MAJALIWA: VYAMA VITAKUJA, LAKINI MAENDELEO YATALETWA NA CCM
> Akiwa Nachingwea Mkoani Lindi, amewataka wananchi kutumia kura zao kukataa Viongozi wanaolaumu
> Amesema Rais ambaye anatakiwa ni yule atakayeleta maendeleo katika maeneo yote
Soma https://jamii.app/MajaliwaNachingwea
#TZ2020

WhatsApp, TWITTER NA TELEGRAM ZATOWEKA KWA WATEJA WA TANZANIA
> Taarifa zilizoletwa na watumiaji kadhaa wa mitandao hiyo wanaotumia laini za Vodacom nchini #Tanzania zinaonesha mawasiliano yamekatika kabisa muda mfupi uliopita
> Bado hakuna taarifa za chanzo cha tatizo hilo

#ZANZIBAR: MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AACHIWA HURU
> Naibu Katibu Mkuu wa chama ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui amesema, Mgombea huyo wa Urais ameachiwa huru baada ya kushikiliwa na Vikosi vya Usalama alipokuwa Kituo cha Kupigia Kura cha Garagara
#JamiiForums #Uchaguzi2020

UMOJA WA AFRIKA WATOA WITO KWA #TANZANIA KUFANYA UCHAGUZI WA AMANI
> M/Kiti wa AU ametoa wito kwa Vyama vya Siasa na wafuasi wake kujizuia kufanya vitendo vya ghasia na kuisihi Serikali kuhakikisha kuna mazingira mazuri ya Raia kupiga kura
Soma - https://jamii.app/AUElectionTZ

JE, WAJUA KUWA SIMU YAKO INAWEZA KUKUJULISHA KITUO CHAKO CHA KUPIGIA KURA?
> Piga *152*00# chagua 9, kisha chagua 1. Weka namba ya kadi ya mpiga kura bila herufi ‘T’ wala alama ‘-‘
> Utapokea ujumbe wenye taarifa na kituo cha kupigia kura
Soma https://jamii.app/SimuKituoKura

WALINZI WA MBOWE WADAIWA KUTEKWA
> Freeman Mbowe ametoa taarifa kuwa maisha yake yapo hatarini
> Amedai kuwa walinzi wake wawili wametekwa na majambazi wenye silaha nzito saa nane usiku wa kuamkia leo ktk hoteli yao
Soma https://jamii.app/MboweWalinzi

TANZANIA YAFANYA UCHAGUZI MKUU LEO - OKTOBA 28, 2020
> Waliojiandikisha ni 29,188,347 na jumla ya Vituo vya Kupigia Kura ni 80,155
> Vyama ya Siasa 19 vinashiriki ktk Uchaguzi, Wagombea Ubunge ni 1,257, na Wagombea Udiwani ni 9,237
Soma https://jamii.app/UchaguziTZ
#Uchaguzi2020

KAWE, DAR: Wananchi wamejitokeza ili kutumia haki yao kikatiba kuchagua viongozi
> Pichani ni wananchi wa Kawe, Ukwamani wakiwa katika vituo wakihakiki majina kwanza na kisha kwenda kupiga kura
#TZ2020 #TanzaniaElections2020 #Uchaguzi2020

WAGOMBEA WANAWAKE KATIKA NAFASI YA URAIS, UDIWANI NA UBUNGE
> Kwa mujibu wa NEC, Wagombea wanawake ktk kiti cha Rais ni 2 kati ya 15 sawa na 13% na kwa Makamu wa Rais wanawake ni 5
> Wagombea Ubunge ni 1,257 na Wanawake walioteuliwa ni 294 sawa na 23%. Wagombea Udiwani ni 9,237 na Wanawake walioteuliwa ni 669 sawa na 7.2%
Soma - https://jamii.app/Wanawake2020

UCHAGUZI ZANZIBAR: DKT. HUSSEIN MWINYI APIGA KURA, AHIMIZA WAZANZIBARI KUENDELEA KUJITOKEZA
> Mgombea huyo wa Urais (CCM) ametoa rai kwa Wazanzibari kuendelea kujitokeza Vituoni
> Mgombea Mwenza wa Urais JMT, Samia Suluhu naye amepiga kura Zanzibar akisema hali ipo vizuri
Tazama https://youtu.be/bYblLXBN47o

MAALIM SEIF ATIMIZA HAKI YAKE YA KUPIGA KURA
> Amefika ktk Kituo cha Garagara, Jimbo la Mwera na kupiga kura mapema leo
> Asema ametiwa moyo na watu wengi kujitokeza kupigia kura ila Wananchi wengi wana malalamiko ya kutokuona majina yao kwenye vituo
#TanzaniaDecides2020 #Uchaguzi2020

DKT. MAGUFULI NA MKEWE WAPIGA KURA DODOMA
> Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Magufuli na Mama Janet Magufuli wametimiza haki yao ya Kikatiba ya kupiga kura katika kijiji cha Chamwino jijini Dodoma
> Amewasihi Watanzania kujitokeza kwa wingi ili kufanya maamuzi yaliyomo ndani ya mioyo yao

DKT. TULIA ACKSON: NINA UHAKIKA NA USHINDI WA CCM MBEYA MJINI
> Mgombea huyo wa Ubunge asema ana uhakika CCM itaibuka kidedea ktk Jimbo hilo
> Ametaja changamoto kwa baadhi ya Raia kukata tamaa kupiga kura baada ya kukosa Majina yao Vituoni
Soma https://jamii.app/TuliaUshindiCCM

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MZOZO WATOKEA BAINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NA HALIMA MDEE
> Inaelezwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, amevutana na Jeshi la Polisi pamoja na Wasimamizi wa Uchaguzi kwa madai ya kuingilia zoezi hilo
> Mgogoro huo umetokea baada ya Mdee kudai kuna mabegi yenye kura feki yanayoingizwa Kituoni hapo
#Uchaguzi2020 #JamiiForums