PROF. LIPUMBA: HUWEZI KUWA NA UCHUMI MZURI BILA MFUMO MZURI WA FEDHA
> Mgombea Urais kupitia CUF amesema βHali ya upatikanaji wa fedha ni ngumu na baadhi ya biashara zinafungwa
> Ameahidi kufufua viwanda na kuongeza ujazo wa fedha
Soma - https://jamii.app/LipumbaMfumoFedha
#Uchaguzi2020

TLP: TUNAENDELEA KUMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CCM
> Makamu M/kiti wa TLP, Domina Rwechungura amesema βSisi tulishasema tangu mwezi wa 5 tutamuunga mkono Rais Magufuli, hivyo Msajili kauli yake kwamba tumesitisha uamuzi wetu hatuitambuiβ
Soma - https://jamii.app/TLPMagufuli2020
#TZ2020

MADHARA YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR ES SALAAM
-
Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam baada ya mvua kuendelea kunyesha tangu asubuhi ya leo
-
Ni muhimu kuchukua tahadhari
Tazama https://youtu.be/w64m0ECpuSA

YouTube
Tahadhari ya Mvua kwa Wakazi wa Dar, Watakiwa kuwa Makini
LISSU: UCHAGUZI HAUTAKUWA RAHISI, KURA HII NI YA UKOMBOZI WA NCHI
> Mgombea Urais (CHADEMA), Tundu Lissu amesema kwa miaka 5 baadhi ya Wananchi wamepitia changamoto mbalimbali na Oktoba 28 ndiyo wakati wa Ukombozi kwa Watanzania
Soma - https://jamii.app/LissuUkomboziNchi

DKT. MAGUFULI: HATUKUNUFAIKA NA MADINI KUTOKANA NA UDHIBITI MBOVU
> Rais Magufuli amesema udhibiti mdogo katika usafirishaji wa madini ghafi, wizi na utoroshaji wa madini ulifanya Tanzania isifaidike na madini
> Amesema Serikali ya awamu ya tano ilichukua hatua kudhibiti hayo ikiwemo kusitisha usafirishaji wa mchanga
Soma https://jamii.app/SerikaliGawio

#CORONAVIRUS: WAKENYA WAKASIRISHWA NA TUKIO LA WANAFUNZI KUPULIZIWA DAWA
> Wanafunzi wamepuliziwa dawa kama njia ya kuepuka Virusi hivyo baada ya kufungua Shule
> Shirika la Afya (WHO) limesema njia hiyo ina madhara kimwili na kisaikolojia
Tazama https://youtu.be/Xy0rojmFt-s
#JFLeo

Wanafunzi Kenya Wapuliziwa dawa ya Corona, Wazazi Walalamika
LISSU: TUTATENGENEZA NCHI YA WATU WALIO HURU
> Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu amesema watatengeneza nchi ya watu huru na yenye haki, ambayo hakuna Kiongozi atakayeogopwa kuliko Mungu
> Amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 28
Tazama https://youtu.be/N2gbO75rV64

Bukombe, Geita: Tundu Lissu asema atatengeneza nchi ya watu walio huru
Ameyaongea hayo leo Oktoba 13, 2020 katika Kampeni za kusaka Urais wa JMT
MARA: IGP SIRRO AWATAKA WANASIASA KUTOWATUMIA WANANCHI VIBAYA
> Amewaonya baadhi ya wanasiasa kutumia shida za vijana kwa manufaa yao
> Amewataka wananchi wa Mara kuwa mfano wa siasa za busara, kwa kuwa wao ndio waanzilishi wa siasa nchini
Tazama https://youtu.be/A1-l4ppk1SI

Mara: IGP Sirro awataka Wanasiasa kutowatumia Vijana vibaya
Ni leo Oktoba 13, 2020 wakati wa kikao na wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
USAJILI WA MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA KUHITIMISHWA APRILI 2021
> Benki Kuu Tanzania (BoT) inaendelea kupokea maombi ya usajili/leseni kwa watoa huduma ndogo za fedha hadi Aprili 30, 2021
> Wahusika wawasilishe maombi yanayoendana na sheria
Soma https://jamii.app/UsajiliMadukaFedha

OKTOBA 14: SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE
> Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999
> Alikuwa muasisi wa Tanzania, alishiriki kulikomboa Taifa kutoka kwa wakoloni
Soma https://jamii.app/NyerereDay
#NyerereDay

PWANI: MAHABUSU ALIYEKUWA NA KESI YA MAUAJI AFARIKI KWA KUPIGWA NA RADI
> Mahabusu Musa Haji Mchana amefariki na wafungwa wanne wamejeruhiwa kwa radi ktk gereza la Mng'aro
> Polisi wamesema hakuna mfungwa aliyetoroka na ulinzi umeimarishwa
Soma https://jamii.app/MahabusuRadi

RWANDA YARUHUSU KILIMO CHA BANGI KWA SABABU ZA KIBIASHARA
> Serikali imehalalisha kulimwa na kuuzwa kwa bangi nje ya nchi ili kunufaika kiuchumi
> Soko la zao hilo duniani lina thamani ya Dola Bilioni 345 (takriban Tsh. Trilioni 800)
Soma https://jamii.app/RwandaBangi

HALIMA MDEE: NATUHUMIWA KUMCHONGANISHA GWAJIMA NA MADHEHEBU MENGINE
> Mgombea Ubunge wa Kawe kupitia CHADEMA, Halima Mdee amesema atakata rufaa NEC dhidi ya maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kufanya kampeni kwa siku 7
Soma https://jamii.app/AdhabuMdee

DKT. MAGUFULI: SIJAWAHI KUOMBWA KUWASAIDIA WANANCHI WA KAWE
> Akiwa eneo la Basihaya lililopo Boko jijini Dar, Dkt. John Magufuli amesema jana alipigiwa simu na Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima kuhusu adha ya maji
> Amesema wakimchagua Gwajima atawatengea Tsh. Bilioni 5 ili kukarabati mitaro ya Jimbo hilo
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm

DKT: MAGUFULI: VYAMA VYENYE BENDERA ZILIZO NA RANGI NYEKUNDU VINAASHIRIA MABAYA
> Ameeleza kuwa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipata Uhuru wa nchi hii bila kumwaga damu, ndio sababu bendera ya taifa haina rangi nyekundu
> Amesema kuna baadhi ya vyama vya siasa vina bendera zenye rangi nyekundu ambayo haiashirii dalili nzuri
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#Uchaguzi2020
> Ameeleza kuwa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipata Uhuru wa nchi hii bila kumwaga damu, ndio sababu bendera ya taifa haina rangi nyekundu
> Amesema kuna baadhi ya vyama vya siasa vina bendera zenye rangi nyekundu ambayo haiashirii dalili nzuri
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#Uchaguzi2020
UCHAGUZI 2020: IJUE HAKI YA VYAMA VYA SIASA NA WAGOMBEA KUTEUA MAWAKALA
> Chama kinaruhusiwa baada ya kupata ridhaa ya Mgombea/Wagombea kuteua na kuwasilisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi majina ya mawakala siku 7 kabla ya siku ya #Uchaguzi
Soma > https://jamii.app/UteuziMawakala

KIKWETE ASHAURI GHARAMA ZA MAZOEZI KWA WATOTO WENYE USONJI ZIPUNGUZWE
> Amesema kila zoezi moja ambalo watoto hufanyiwa ni Tsh. 20,000 Hospitali ya Muhimbili na Tsh. 50,000 Hospitali binafsi
> Mtoto anatakiwa kufanyiwa mazoezi 6 kila siku
Soma https://jamii.app/GharamaUsonji

DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE
> Katibu Mkuu wa CCM Taifa, amesema maendeleo ya watu ni uwezo wa kujitawala, kuchapa kazi na kuwa na mahusiano mazuri
> Pia, amemsifu Dkt. Magufuli kwa kuleta maendeleo ya watu
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#TZ2020
> Katibu Mkuu wa CCM Taifa, amesema maendeleo ya watu ni uwezo wa kujitawala, kuchapa kazi na kuwa na mahusiano mazuri
> Pia, amemsifu Dkt. Magufuli kwa kuleta maendeleo ya watu
Soma https://jamii.app/MagufuliKaweDsm
#TZ2020
TUNDU LISSU ALAZIMIKA KUTUMIA MTUMBWI KUFIKA UKEREWE
> Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na msafara wake wamelazimika kutumia Mitumbwi kufika Ukerewe kwa ajili ya Kampeni baada ya kuambiwa Kivuko cha Kisorya-Ngoma ni kibovu
Tazama https://youtu.be/hjbVHnKcOJ8

Tundu Lissu alazimika kutumia Mtumbwi kufika Ukerewe