DKT. MAGUFULI: NATAMANI KUFIKA KILA ENEO KUFANYA KAMPENI LAKINI SIWEZI
> Amesema hawezi kwasababu na yeye ni binadamu
> Amesema mbali na kuwa Mgombea, yeye pia ni Rais ambaye anapaswa kufanya majukumu ya Serikali ambayo bado yanamkabili
Soma - https://jamii.app/DktJPMKawe
#TZ2020

ZANZIBAR: ADA-TADEA YAAHIDI KUINUA SEKTA YA MICHEZO ILI ISITEGEMEE WAFADHILI
> Mgombea Urais wa Chama hicho, Juma Khatib amesema ataweka bajeti maalum kuendesha Ligi Kuu
> Wafadhili watapewa nafasi, lakini bajeti ya Serikali haitaondolewa
Soma https://jamii.app/ADATADEA

NIGERIA: WANANCHI WAENDELEA NA MAANDAMANO KUPINGA UKATILI WA POLISI
> Licha ya Serikali kufuta kikosi cha #SARS kilichopewa kazi ya kupambana na wahalifu, wananchi wanasema hawajaridhika na hatua hiyo na wanachokitaka ni Mageuzi kwenye Jeshi
Soma https://jamii.app/NigeriaProtests

MAALIM SEIF ATAKIWA KUFIKA MBELE YA KAMATI YA MAADILI LEO
> Mgombea wa Urais wa #Zanzibar (ACT-Wazalendo) anadaiwa kukiuka maadili ya Uchaguzi kutokana na kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27 badala ya Oktoba 28 iliyopangwa na ZEC
Soma - https://jamii.app/SeifKamatiMaadili
#Uchaguzi2020

SIKU YA KIMATAIFA YA KUNAWA MIKONO: OSHA MIKONO OKOA MAISHA
> Oktoba 15 ni Siku ya Kimataifa ya Unawaji Mikono. Ni siku maalum ya kuhamasisha watu kunawa mikono ili kuepuka maradhi
> Kaulimbiu ya Kitaifa ni βOsha Mikono Okoa Maishaβ
Soma - https://jamii.app/KunawaMikono

UCHAGUZI 2020: JINSI MPIGA KURA ANAVYOWEZA KUTAMBUA KITUO CHAKE CHA KUPIGIA KURA
> Orodha ya wapiga kura kwa kila kituo itabandikwa siku nane (8) kabla ya Siku ya Uchaguzi
> Kujua jinsi ya kuhakiki kituo chako cha kupigia kura, fungua > https://jamii.app/HakikiKituoKura

SERIKALI KUTUMIA HELIKOPTA KUZIMA MOTO MLIMA #KILIMANJARO
> Waziri wa Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema wanatazamia kutuma Helikopta kuuzima moto unaowaka kwa siku ya 5 sasa
> Changamoto ni upepo mkali na kukauka kwa nyasi na vichaka
Soma - https://jamii.app/NdegeMotoKLM

MICHEZO: Wachezaji wa Klabu ya #Juventus wameamua kujiweka Karantini baada ya Kiungo wa Timu hiyo, Weston McKennie kuthibitika kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus
> Taarifa za Weston zinakuja ikiwa ni siku 2 tangu Cristiano Ronaldo athibitike kuwa na Virusi hivyo
#JFSports

#UGANDA: POLISI WADAIWA KUIBA NYARAKA ZA BOBI WINE KUGOMBEA URAIS
> Amesema nyaraka za uteuzi wake wa kugombea Urais zimepotea baada ya uvamizi kutoka Vikosi vya Usalama jana mchana
> Timu yake tayari ilikuwa imeshakusanya sahihi Milioni 6
Soma - https://jamii.app/BobiOfficeRaid

UNICEF: WATU BILIONI 3 DUNIANI HAWANA VIFAA VYA KUNAWIA MIKONO
> Takriban robo tatu ya watu katika nchi masikini wanakosa vifaa hivyo
> Aidha 43% ya Shule hazina vifaa vya kunawia mikono, na hivyo kuwaathiri watoto wapatao Milioni 818
Soma - https://jamii.app/UNICEFTakwimu

GEITA: POLISI KUWASAKA WALIOVAMIA NYUMBA 3 ZA WAGOMBEA WA CHADEMA
> Watu zaidi ya 10 wanatuhumiwa kuchoma moto Bajaji 2, kuvunja vioo vya madirisha kwa mawe pamoja na kubomoa madirisha 2 ya nyumba usiku wa kuamkia Oktoba 13
Soma - https://jamii.app/BajajiMotoCDM

NEC YAKABIDHI NAKALA YA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA VYAMA VYA SIASA
> Vyama vimekabidhiwa nakala tepe ya daftari la wapiga kura na orodha ya vituo vya kupigia kura
> Pia, Tume imevikabidhi Karatasi ya mfano ya kupigia kura
Soma https://jamii.app/NECWapigaKura

DAR: MVUA YA OKTOBA 13 YAPELEKEA VIFO VYA WATU 8
> Miili 5 imeokotwa Mto Msimbazi, 2 imeokotwa maeneo ya Buguruni na mmoja Mto Mvule uliopo Ukonga
> Wawili kati ya waliofariki dunia ni watoto ambao walipoteza maisha wakiokoana Mto Msimbazi
Soma - https://jamii.app/MvuaMaafaDar

WIZARA YA AFYA YATOA TAHADHARI YA MAGONJWA YA MLIPUKO KUTOKANA NA MAFURIKO
> Wananchi wanaaswa kuchemsha Maji ya kunywa au kutibu kwa dawa kabla ya kuyatumia na kuongeza usimamizi wa usafi ktk maeneo ya mikusanyiko kama Shuleni, Vyuo, Masoko
Soma https://jamii.app/MafurikoMagonjwa

TANZANIA MSHINDI WA TATU TUZO ZA BIASHARA DUNIANI
> Tanzania imepata Tuzo za Taasisi zinazosimamia Biashara Duniani (WTPO 2020) ktk kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano ktk huduma ya kliniki ya biashara inayosimamiwa na TanTrade
Soma https://jamii.app/TzYa3Biashara
#JFBiashara

SHEIKH JONGO: VIONGOZI WA DINI MSIPIGIE CHAPUO VYAMA VYA SIASA MNAPOHUBIRI
> Afisa wa Ofisi ya Mufti Zanzibar, Sheikh Thabiti Jongo
amewashauri kutoonesha mahaba ya vyama misikitini ili kutowagawa waumini
> Amewataka wahubiri amani
Soma https://jamii.app/DiniSiasaPemba

NJOMBE: MBARONI KWA KUUA NA KUMWAGA UBONGO WA BABU YAKE
> Imani Mbilinyi (25) anatuhumiwa kumuua Elia Mbilinyi (90)
> Baada ya tukio hilo, mtuhumiwa alimuuliza Mwenyekiti kama angeweza kumlinda. Mwenyekiti akawaita Mgambo na kutaarifu Polisi
Soma https://jamii.app/MauajiBabuNjombe

UHOLANZI YARUHUSU KIFO CHA MAPEMA KWA WATOTO WENYE MAGONJWA YASIYOPONA
> Serikali ya #Uholanzi imeidhinisha mpango wa kuruhusu kifo cha mapema kwa watoto wenye mwaka 1 mpaka miaka 12
> Lengo ni kuzuia watoto kuteseka kwa maumivu wanayopitia
Soma https://jamii.app/EuthanasiaHoland

IGP SIRRO: KUNA BAADHI YA VYAMA WANA AJENDA YA KUFANYA VURUGU ILI UCHAGUZI USIFANYIKE
> Amesema Polisi wamejipanga, na ndio maana makundi ya uhalifu yanakamatwa
> IGP amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba
28 utafanyika kwa amani
Tazama https://youtu.be/ydqRP41RMDc

YouTube
IGP SIRRO: BAADHI YA VYAMA VINA AJENDA YA KUFANYA VURUGU ILI UCHAGUZI USIFANYIKE
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa amani na utulivu, japo kuna baadhi ya Vyama vinataka kuwa na vurugu ili Uchaguzi usifanyike
Aidha, amesema wana taarifa kuna watu wanaandaliwa kutoka Kenya naβ¦