JamiiForums
55.4K subscribers
33.4K photos
2.03K videos
30.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
RAIA WA TANZANIA RUKSA KUINGIA NCHINI KENYA BILA KUKAA KARANTINI

> Kenya imeorodhesha nchi 147 ambazo Raia wake wataingia bila kukaa karantini Tanzania ikiwemo

> Kenya ilikuwa inaweka Raia wa nchi nyingine karantini ili kujilinda na #COVID19

Soma https://jamii.app/KeExemptsTz
#JFLeo
NEC YAWAREJESHA WAGOMBEA WENGINE 47 WA UDIWANI

> Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeshughulikia rufaa nyingine 87 za Udiwani na kuzikataa rufaa 30 za Wagombea waliokosa teuzi

> Aidha, Tume imekataa rufaa 10 za kupinga Madiwani walioteuliwa

Soma https://jamii.app/NEC47Rufaa
#JFSiasa
KENYA: MADAKTARI WATISHIA KUGOMA KUTOKANA NA MAZINGIRA MABOVU YA KUFANYIA KAZI

- Wanalalamikia mazingira mbaya ya kazi hasa wakati huu wa #CoronaVirus

- Wadai kuchoshwa na ahadi za Serikali ambazo hazitekelezwi

Soma > https://jamii.app/MadaktariKenya

#COVID19 #Kenya #JFAfya #JFLeo
WATU 29,188,347 WATARAJIWA KUPIGA KURA OKTOBA 28

> Idadi hiyo ya wapiga kura imeongezeka, mwaka 2015 walioandikishwa walikuwa 23,161,440

> Aidha, Tume imewaondoa wapiga kura 30,487 kutokana na kukosa sifa kwa mujibu wa Sheria

Soma https://jamii.app/NECUchaguziWaandishi

#TZ2020 #Uchaguzi2020
TANZIA: KAMANDA SHANA AFARIKI DUNIA

> Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shana amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

> ACP Jonathan Shana amefariki akiwa Afisa Mnadhimu Namba Moja ktk Chuo cha Polisi (CCP) Moshi

Soma https://jamii.app/ACPShanaRIP
#JFLeo
TANZANIA YAPINGA RIPOTI YA UN KUHUSU MAZINGIRA YA SIASA NCHINI

> Tume ya #HakiZaBinadamu ilionesha wasiwasi juu ya ukandamizaji wa #Demokrasia

> Serikali imesema tathmini iliyotolewa haina uhalisia kwa kuwa mazingira ya kisiasa yako vizuri

Soma https://jamii.app/TanzaniaUN
#JFLeo
RAIS MAGUFULI ATAKA MKUU WA SHULE ILIYOUNGUA AACHIWE

> Rais Magufuli amewataka Polisi kumuachia Mkuu wa Shule ya Msingi Islamic Byamungu, upelelezi unaweza fanywa akiwa nje

> Shule hiyo iliungua mabweni na kuua watoto 10 na wengine 6 kujeruhiwa

Soma https://jamii.app/MkuuShuleKagera
#JFSiasa
TANZANIA YAFUNGUA ANGA KWA NDEGE ZA KENYA KUTUA

> Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imeruhusu mashirika ya Ndege kutoka #Kenya kutua nchini baada ya Kenya kuondoa sharti la raia wa #Tanzania kukaa karantini kwa siku 14 wanapoingia nchini humo

Soma https://jamii.app/TCAAVsKE
#JFLeo
ILANI YA UCHAGUZI YA NCCR INASEMA NINI KUHUSU SERA YA ELIMU?

- Kubadili sera ya elimu ya Taifa kwa kuipa maudhui na upeo kulingana na mahitaji ya kimaadili ya maendeleo

- Itaweka 30% kuwa kiwango cha chini cha bajeti ya Taifa ya elimu

Soma https://jamii.app/IlaniNCCR
#Uchaguzi2020
ILANI YA CHADEMA INASEMA NINI KUHUSU MASLAHI YA WALIMU?

- Bila mwalimu mwenye motisha na aliyepewa mafunzo vizuri hakuna chochote tutakachofanikiwa

- Walimu hawathaminiwi; mishahara, marupurupu, maslahi hayalingani na kazi yao ngumu

Soma https://jamii.app/IlaniCDM
#Uchaguzi2020
ZANZIBAR: KESI YA ULAWITI YAFUTWA BAADA YA MASHAHIDI KUTOFIKA MAHAKAMANI

> Mahakama ya Mkoani Wete imeiondoa kesi iliyokuwa inamkabili Khamis Abdalla Khamis(35) aliyetuhumiwa kumwingilia kinyume na maumbile mtoto wa kiume mwenye miaka 10

Soma https://jamii.app/PembaKesi
#JFLeo
SULTAN WA ZANZIBAR JAMSHID BIN ABDULLAH ARUHUSIWA KUINGIA OMAN

> Sultan wa mwisho wa Zanzibar ameruhusiwa kuingia Oman toka apinduliwe Januari 12, 1964

> Alipewa hifadhi nchini Uingereza ambako ameishi kwa miaka 50 katika mji wa Portsmouth

Soma https://jamii.app/SultanZnzOman
#JFLeo
ILANI YA UCHAGUZI YA SAU INASEMA NINI KUHUSU ELIMU?

> Inasema, itatoa ajira mpya kwa Walimu ili kupata Walimu wa kutosha na kufikia uwiano wa Wanafunzi 20-29 kwa Mwalimu 1

> Watahakikisha Elimu ya Awali (Chekechea) inaboreshwa na kuzingatiwa

Soma https://jamii.app/IlaniSAU
#Uchaguzi2020
NEC YAWEKA WAZI MASHARTI YA KUZINGATIWA SIKU YA KUPIGA KURA (28 OKTOBA 2020)
-
Haitaruhusiwa mtu yeyote kutumia simu ya kiganjani ndani ya kituo cha kupigia, kuhesabia au kujumlishia kura

> Wasimamizi wa Kituo ndio watakao ruhusiwa

Soma > https://jamii.app/NECMashartiUchaguzi

#Uchaguzi2020
JAPAN: YOSHIHIDE SUGA ATHIBITISHWA KUWA WAZIRI MKUU

> Bunge limemthibitisha Yoshihide Suga(71) kuwa Waziri Mkuu akichukua nafasi ya Shinzo Abe ambaye alijiuzulu kutokana na changamoto za kiafya

> Bunge limempitisha kwa theluthi mbili ya kura

Soma https://jamii.app/SugaPMJapan
#JFLeo
GEITA: MBARONI KWA KUWAUNGUZA WATOTO KUTOKANA NA KULA SAMAKI WA WAGENI

> Ester John anatuhumiwa kuwaunguza na majimoto watoto wake 2 wa kambo na kuwafungia ndani bila kuwapatia matibabu yoyote

> Watoto hao ni wa miaka nane na mwingine minne

Soma https://jamii.app/GeitaMajiMoto
#JFLeo
ZANZIBAR: ACT-WAZALENDO YAWATAKA POLISI KUMUACHIA AU KUMFIKISHA MAHAKAMANI MWENYEKITI WA JIMBO LA OLE

> ACT-Wazalendo wamedai Rashid Ali Hamadi anashikiliwa kwa tuhuma za uchochezi

> Wamedai ana wiki yuko rumande na amenyimwa dhamana

Soma https://jamii.app/PolisiVsACT
#JFSiasa
LISSU: TUME IKITAKA AMANI, IHAKIKISHE UCHAGUZI UNAKUWA WA HAKI
-
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amewataka NEC wawarudishe wagombea wote wa CHADEMA walioenguliwa

> Asema wakikosewa watadai haki kwa namna wanavyojua

Soma https://jamii.app/HakiItaletaAmani
#Uchaguzi2020
MEMBE: ATAKA MSAIDIZI WAKE ARUDI BILA MCHUBUKO

> Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bernard Membe amesema waliomteka Jerome Luanda wamuachie

> Aidha, amesema sio vyema kutumia Polisi kama kichaka cha kujificha

Soma https://jamii.app/MembeLuanda10
#JFSiasa
ALIYEKUWA KAIMU MKURUGENZI WA BONDE LA RUFIJI AFUNGWA MIAKA 14

> Aloyce Masanja, amesomewa hukumu hiyo kwa hatia ya kosa la wizi wa Shilingi Milioni 86.

> Mahakama yaamuru alipe fidia ya Milioni 86

Soma > https://jamii.app/AloyceMasanjaJela

#JFLeo #JamiiForums #JamiiTalks #KemeaRushwa