DKT. MAGUFULI AAGIZA ELIMU YA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI ITOLEWE
> Amesema Vitambulisho havilazimishwi kwa wafanyabiashara na vinatolewa ili wenye biashara ndogondogo waweze kufanya biashara mahali popote nchini bila kusumbuliwa
Angalia https://youtu.be/IQ1YPihUZc0
#Uchaguzi2020

YouTube
Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Wafanyabiashara wadogo havilazimishwi
Dkt. Magufuli amesema kwamba Vitambulisho vya Wafanyabiashara wadogo havilazimishwi bali anayetaka ndiye ananunua kwa elfu ishirini tu. Na ametaka Wakuu wa Wilaya kuzingatia Maelekezo hayo.
KUKWAMA KWA SHERIA YA JINSIA: RAIS WA KENYA ASHAURIWA KUVUNJA BUNGE
> #Katiba ya #Kenya inataka Sheria hiyo kuwepo ili kudhibiti jinsia kutotawala ktk nyadhifa za uteuzi na kwa miaka 10 sasa Wabunge ambao wengi ni wanaume, wameshindwa kuipitisha
Soma - https://jamii.app/JinsiaBungeniKE

FAHAMU BAADHI YA MAKOSA YA UCHAGUZI
> Kifungu cha 92 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343: Ni kosa kutoa ushahidi/maelezo ya uongo
> Kifungu cha 93: Ni kosa kutoa siri inayohusu Mgombea/mchakato unaoendelea ktk Kituo cha Kupigia Kura
Soma https://jamii.app/MakosaUchaguzi

MALI: WAZIRI WA ZAMANI ATEULIWA KUWA RAIS WA MPITO
> Bah Ndaw atangazwa kama Rais wa Mpito, naye Kanali Goita aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi atakuwa Makamu wa Rais
> ECOWAS imekuwa ikiwashinikiza Wanajeshi kurudisha madaraka kwa raia
Soma - https://jamii.app/NdawRaisMali

FACEBOOK YATUHUMIWA KUINGILIA FARAGHA ZA WATUMIAJI WA INSTAGRAM KUPITIA KAMERA ZA SIMU
> Mlalamikaji Brittany Conditi amesema Facebook inatumia kamera za iPhone ili kukusanya taarifa za watumiaji ambazo hawawezi kuzikusanya kwa njia nyingine
Soma - https://jamii.app/FBSpyIstagram

DKT. MAGUFULI: MIMI BADO NI RAIS, NAAGIZA BARABARA YA ITIGI IJENGWE NA HII SIO HONGO
> Amempa maagizo Meneja wa TANROADS-Singida kutangaza tenda ya ujenzi wa barabara ya KM 10 na fedha za ujenzi atazitoa yeye mwenyewe (Magufuli)
Angalia - https://jamii.app/MagufuliItigi

Dkt. Magufuli: Mimi bado ni Rais, Naagiza barabara ya Itigi(Singida) ijengwe na hii sio hongo
CHINA: MKOSOAJI MKUBWA WA RAIS AHUKUMIWA MIAKA 18 KWA UFISADI
> Ren Zhiqiang amekutwa na hatia ya ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa fedha za umma
> Inadaiwa alikiri makosa yote kwa hiari yake na hatokata rufaa kupinga uamuzi uliotolewa
Soma- https://jamii.app/RenZhiqiangCH

TUNDU LISSU: UTAWALA WA MAJIMBO NI KUACHA MAMLAKA KWA WANANCHI
> Amesema mpango huo unalenga kuacha mamlaka ya kuendesha mambo yote ktk Jimbo yafanywe na viongozi waliochaguliwa kama ilivyo kwa nchi zote zinazotaka wananchi wawe na mamlaka
Soma - https://jamii.app/LissuKaragwe

ZANZIBAR: WANASIASA WALAANI TUKIO LA WANANCHI KUVAMIWA KISIWANI PEMBA
> Vyama 6 vimemuomba IGP kwenda na watu wake Pemba kutokana na baadhi ya wananchi kuvamiwa alfajiri ya leo wakati wanataka kuingia Msikitini na kukatwa na mapanga
Soma - https://jamii.app/VuruguPemba

#CORONAVIRUS: UINGEREZA YATANGAZA MASHARTI ZAIDI KUDHIBITI MAAMBUKIZI
> Kuanzia Jumatatu ijayo, watu 15 wataruhusiwa kwenye sherehe na 30 kwenye misiba
> Serikali haitaruhusu mashabiki wa michezo viwanjani kuanzia Oktoba 01
Soma - https://jamii.app/MashartiCoronaUK

SHERIA YA GHARAMA ZA UCHAGUZI NAMBA 6 (2010)
> Je, wajua vitendo vilivyokatazwa na Sheria ambavyo vinapelekea mgombea au chama kupoteza sifa ya kushiriki kwenye mchakato wa uteuzi au uchaguzi?
Kuvifahamu, ingia > https://jamii.app/UchaguziGharama
#KemeaRushwa #Uchaguzi2020

ZITTO: OKTOBA 3 TUTATANGAZA NI NANI ATASIMAMA KUWA MGOMBEA WA URAIS
> Kiongozi wa ACT-Wazalendo amesema, ktk mkutano wa hadhara utakaohusisha CHADEMA, ACT na Vyama vingine vya Upinzani watatangaza ni nani atasimama kama Mgombea Urais
Soma - https://jamii.app/MgombeaUpinzani

NIGER: SERIKALI YAAHIRISHA KUFUNGUA SHULE KUTOKANA NA MAFURIKO
> Idadi kubwa ya wahanga wamepatiwa hifadhi mashuleni. Mamlaka zinasema muda zaidi unahitajika kuwahamisha
> Mafuriko hayo yamesababisha vifo 70 na kupelekea mamia kukosa makazi
Soma https://jamii.app/ShuleNiger

MGOMBEA URAIS WA ADC AAHIDI KUBORESHA SEKTA ZA MADINI NA AFYA
> Kwenye madini, Queen Sendiga ameahidi kuondoa tozo zisizomsaidia mchimbaji mdogo
> Amesema, ataboresha Mfumo wa Afya kwa kuhakikisha Mtanzania anatibiwa magonjwa yote kwa bima
Soma - https://jamii.app/ADCKampeniHandeni

AFRIKA KUSINI: RAIS RAMAPHOSA AITAKA DUNIA KUISAIDIA AFRIKA
> Ametoa wito kwa mataifa kuliunga mkono Bara hilo ili lijenge upya uchumi ulioathiriwa na #COVID19
> Amesema, Afrika inahitaji msaada kwa ajili ya kusaidia uchumi (Stimulus package)
Soma https://jamii.app/AfrikaMsaadaUchumi

NYAHOZA: UONGO UNAWEZA KUSABABISHA MADHARA KWA CHAMA KINACHOONGELEWA VIBAYA
> Msajili atatakiwa kuonya na kutoa adhabu kwa Chama/Mgombea ikiwa Sheria itakiukwa, na faini ni kati ya Tsh. Mil. 10 na Mil. 50 au kukisimamisha Chama kufanya siasa
Soma https://jamii.app/MsajiliSheriaKampeni

MSAJILI: MUUNGANO YA VYAMA UNAPASWA KUWASILISHWA KWA MSAJILI MIEZI 3 KABLA UCHAGUZI
> Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesisitiza kuwa vyama vinapaswa kuheshimu Sheria vinapoingia ktk ushirikiano ama miungano kabla ya Uchaguzi Mkuu
Soma https://jamii.app/MuunganoVyama

MAALIM SEIF: CCM BARA WAMESHAPANGA MIKAKATI YA KUMPA USHINDI MAGUFULI
> Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo amesema anataka kukutana na Tundu Lissu (CHADEMA) ili ampe mikakati ya ushindi na mbinu za kupangua mikakati ya CCM
Soma https://jamii.app/MaalimUshindiLissu

KENYA: FAMILIA ZARUHUSIWA KUZIKA WALIOFARIKI KWA #CORONAVIRUS
> Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mercy Mwangangi amesema familia zinakuwa na nafasi kubwa ktk kuzika wapendwa wao
> Maafisa watasimamia mazishi kuhakikisha taratibu zinazingatiwa
Soma https://jamii.app/MazishiCoronaKE

ILANI YA CCM ISEMAVYO KUHUSU SERIKALI YA MUUNGANO
> CCM itaendelea kudumisha Muungano wa Serikali 2 kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo
> Kutoa elimu ya Muungano kwa Watanzania ili kuulinda, kuutetea, kuuenzi na kuuimarisha
Soma - https://jamii.app/IlaniCCM