LISSU: TUTATENGENEZA NCHI YA WATU WALIO HURU
> Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu amesema watatengeneza nchi ya watu huru na yenye haki, ambayo hakuna Kiongozi atakayeogopwa kuliko Mungu
> Amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 28
Tazama https://youtu.be/N2gbO75rV64
#TZ2020

YouTube
Bukombe, Geita: Tundu Lissu asema atatengeneza nchi ya watu walio huru
Ameyaongea hayo leo Oktoba 13, 2020 katika Kampeni za kusaka Urais wa JMT
MARA: IGP SIRRO AWATAKA WANASIASA KUTOWATUMIA WANANCHI VIBAYA
> Amewaonya baadhi ya wanasiasa kutumia shida za vijana kwa manufaa yao
> Amewataka wananchi wa Mara kuwa mfano wa siasa za busara, kwa kuwa wao ndio waanzilishi wa siasa nchini
Tazama https://youtu.be/A1-l4ppk1SI
#JFLeo

Mara: IGP Sirro awataka Wanasiasa kutowatumia Vijana vibaya
Ni leo Oktoba 13, 2020 wakati wa kikao na wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
USAJILI WA MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA KUHITIMISHWA APRILI 2021
> Benki Kuu Tanzania (BoT) inaendelea kupokea maombi ya usajili/leseni kwa watoa huduma ndogo za fedha hadi Aprili 30, 2021
> Wahusika wawasilishe maombi yanayoendana na sheria
Soma https://jamii.app/UsajiliMadukaFedha

OKTOBA 14: SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE
> Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999
> Alikuwa muasisi wa Tanzania, alishiriki kulikomboa Taifa kutoka kwa wakoloni
Soma https://jamii.app/NyerereDay
#NyerereDay

PWANI: MAHABUSU ALIYEKUWA NA KESI YA MAUAJI AFARIKI KWA KUPIGWA NA RADI
> Mahabusu Musa Haji Mchana amefariki na wafungwa wanne wamejeruhiwa kwa radi ktk gereza la Mng'aro
> Polisi wamesema hakuna mfungwa aliyetoroka na ulinzi umeimarishwa
Soma https://jamii.app/MahabusuRadi

RWANDA YARUHUSU KILIMO CHA BANGI KWA SABABU ZA KIBIASHARA
> Serikali imehalalisha kulimwa na kuuzwa kwa bangi nje ya nchi ili kunufaika kiuchumi
> Soko la zao hilo duniani lina thamani ya Dola Bilioni 345 (takriban Tsh. Trilioni 800)
Soma https://jamii.app/RwandaBangi

HALIMA MDEE: NATUHUMIWA KUMCHONGANISHA GWAJIMA NA MADHEHEBU MENGINE
> Mgombea Ubunge wa Kawe kupitia CHADEMA, Halima Mdee amesema atakata rufaa NEC dhidi ya maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kufanya kampeni kwa siku 7
Soma https://jamii.app/AdhabuMdee
#Uchaguzi2020

DKT. MAGUFULI: SIJAWAHI KUOMBWA KUWASAIDIA WANANCHI WA KAWE
> Akiwa eneo la Basihaya lililopo Boko jijini Dar, Dkt. John Magufuli amesema jana alipigiwa simu na Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima kuhusu adha ya maji
> Amesema wakimchagua Gwajima atawatengea Tsh. Bilioni 5 ili kukarabati mitaro ya Jimbo hilo
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm

DKT: MAGUFULI: VYAMA VYENYE BENDERA ZILIZO NA RANGI NYEKUNDU VINAASHIRIA MABAYA
> Ameeleza kuwa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipata Uhuru wa nchi hii bila kumwaga damu, ndio sababu bendera ya taifa haina rangi nyekundu
> Amesema kuna baadhi ya vyama vya siasa vina bendera zenye rangi nyekundu ambayo haiashirii dalili nzuri
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#Uchaguzi2020
> Ameeleza kuwa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipata Uhuru wa nchi hii bila kumwaga damu, ndio sababu bendera ya taifa haina rangi nyekundu
> Amesema kuna baadhi ya vyama vya siasa vina bendera zenye rangi nyekundu ambayo haiashirii dalili nzuri
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#Uchaguzi2020
UCHAGUZI 2020: IJUE HAKI YA VYAMA VYA SIASA NA WAGOMBEA KUTEUA MAWAKALA
> Chama kinaruhusiwa baada ya kupata ridhaa ya Mgombea/Wagombea kuteua na kuwasilisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi majina ya mawakala siku 7 kabla ya siku ya #Uchaguzi
Soma > https://jamii.app/UteuziMawakala

KIKWETE ASHAURI GHARAMA ZA MAZOEZI KWA WATOTO WENYE USONJI ZIPUNGUZWE
> Amesema kila zoezi moja ambalo watoto hufanyiwa ni Tsh. 20,000 Hospitali ya Muhimbili na Tsh. 50,000 Hospitali binafsi
> Mtoto anatakiwa kufanyiwa mazoezi 6 kila siku
Soma https://jamii.app/GharamaUsonji

DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE
> Katibu Mkuu wa CCM Taifa, amesema maendeleo ya watu ni uwezo wa kujitawala, kuchapa kazi na kuwa na mahusiano mazuri
> Pia, amemsifu Dkt. Magufuli kwa kuleta maendeleo ya watu
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#TZ2020
> Katibu Mkuu wa CCM Taifa, amesema maendeleo ya watu ni uwezo wa kujitawala, kuchapa kazi na kuwa na mahusiano mazuri
> Pia, amemsifu Dkt. Magufuli kwa kuleta maendeleo ya watu
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#TZ2020
TUNDU LISSU ALAZIMIKA KUTUMIA MTUMBWI KUFIKA UKEREWE
> Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na msafara wake wamelazimika kutumia Mitumbwi kufika Ukerewe kwa ajili ya Kampeni baada ya kuambiwa Kivuko cha Kisorya-Ngoma ni kibovu
Tazama https://youtu.be/hjbVHnKcOJ8

Tundu Lissu alazimika kutumia Mtumbwi kufika Ukerewe
ALI KIBA AOMBA MWALIMU NYERERE ATENGENEZEWE βDOCUMENTARYβ
> Msanii huyo amemuomba Dkt. Magufuli atenge fedha kwa ajili ya documentary ya Baba wa Taifa
> Amesema itasaidia kukuza tasnia ya filamu nchini na kufanya Nyerere afahamike kwa vijana
Soma https://jamii.app/NyerereDocumentary

#UCHAGUZI2020: FACEBOOK KUDHIBITI TAARIFA ZA UPOTOSHAJI
> Facebook imezindua programu za kukabiliana na taarifa potofu ili kulinda Demokrasia kipindi hiki cha Uchaguzi
> Itahakikisha matangazo ya Kampeni yanathibitishwa kwa ajili ya uwazi
Soma https://jamii.app/FacebookUchaguzi

PROF. KABUDI APATA AJALI MOROGORO
> Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
> Amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa akiendelea na matibabu
Tazama - https://youtu.be/aYzb2Ia1NCQ

RC Ole Sanare: Waziri Kabudi amepata ajali na anaendelea vizuri. Watanzania wasiwe na wasiwasi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro na amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro. Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha
BAKWATA MKOANI MTWARA YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CCM
> Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko la kumuombea na kumuunga mkono Dkt. Magufuli ili achaguliwe kuwa Rais wa #Tanzania kwa awamu nyingine
Soma https://jamii.app/BakwataKuraMagufuli

GWAJIMA AMLAUMU HALIMA MDEE KUTOTENGENEZA MITARO YA BOKO
> Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM, Askofu Josephat Gwajima amemlaumu aliyekuwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA) kwa kusababisha mafuriko kwa wananchi wa Boko
Tazama https://youtu.be/V-0ASXxnQFM

#Uchaguzi2020: Gwajima (CCM) amshushia lawama Mdee (CHADEMA) kuhusu mafuriko ya Kawe
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe jiji Dar kupitia CCM, Josephat Gwajima amedai kushangazwa na nini alikuwa anafanya Mgombea wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Halima Mdee ambaye pia amekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa miaka 15 huku bado Wanachi wake wakiteseka naβ¦