SAFARI ZA BOTI NA MELI KUSITISHWA SIKU YA UCHAGUZI
> Mamlaka ya Usafiri wa Baharini #Zanzibar(ZMA) imetangaza kusitisha safari zote za Boti na Meli za abiria na mizigo Jumatano ijayo, Oktoba 28, 2020 ili kutoa fursa kwa Wananchi kupiga kura
Soma https://jamii.app/SafariOktoba28
#TZ2020

KADEGE: UPDP ITATOA RUZUKU ZA UCHAGUZI HATA VYAMA VISIVYO NA WABUNGE
> Mgombea Urais wa Chama hicho amesema Ruzuku ya Uchaguzi ni keki ya Taifa, kila Chama lazima kipate
> Wasio na Wabunge watapata ruzuku ili waweze kuzunguka kuomba kura
Soma - https://jamii.app/UPDPRuzukuUchaguzi

MBOWE: KUNA MAMILIONI YA WAPIGA KURA HEWA NA MAELFU YA VITUO BANDIA
> Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amedai kuna uvurugwaji mkubwa wa Daftari la Wapiga kura
> Ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoa maelezo na suluhisho haraka
Soma https://jamii.app/MboweUchaguzi
#Uchaguzi2020

#NIGERIA: MITIHANI YA SHULE ZA SEKONDARI YAHAIRISHWA KUTOKANA NA GHASIA
> Pia, Baraza la Taifa la Mitihani(NECO) limefikia uamuzi huo baada ya baadhi ya Majimbo kuweka amri ya kutotoka nje
> Waandamanaji wanaendelea kupinga ukatili wa Polisi
Soma https://jamii.app/EndSARSNigeria

DPP: YEYOTE ATAKAYEVURUGA AMANI ATASHUGULIKIWA
> Mkurugenzi wa Mashtaka, Biswalo Mganga amesema jukumu la amani ni la kila Mwananchi
> Taratibu na Sheria zinatakiwa kufuatwa ili kupata Haki, amani na usalama, na Taifa liweze kupata maendeleo
Soma https://jamii.app/DPPAmaniTZ

IVORY COAST: UPINZANI WAKATAA MABADILIKO YA TUME YA UCHAGUZI
> Vyama vya Upinzani vimesema vitaendelea kuasi dhidi ya utekelezaji wa #Sheria ya kumruhusu Rais Alassane kugombea kwa awamu ya 3
> Wamezitaka Taasisi za Kimataifa kuingilia kati
Soma https://jamii.app/ProtestsInIvoryCoast

KAMATI YA AMANI YAOMBA MFUNGO WA SIKU TATU KUOMBEA UCHAGUZI WA AMANI
> Pia, imewataka wazazi na walezi kuwaasa vijana kujiepusha kushawishiwa na wanaoitakia mabaya Tanzania
> Wamesisitiza kuviacha Vyombo ya Uchaguzi vifanye kazi yake
Soma https://jamii.app/KuombeaUchaguzi

LISSU: MIMI SIO WA KWANZA KUWA NA WAKILI MWINGEREZA
> Tundu Lissu amesema hata Mwl. Nyerere aliwahi kumtumia Wakili kutoka Uingereza
> Amesema hayo alipoulizwa kuhusu kujihusisha na Mataifa ya nje kwani hata Wakili wake ni raia wa Kigeni
Soma https://jamii.app/WakiliMuingereza

ACT-WAZALENDO WAANDIKA BARUA KWA MSAJILI KUHUSU KUKOMA KIKATIBA KWA UANACHAMA WA ZITTO NA MAALIM
> Wanachama wamesema Maalim Seif na Zitto wamekosa sifa. Katiba yao Ibara ya 13(4) inasema mwanachama atapoteza sifa akiunga mkono chama kingine
Soma https://jamii.app/ZittoVsMaalim

NEC: MADAI YA UWEPO WA VITUO HEWA NI UZUSHI
> NEC imesema imebaini watu wakiwemo Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi
> Imetoa onyo ikisema haitosita kuwachukulia hatua kwasababu wanafanya uchochezi
Soma - https://jamii.app/NECViongoziUzushi

ARUSHA: ADC YAAHIDI KUJENGA CHUMBA CHA KUHIFADHI MAITI NA SOKO
> Queen Sendiga ameahidi kujenga Chumba cha Kuhifadhi maiti ktk Hospitali ya Arumeru endapo atachaguliwa kuwa Rais
> Ameahidi kujenga soko jipya ndani ya miezi 3 ya mwanzo
Soma https://jamii.app/ADCAhadiArumeru

MAALIM SEIF: ACT WAZALENDO ITAJALI MAKUNDI MAALUM
> Mgombea Urais Zanzibar, Maalim Seif amesema watahakikisha kuna usawa wa kijinsia kwenye ajira
> Walemavu watawekewa mazingira rafiki, Serikali itawalipia Wazee nauli za daladala
Soma https://jamii.app/MakundiMaalum

LISSU: NI KWELI NINA TIKETI YA KWENDA UBELGIJI
> Mgombea Urais wa JMT (CHADEMA), Tundu Lissu amesema atakwenda Ubelgiji Desemba 18 ili akaonane na Daktari wake Desemba 20, 2020
> Amesema hayo akijibu hoja ya Dkt. Magufuli kuwa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za kuondoka Nchini baada ya kusababisha fujo
Soma https://jamii.app/LissuTiketiNdege

NAPE: MWAKA HUU UPINZANI WAMERUDIA MAKOSA YALE YALE
> Amesema wakati huu wa Uchaguzi wamerudia makosa waliyofanya nyuma na Lowassa na Sumaye
> Amesema, suala hilo limewakaba lazima waanguke nalo. Membe akimaliza kazi atarudi CCM
Tazama - https://youtu.be/ZKy1zt1Nd6k

YouTube
Nape: Wapinzani wamerudia makosa yale yale! Membe kama Lowassa au Sumaye, atarudi CCM muda ukifika
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema βKama una akili nzuri, unaazimishwa mgombea halafu unategemea huyo mgombea kuiangusha CCM? Lowassa alikuwa anapita, walipomaliza kazi na Sumaye wakarudi CCMβ
Amesema βMwaka huu wamerudia makosa yale yaleβ¦

RC CHALAMILA: TUMEJIPANGA KUKABILIANA NA VIJANA WALIOANDALIWA KUFANYA VURUGU
> Amedai wanazo taarifa za Vijana 150 kuandaliwa kila Kata na Upinzani
> Amewataka wananchi kupiga kura na kutobaki Vituoni kwani kulinda kura si jukumu lao
Soma - https://jamii.app/UchaguziMby

LISSU: JARIBIO LOLOTE LA KUVURUGA UCHAGUZI LITASABABISHA WATU WAPELEKWE 'THE HAGUE'
> Asema kuna uchunguzi unaendelea na ipo orodha ya watu wanaoangaliwa
> Yeyote atakayetumia mbinu za kiharamia kuvuruga Uchaguzi anajiingiza ktk orodha hiyo
Soma https://jamii.app/LissuUchaguzi

MARA YA MWISHO TRENI ILIENDA ARUSHA MWAKA 1986
> TRC wamesema, ni kama Mwl. Nyerere alipoondoka Madarakani aliondoka na huduma ya Reli Kaskazini
> Wamesema ukarabati wa Reli hiyo umegharimu Tsh. Bilioni 14 ambazo zimetolewa na Serikali
Soma https://jamii.app/TreiArusha

POLISI WAMHOJI HALIMA MDEE KWA TUHUMA ZA KUMILIKI VINASA SAUTI
> Mdee alienda kuripoti tukio la watu kumfuatilia, alipofika aliwekwa chini ya ulinzi akiambiwa kuna Jalada lake
> Polisi walifanya upekuzi nyumbani kwake na kuondoka na kompyuta
Soma https://jamii.app/MdeePolisi

KATIBU MKUU WA ACT-WAZALENDO ASHIKILIWA NA POLISI
> Taarifa ya ACT-Wazalendo inasema, Ado Shaibu anatuhumiwa kuhamasisha Wakulima wa Korosho kugomea Mfumo wa Stakabadhi Ghalani na kujilinda dhidi ya Tembo wanaovamia Mashamba na Makazi yao
Soma - https://jamii.app/AdoShaibuArrested