SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI NAMBA 6 (2010)
> Mgombea hatokuwa na hatia na vitendo vilivyokatazwa kwenye Sheria hii viliyofanywa na chama chake cha siasa bila matakwa yake au kuridhia kwake yeye mgombea iwe moja kwa moja au la
Zaidi, soma > https://jamii.app/UchaguziGharama
#KemeaRushwa #Uchaguzi2020

PROF. JANABI: UKUAJI UCHUMI UTAONGEZA MAGONJWA YA MOYO
> Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete amesema watu wanakuwa hatarini kupata magonjwa hayo kwasababu wanakuwa na fedha za kununua vyakula vingi, na wanatumia usafiri binafsi
Soma - https://jamii.app/UchumiMagonjwaMoyo

PROF. KABUDI: SERIKALI HAIKUWA NA LENGO LA KUVIZUIA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA
> Amesema, lengo ni kutambua vyombo hivyo vinashirikiana na vyombo gani nchini
> Amesema, vyombo vyote vya kimataifa vimetekeleza agizo hilo na kupata leseni
Soma - https://jamii.app/SerikaliLeseni

TMA YATOA TAHADHARI YA UPEPO MKALI LINDI NA MTWARA
> Inatarajiwa leo kutakuwa na upepo unaofikia Kilometa 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofika Mita 2
> TMA imesema vipindi vya hali mbaya ya hewa sio vya muda mrefu, vinaweza kukoma kesho
Soma https://jamii.app/TMAUpepoUtabiri

IGP SIRRO: VIJANA MSIKUBALI KUTUMIKA BILA SABABU
> Amesema, zaidi ya watu 40 wanashikiliwa na Polisi Pemba kwa tuhuma za kuwashambulia wafuasi wa CCM kwa mapanga
> Amewataka vijana wasikubali watu wachache kuwaingiza kwenye fujo
Angalia - https://youtu.be/tomQpgGIIt0
#Uchaguzi2020

YouTube
Watu 40 wanashikiliwa na Polisi Pemba kwa tuhuma za kuwashambulia wafuasi wa CCM kwa Mapanga
Zanzibar: IGP Simon Sirro amesema zaidi ya watu 40 wanashikiliwa na Polisi Pemba kwa tuhuma za kuwashambulia wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwakat...
WANAOWATOZA FEDHA WAJAWAZITO NA WAZEE KWENYE VITUO VYA AFYA KUSHUGHULIKIWA
> Kassim Majaliwa amewataka Watendaji wa Zahanati na Hospitali kuacha kuwatoza fedha wajawazito, watoto chini ya miaka 5 na wazee na wanaofanya hivyo wachukuliwe hatua
Soma https://jamii.app/HudumaBureAfya

#KENYA KUJA NA KANUNI ZA KUWADHIBITI WANASIASA WANAODAIWA KUFANYA UCHOCHEZI
> Wizara ya Usalama wa Ndani iko mbioni kutengeneza kanuni itakayodhibiti ghasia wakati wa Uchaguzi
> Wanaoeneza chuki wadaiwa kuwa kiini cha migawanyiko ya kisiasa
Soma https://jamii.app/KanuniUchocheziKE

DKT. ABBAS: HAKUNA SIRI KATIKA FEDHA ZA MIRADI, ZINAPITISHWA NA BUNGE
> Ameeleza kuwa, fedha zote za miradi zipo kwenye bajeti na zinapitishwa Bungeni kila mwaka
> Amesema fedha za miradi yote inayotekelezwa zimetengwa kwa mujibu wa Sheria
Soma - https://jamii.app/FedhaMiradiSerikali

BOTSWANA KUANZA KUTUMIA LUGHA YA KISWAHILI SHULENI
> Waziri wa Elimu ya Msingi, Fidelis Molao amesema Serikali ya #Botswana inakusudia kuanzisha matumizi ya lugha ya Kiswahili katika Shule za Msingi ndani ya siku zijazo
Soma - https://jamii.app/UseSwahiliBotswn
#JFLeo #Swahili

CUF: ADUI WA CUF NI ADUI WA CHADEMA NA ADUI WA CHADEMA NI ADUI WA CUF
> Meneja Kampeni wa CUF akiwa Kagera amesema, wapinzani wanapaswa kujitafakari kwani yawezekana kuna eneo wanapishana lakini lengo lao ni 1, kuiondoa CCM Madarakani
Soma https://jamii.app/CDMCUFKagera

LOWASSA: SINA SHAKA NA MAGUFULI KUSHINDA
> Amesema, βSina mashaka juu ya Rais Magufuli kushinda, mashaka yangu ni atashinda kwa kura ngapi? Huko wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo kwenye TV, tumemwambia usitishike hata kidogo"
Soma - https://jamii.app/LowassaUshindiCCM
#TZ2020

UMOJA WA ULAYA WASEMA LUKASHENKO SIO RAIS HALALI WA BELARUS
> Umoja huo umesema, uapisho wake umekosa uhalali wa kidemokrasia na unapingana na idadi kubwa ya wananchi ambao wamekuwa wakiandamana tangu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti
Soma - https://jamii.app/EUBelarus

FAHAMU KUHUSU WATOTO NJITI (PREMATURE BABIES) - 1
> Watoto njiti ni wale ambao huzaliwa kabla ya wiki 37 za ujauzito
> Inakadiriwa watoto Milioni 15 huzaliwa kabla ya muda kila mwaka duniani, ikimaanisha kati ya watoto 10 mtoto 1 ni njiti
> Mtoto anapozaliwa kabla ya muda, baadhi ya viungo vyake vinakuwa havijakomaa ipasavyo
Soma - https://jamii.app/WatotoNjiti

SERIKALI YA TANZANIA IMEKANUSHA TUHUMA ZA KUWALAZIMISHA WAKIMBIZI KUONDOKA
> Serikali imekanusha tuhuma zilizotolewa na Waziri wa Masuala ya Wakimbizi Nchini #Uganda kuhusu kuwalazimisha Wakimbizi waliopo Nchini kurejea #Burundi bila ridhaa yao
Soma - https://jamii.app/WakimbiziTZ

MGOMBEA AFUKUZWA NA WANANCHI WAKATI AKIOMBA KURA
> Jasson Rweikiza ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Bukoba Vijiji (CCM), amefukuzwa na Wanachi wakati akiomba Kura
> Rweikiza alikuwa Mbunge (2015-2020) na sasa anatetea nafasi hiyo
Angalia - https://www.youtube.com/watch?v=zpw4HpT1Y_M

Jasson Rweikiza mgombea Ubunge Bukoba Vijiji(CCM), afukuzwa na Wanachi wakati akiomba Kura
Jasson Rweikiza mgombea Ubunge Bukoba Vijiji(CCM), afukuzwa na Wanachi wakati akiomba Kura, Rweikiza ni Mbunge aliyemaliza muda wake bunge la 2015-2020
ACT-WAZALENDO YAMJIBU MSAJILI: HATUJAUNGANA NA CHADEMA
> Kimesema kauli na imani ya Maalim Seif kuwa Lissu atakuwa Rais wa JMT haimaanishi wameungana bali wana imani ya pamoja kuwa Mgombea wa CCM hatokuwa Rais baada ya Oktoba 28
Soma - https://jamii.app/MsajiliMaelezoACT

BoT YAWAFIKISHA 10 MAHAKAMANI KWA KUTENGENEZA NA KUSAMBAZA NOTI BANDIA
> Imeeleza wasiwasi wake kuhusu wahalifu kulenga minada ya mifugo na mazao
> Hii ni mara ya pili kwa BoT kuonya kuhusu mzunguko wa noti bandia katika kipindi cha mwaka 1
Soma https://jamii.app/FakeNotesBoT

MABAHARIA WANAWAKE WAHIMIZA WASICHANA KUSOMA MASOMO YA SAYANSI
> Ni siku ya leo katika kusherekea Siku ya Mabaharia Duniani
> Kampeni ya kuhamasisha itafanyika katika Kanda za Bahari ya Hindi, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa
Soma - https://jamii.app/MabahariaKike

MICHEZO: SAMATTA AWASILI UTURUKI, MAZUNGUMZO NA FENERBAHCE YANAENDELEA
> Mbwana Samatta amesema mazungumzo na Klabu hiyo yanaendelea na hawajasaini hadi sasa
> Januari mwaka huu, Mtanzania huyo alijiunga na Aston Villa akitokea Genk
Soma - https://jamii.app/SamattaUsajiliUturuki
#JFMichezo

#COVID19 KENYA: MAAFISA WA SERIKALI WAHUSISHWA KWENYE KASHFA YA UFISADI
> Serikali ilipokea msaada wa takriban Dola Bil. 2 ili kupambana na mlipuko huo
> Wachunguzi wanatarajia kupendekeza Maafisa na Wafanyabiashara takriban 15 kushtakiwa
Soma https://jamii.app/CovidCorruptionKE