KENYA: KIJANA AFARIKI WAKATI AKIWAONESHA WENZAKE JINSI YA KUJIFUNGA KITANZI
> Kijana wa miaka 14 amefariki alipokuwa anawaonesha wenzake namna ya kujitia kitanzi katika Kaunti ya Vihiga
> Inaelezwa alichukua kamba ili kuwaonesha wenzake namna mtu anavyoweza kujiua kwa urahisi
Soma - https://jamii.app/MafunzoKitanzi

JE, UNAUJUA MKATABA WA KIMATAIFA WA HAKI ZA KIRAIA NA KISIASA(ICCPR)?
> Kifungu cha 19 cha mkataba huo kinazungumzia Uhuru na Haki ya kujieleza ifuatavyo;
> Kila mtu atakuwa na haki ya kuwa na maoni na kuyaamini maoni hayo bila ya kuingiliwa kwa namna yoyote
> Haki hii itahusisha mtu kutafuta, kupokea na kusambaza taarifa kwa njia ya mdomo au maandishi, na bila ya kujali mipaka
> Usambazaji wa taarifa unaweza kuwa kwa kuandika au kuchapisha, kwa kutumia sanaa, au njia nyingine yoyote
#UhuruWaKujieleza

MAAFISA WA UN WASIMAMISHWA KAZI KWA KUFANYA VITENDO VYA NGONO KWENYE GARI LA OFISI
> Umoja wa Mataifa (UN) umewasimamisha Wafanyakazi wake 2 wanaokabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari la kazini nchini Israel
> UN ilianza uchunguzi wa video iliyosambaa mitandaoni tangu mwezi uliopita ikionesha kitendo hicho
Soma - https://jamii.app/UNSexTape

UPDATE: RAIS WA UFARANSA ATEUA WAZIRI MKUU MPYA BAADA YA SERIKALI KUJIUZULU
- Rais Emmanuel Macron amemteua Jean Castex (55) kuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa
- Ni baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Edouard Philippe pamoja na Serikali yake kujiuzulu
Soma https://jamii.app/KujiuzuluSerikaliUfaransa

FAHAMU KUHUSU MFUKO WA UWEKEZAJI (UTT) TANZANIA
> UTT AMIS ilianzishwa mwaka 2013 kuchukua majukumu ya kuanzisha na kuendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja, kuhamasisha utamaduni wa kuweka akiba kupitia ushiriki mpana ktk umiliki wa vipande
> Hukusanya pesa kutoka kwa wananchi au yeyote anayetaka kwa mfumo wa kuwauzia vipande na huitumia pesa kununua Hisa, Hati fungani, zamana za Serikali
Zaidi, soma - https://jamii.app/MfukoUwekezaji

❤1👍1
SERIKALI KUSITISHA USAFIRISHAJI WA DHAHABU GHAFI NJE YA NCHI
- Ni kutokana na viwanda vya usafishaji madini hayo hapa nchini kuanza kufanya kazi
- Madini ghafi yote yatasafishiwa Tanzania kabla hayajasafirishwa kwenda nje ya nchi
Soma https://jamii.app/SerikaliUsafirishajiDhahabu

RAIS TRUMP ASEMA KUONDOLEWA KWA SANAMU ZA VIONGOZI MBALIMBALI KULILENGA KUFUTA HISTORIA
- Amesema hayo akiwa Mlima Rushmore kwa ajili ya maadhimisho ya Uhuru (Julai 04)
- Pia, amesema waliohusika wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 10
Soma https://jamii.app/TrumpSanamuViongozi

TUNDU LISSU KUREJEA NCHINI MWISHO WA MWEZI HUU
- Amesema atarejea Tanzania ili kuendelea na shughuli mbalimbali za kisiasa
- Pia, atahudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Chama unaotarajiwa kufanyika Julai 29, 2020
Soma https://jamii.app/LissuKurejeaTZ

TUNDU LISSU ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS, WAKALA WAKE AKABIDHIWA KWA NIABA YAKE
- David Jumbe ambaye ni Wakala wa Tundu Lissu amefika Makao Makuu CHADEMA kwa niaba yake
- Amekabidhiwa fomu hiyo na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Reginald Munisi
Soma https://jamii.app/LissuFomuUrais

TAKUKURU YAWATAKA CHADEMA KUWA WATULIVU KWANI INAFANYA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA
> Imewataka wanachama wa CHADEMA kuendelea kutoa ushirikiano kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha kwasababu wanatakiwa kufanya hivyo kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007
Soma - https://jamii.app/TakukuruVsChadema

PROF. LIPUMBA AMTIMUA NAIBU KATIBU MKUU WA CUF ZANZIBAR
> Mwenyekiti wa CUF amemsimamisha Faki Suleiman Khatib ktk kutekeleza agizo la Baraza Kuu la kuondoa mapungufu na kuimarisha Kamati Tendaji
> Pia, amemteua Nadhira Ali Haji kuwa Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria
Soma - https://jamii.app/NaibuKatibuAtolewa

ATHARI ZA COVID19: WAFANYAKAZI WA KENYA AIRWAYS KUENDELEA NA LIKIZO BILA MALIPO
- Hii ni mara ya 2 kwa wafanyakazi kupewa likizo bila malipo
- Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo amesema wamelazimika kubaki na rasilimali zinazohitajika pekee
Soma https://jamii.app/LikizoBilaMalipo-KQ

MAREKANI: POLISI 3 WAFUKUZWA KAZI BAADA YA KUTUMA PICHA ZA KUKEJELI KIFO CHA MMAREKANI MWEUSI
- Polisi 3 wamefukuzwa kazi na 1 amejiuzulu
- Elijah McClain (23) alifariki Agosti 2019 baada mvutano kati yake na Polisi huko Aurora, Colorado
Soma https://jamii.app/ElijahMcClainDeath

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKURUGENZI WAPYA WA SAME, ARUSHA NA MBEYA
> Amemteua Anastazia Tutuba kuwa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Same akichukua nafasi ya Anna-Claire Shija
> Amemteua Saad Mutambule kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na Elias Amede Ng'wanidako kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya
Soma - https://jamii.app/UteuziDEDSame

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: WANAFUNZI 3 WAFARIKI BAADA YA BWENI LA SHULE KUUNGUA MOTO
> Wanafunzi 3 wamefariki baada ya Moto kuzuka usiku wa kuamkia leo na kuunguza bweni la Shule ya Sekondari ya Ilala Islamic
> Wanafunzi wa shule hiyo wamehamishiwa kwenye shule ya msingi ya Ilala Islamic
Soma - https://jamii.app/MotoBweniVifo

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKURUGENZI WENGINE WATANO
> Ameteua Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya za Mtwara, Newala, Mvomero, Mkuranga na Mji wa Nanyamba
> Awali, aliteua Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya za Same, Arusha na Jiji la Mbeya
Soma https://jamii.app/Wakurugenzi5
#JFSiasa

HAI: WANANCHI WAPAKWA UPUPU KWA KUTOTII AGIZO LA KUTOKWENDA BAA USIKU
> Mkuu wa Wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya ameamuru Viongozi 5 wa Kijiji cha Isuki kukamatwa kwa kuwatoza wananchi Tsh. 60,000 au kuwachapa viboko na kuwapaka upupu kwa kutotii amri ya kutotembea usiku na kutokwenda baa kuanzia saa 2 usiku
Soma - https://jamii.app/UpupuVibokoBaa

MAREKANI: RAPA KANYE WEST ATANGAZA KUGOMBEA URAIS
- Kanye West (43) ametangaza kuwa atagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Novemba 2020
- Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tesla, Elon Musk amesema anamuunga mkono
Soma https://jamii.app/KanyeWestUrais

RWANDA: VIWANJA VYA NDEGE KUFUNGULIWA AGOSTI 01
- Wasafiri wote watakaoingia nchini humo watatakiwa kuonesha vipimo kuthibitisha hawana maambukizi ya Corona
- Serikali ilisitisha safari zote za ndege mwezi Machi kufuatia mlipuko wa #COVID19
Soma https://jamii.app/AirportsReopeningRW

MAALIM SEIF ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
- Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho
Soma https://jamii.app/MaalimSeifZNZ
#JFSiasa #Uchaguzi2020