamii.app/TuliaUshindiCCM
#TZ2020

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MZOZO WATOKEA BAINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NA HALIMA MDEE
> Inaelezwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, amevutana na Jeshi la Polisi pamoja na Wasimamizi wa Uchaguzi kwa madai ya kuingilia zoezi hilo
> Mgogoro huo umetokea baada ya Mdee kudai kuna mabegi yenye kura feki yanayoingizwa Kituoni hapo
#Uchaguzi2020 #JamiiForums

RC wa Mbeya, Albert Chalamila: Niendelee kuwasisitiza, leo kama ni maandamano basi naomba viongozi wao, nipo chini ya magoti yao, viongozi ndio wawe mbele, ili kama ni kufyatua basi wafyatuliwe vizuri
- Kwasababu itakuwa ni uchokozi, na itakuwa umeletewa kidole mdomoni
#Uchaguzi2020
- Kwasababu itakuwa ni uchokozi, na itakuwa umeletewa kidole mdomoni
#Uchaguzi2020
SAMIA SULUHU ATIMIZA HAKI YA KIKATIBA KWA KUPIGA KURA
> Mama Samia amepiga kura katika Kituo cha SOS Mombasa Zanzibar
> Amewasihi Watu waliopo nyumbani na wanahofia usalama wao wajitokeze kupiga kura kwasababu kila kitu kipo vizuri na zoezi linakwenda haraka

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amepiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Bungi Wilaya ya Kati Unguja
-
Dkt. Shein ambaye ameongoza Zanzibar tangu mwaka 2010 anamaliza muda wake
#JamiiForums #Uchaguzi2020

MUSOMA: MAJINA YA WAPIGA KURA YAHAMISHWA NA KUPELEKWA KITUO KINGINE
> Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Bweri wamelalamika majina yao kupelekwa katika vituo ambavyo hawakujiandikisha bila kupewa taarifa
> Msimamizi wa Uchaguzi asema majina yamehamishwa kwa kuwa kila kituo kinapaswa kuwa na wapigakura 450
Soma - https://jamii.app/MajinaKuhamishwa