PROF. LIPUMBA: NITAHAKIKISHA KILA MWANANCHI ANAPATA MILO 3 KWA SIKU
> Akiwa Tanga, Mgombea huyo wa CUF amesema atahakikisha kila Mwananchi ana uwezo au anawezeshwa katika hilo
> Pia, amesema hatua zitachukuliwa ili wajawazito wapate lishe bora
Soma https://jamii.app/LipumbaKorogwe
#TZ2020

IGP SIRRO: HATUA ZA KINIDHAMU ZITACHUKULIWA IKIGUNDULIKA KOSA KWA ASKARI ALIYEMWAMBIA MBOWE βHASHINDIβ
> Timu kutoka makao makuu ipo wilayani Hai kuchunguza tukio hilo
> IGP Sirro amesema si kazi ya askari kusema huyu atashinda au hatashinda
Tazama https://www.youtube.com/watch?v=ckRR_9eX2JY

YouTube
IGP Sirro: Tunachunguza tukio la askari aliyekuwa anabishana na Mbowe na kumwambia hatoshinda
IGP Sirro: Tunachunguza tukio la askari wetu aliyekuwa anabishana na Freeman Mbowe na kumwambia hatoshinda
MAJALIWA: TUSIMCHAGUE MTU KWASABABU AMEPANDA JUKWAANI KWA MBWEMBWE
> Amesema ni lazima kupata Kiongozi atakayeunganisha Watanzania wote
> Amewataka Watanzania kuchagua CCM kwakuwa ni Taasisi yenye uwezo wa kuwatumikia wananchi bila kujali itikadi
Soma https://jamii.app/UchaguziViongozi

TUNDU LISSU KUENDELEA NA KAMPENI LEO MKOANI SINGIDA
> Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemaliza kutumikia adhabu ya kutofanya kampeni kwa siku 7 iliyotolewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi na leo anatarajiwa kuwa Mikoa ya Singida na Dodoma
Soma https://jamii.app/KampeniLissu
#Uchaguzi2020

ASKOFU AWATAKA UPINZANI WAONDOE HOFU YA KUIBIWA KURA
> Askofu wa AICT Dayosisi ya Mwanza, Philipo Mafuja amewataka wananchi kuelewa, sio Viongozi wote wanaogombea wanaweza kuwa Viongozi hivyo wakubaliane na matokea pindi kura zisipotosha
Soma https://jamii.app/AskKuibaKura

WANAUME WAATHIRIKA ZAIDI NA MAGONJWA YA AKILI
> Daktari wa Magonjwa ya Akili (Muhimbili) Dkt. Fileuka Ngakongwa amesema, sababu za wanaume wengi kuugua matatizo ya akili katika umri mdogo ni msongo wa mawazo, ugumu wa maisha na kuweka vitu moyoni
Soma - https://jamii.app/MagonjwaAkili

MAALIM SEIF: TUTATOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE WASIBAKI KUWA WASINDIKIZAJI
> Amesema, ACT-Wazalendo itahakikisha nafasi nyingi za Uongozi zinashikiliwa na Wanawake
> Amesema, Wanawake ni jeshi kubwa linalotegemewa kuleta ushindi ktk Uchaguzi
Soma - https://jamii.app/ACTWanawakeUongozi

DKT. SHEIN: KIWANGO CHA ELIMU ZANZIBAR HAKIJASHUKA
> Amepinga hoja zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa, kiwango cha elimu kimeshuka
> Amesema kuna idadi kubwa ya Wanafunzi wanafaulu vizuri na kuzungumza Lugha za kigeni ikiwemo Kiingereza
Soma - https://jamii.app/SheinElimuZnz
#JFLeo

USHAURI WA MAMBO YA KUFANYA ILI KUKUSAIDIA UJIFUNGUE KWA NJIA YA KAWAIDA
> Jitahidi kufanya mazoezi kila siku kipindi chote wa ujauzito ili uwe tayari kuhimili changamoto zote za kujifungua. Kataa kuishi maisha ya 'stress' kila wakati
> Jitahidi kuutunza uzito wako. Zuia kuongezeka uzito uliopitiliza (Obesity). Anza kujifunza na kufuatilia taarifa zinazohusu namna gani ya kukabiliana na uchungu
Zaidi, soma - https://jamii.app/KujifunguaKawaida

LISSU (BAHI): CHADEMA ITARUDISHA UHURU WA KUONGEA ITAKAPOCHUKUA NCHI
> Itafanya hivyo kwasababu uhuru wa kuongea, kuhoji masuala ya maendeleo unakosekana
> Amewataka wananchi kupiga kura kukataa kodi na wizi wa Vitambulisho vya Ujasiriamali
Soma https://jamii.app/KampeniLissu
#TZ2020
> Itafanya hivyo kwasababu uhuru wa kuongea, kuhoji masuala ya maendeleo unakosekana
> Amewataka wananchi kupiga kura kukataa kodi na wizi wa Vitambulisho vya Ujasiriamali
Soma https://jamii.app/KampeniLissu
#TZ2020
MDAU: MTOTO WA MASIKINI AMBAYE SILAHA YAKE PEKEE NI ELIMU ATAJIAJIRI VIPI?
> Mdau wa JamiiForums.com anasema, japokuwa Tanzania kuna fursa mbalimbali, bado kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao hawana ajira
> Anasema wengi wanaowaambia vijana wajiajiri ni Wanasiasa na watu waliofanikiwa ambao wanapigana vikumbo kuwatafutia watoto wao ajira kwenye mashirika yanayolipa vizuri
Zaidi, soma - https://jamii.app/VijanaMafanikio

SIFA BAINIFU ZA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUHITIMU MUHULA (NJITI)
> Baadhi ya sehemu za mfumo wao wa neva hazijakua vyema
> Watoto hawa wana kiwango kidogo cha mafuta ya ngozi, hasa mafuta ya rangi ya kahawia
Soma > https://jamii.app/UzaziMtotoNjiti

WEMA SEPETU KUWANIA TUZO ZA HAPAWARDS 2020
> Msanii huyo wa Filamu anawania Tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards za nchini Marekani katika kipengele cha Muigizaji Bora wa Kike wa Tamthilia za Kiafrika kupitia Tamthilia ya Karma
Soma - https://jamii.app/SepetuHAPAwards

CHADEMA YAITAKA NEC KUWEKA WAZI KAMPUNI ZINAZOCHAPISHA KARATASI ZA KURA
> Katibu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuthibisha taarifa zinazodai imeingia makubaliano na Kampuni 2 kuchapisha karatasi za kupigia kura
Angalia https://youtu.be/Tx5dHxfPX7w

CHADEMA: Tunaitaka NEC iweke wazi ni kampuni gani inayochapisha karatasi za kupigia kura
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema mnamo June 30, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Kaijage hakukanusha wala kukubali madai ya kuwa Tume imeshatangaza Kampuni kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya kuchapisha karatasi za kupigia kura Oktobaβ¦
MGOMBEA ADC: KAZI YA SERIKALI NI KUPANGA NJIA BORA ZA MATUMIZI YA RASILIMALI
> Mgombea Urais kupitia ADC, Queen Sendiga akiwa Mtwara ameahidi kurejesha ujenzi wa Kiwanda cha Gesi kama CCM ilivyoahidi awali na baadaye ikafanya tofauti
Soma - https://jamii.app/ADCRasilimali

SABAYA: POLISI NAO NI BINADAMU, HUWA WANACHUKIA
> Mkuu wa Wilaya ya Hai amesema "Jeshi la Polisi ni Chombo cha Dola na wanaolitumikia ni binadamu, nao wanafika mahali wanakasirika"
> Amesema, Mbowe alitaka kufanya Kampeni eneo lisilotakiwa
Soma - https://jamii.app/HasiraPolisi

CHADEMA YAITAKA NEC KUTOA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA VYAMA
> Katibu wa CHADEMA, John Mnyika amesema βMpaka sasa, NEC haijatoa nakala ya daftari la wapiga kura kwa Vyama vya Siasa, ijitokeze iseme italitoa lini ili na sisi tulitazameβ
Angalia https://youtu.be/wM5l6rgJTUE

CHADEMA: Tunaitaka NEC ivipatie Vyama vya Siasa nakala ya mwisho ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi haijatoa nakala ya mwisho ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Vyama vya Siasa
Amesema wanaitaka Tume iharakishe kutoa Daftari hilo kwani ndio lina majina na picha za Wapiga Kura ambapoβ¦

DKT. SHEIN: KAMPENI ZA DKT. MWINYI ZINAFIKIA JAMII, WAPO WALIOJARIBU WAKAISHIA NJIANI
> Amesema, mtindo wa Kampeni unaofanywa na Mgombea Urais wa #Zanzibar kupitia CCM, unalenga kuleta mabadiliko baada ya kufahamu changamoto za wananchi
Soma - https://jamii.app/SheinMwinyiZnz

MADARAKA NA WAJIBU WA MBUNGE KWA MUJIBU WA KATIBA
> Kumuuliza Waziri swali kuhusu mambo ya umma ya Jamhuri ya Muungano ambayo yako ktk wajibu wake.
> Kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Bunge wa kila mwaka wa Bajeti
Soma > https://jamii.app/WajibuMbunge

OKTOBA 11: SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE
> Ni Siku inayolenga kutambua changamoto za Mtoto wa Kike, kuthamini na kuwezesha utekelezaji wa Haki zake
> Kaulimbiu ya Kitaifa inasema "Tumuwezeshe Mtoto wa Kike, Kujenga Taifa lenye usawa"
Soma https://jamii.app/GirlChildDay
#IDG2020