GEITA: 54 WAKAMATWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UHALIFU
- RPC Mtatiro Kitinkwi amesema watu 54 wanashikiliwa na Polisi kwa makosa mbalimbali ikiwemo kukutwa na noti bandia
- Watuhumiwa wote watafikishwa Mahakamani baada ya upelelezi kukamilika
Soma - https://jamii.app/54UhalifuGeita

LINDI: ZITTO NA VIONGOZI WENGINE 7 WA ACT-WAZALENDO WARIPOTI POLISI
- Zitto Kabwe na Viongozi wenzake wametakiwa kuripoti tena Polisi Julai 20, 2020
- ACT imesema ziara zao Kilwa na sehemu nyingine zitaendelea licha ya vitisho vya Polisi
Soma https://jamii.app/ZittoPolisiLindi

MALAWI: WAKILI WA RAIS CHAKWERA AKATAA UTEUZI WA KUWA WAZIRI WA SHERIA
> Mordecai Msiska amekataa kuwa Waziri wa Sheria akisema itaonekana kama zawadi kwa kumsaidia Rais Chakwera kushinda kesi Mahakamani iliyopelekea kurudiwa kwa Uchaguzi nchini humo
Soma - https://jamii.app/MsiskaJusticeMinister

ZANZIBAR: DIRISHA LA KUCHUKUA FOMU ZA URAIS LAFUNGWA. VIKAO VYA MCHUJO KUANZA
> Wagombea 31 wanasubiri mchujo kumpata mgombea atakayeiwakilisha CCM kwenye Uchaguzi, Oktoba 2020
> Kati yao, Wanawake 5 wamechukua fomu na pia wamo watoto 3 wa Marais waliowahi kuiongoza Zanzibar
Soma - https://jamii.app/MchujoRaisZbar

BURUNDI: RAIS NDAYISHIMIYE ATANGAZA #COVID19 KUWA ADUI MKUBWA WA NCHI
- Rais Evariste Ndayishimiye amesema Mungu ameiepusha nchi hiyo na makali ya #CoronaVirus
- Ameahidi kuanzishwa kwa vituo vya upimaji na kampeni ya uhamasishaji nchi nzima
Soma https://jamii.app/CoronaBurundi

BENKI YA DUNIA YAPITISHA DOLA MILIONI 300 KUISAIDIA UGANDA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
- Taarifa ya #WorldBank imesema fedha hizo zitatumika kuiongezea uwezo Serikali
- Pia, zitatumika kulinda wananchi masikini na kuimarisha uchumi
Soma https://jamii.app/WBCoronaUganda

ATHARI ZA CORONA: KAMPUNI YA KUTENGENEZA NDEGE 'AIRBUS' KUPUNGUZA AJIRA 15,000
- Kampuni hiyo imesema haitarajii kuona sekta ya anga ikirejea kama ilivyokuwa kabla ya janga la #COVID19 kabla ya mwaka 2023, na huenda hali isibadilike hadi 2025
Soma https://jamii.app/AirbusKupunguzaAjira

ETHIOPIA: WATU 50 WAFARIKI KWENYE MAANDAMANO KUFUATIA KIFO CHA MWANAMUZIKI
- Maelfu wameandamana kufuatia kifo cha Hachalu Hundessa (34) aliyefariki baada ya kupigwa risasi
- Wengine 35 akiwemo Mwanasiasa maarufu, Jawar Mohamed wamekamatwa na Polisi
Soma https://jamii.app/MaandamanoVifoEthiopia

BIASHARA: FAHAMU KUHUSU BIASHARA YA KUUZA CHAKULA (MGAHAWA)
> Wadau wa JamiiForums wamejadili ya kuzingatia katika kuanzisha biashara ya Mgahawa ambapo wameshauri kabla ya kuamua kufungua mgahawa unatakiwa kuzingatia mambo kadhaa kama vile leseni, sheria na suala zima la afya
> Mojawapo ni kuchagua sehemu yenye idadi kubwa ya watu. Huduma zitolewe katika njia ya kisasa ikiwemo wahudumu wakarimu. Aina ya vyakula na vinywaji ni vizingatie uhitaji wa wateja na mchanganyiko wake uwe wa kisasa
Soma - https://jamii.app/BiasharaMgahawa

SHINYANGA: MJUMBE WA CCM ASHTAKIWA KWA KOSA LA KUTOA RUSHWA
- TAKUKURU imemshtaki Asha Mwandu Makwaiya ambaye ni Mjumbe wa CCM Mkutano Mkuu Taifa kwa tuhuma za rushwa
- Inadaiwa alifanya hivyo ili kuwashawishi wamchague yeye au aliyemtuma
Soma https://jamii.app/RushwaMjumbeCCM

#CORONAVIRUS: KENYA YAREKODI IDADI KUBWA ZAIDI YA MAAMBUKIZI, VISA 307 VYARIPOTIWA
- Ni baada ya kupima sampuli 3,591; jumla ya visa vya #COVID19 nchini humo ni 6,673
- Vifo vimefikia 149 na wagonjwa waliopona wamefikia 2,089
Soma - https://jamii.app/Corona6673-KE
#JFCOVID19_Updates

MAISHA: JE, UMEWAHI 'KUFULIA' KIASI CHA KUTOKUWA NA UHAKIKA WA KULA? ULIFANYAJE?
> Maisha huwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kufilisika/kufulia, kukosa uhakika wa kupata angalau chai kwa siku
> Sababu inaweza kuwa kukosa kazi muda mrefu na kupelekea kukosa kodi ya nyumba/mahali pa kulala au kusemwa umelogwa au una laana
> Je, uliweza vipi 'kuchomoka' katika hali hiyo? Unamshauri nini mtu anayepitia haya kwa wakati huu?
Tembelea - https://jamii.app/MaishaMagumu

TANZANIA YATANGAZWA KUWA NCHI YENYE UCHUMI WA KIPATO CHA KATI
- Benki ya Dunia imeitangaza Tanzania kuwa nchi yenye Uchumi wa kipato cha Kati kuanzia Julai 01, 2020
- Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi tano duniani zilizoingia kwenye kundi la nchi za Kipato cha Kati kwa Kundi la Chini mwaka 2020
Soma https://jamii.app/TZUchumiKati
#JFUchumi

MCHUNGAJI GWAJIMA ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE
> Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM
> Amesema atagombea Kawe kwa kuwa ndiko anakokaa, na sio Misungwi ambapo alipozaliwa
Soma https://jamii.app/GwajimaUbunge

URUSI YAPIGA KURA KUBADILI KATIBA. HUENDA RAIS PUTIN AKAKAA MADARAKANI HADI 2036
> Kura zinaonesha 71% ya Warusi wameunga mkono marekebisho ya kubadili Katiba huku zaidi ya 28% wakipinga
> Mabadiliko hayo yanaweza kumuweka Rais Vladimir Putin madarakani hadi mwaka 2036
Soma - https://jamii.app/ConstitutionalVote

PWANI: MAGARI MANNE YAGONGANA NA KUSABABISHA MTU MMOJA KUFARIKI
> Yamegongana katika eneo la Mlandizi Mkoani Pwani usiku wa kuamkia leo Julai 2, na kupelekea kifo cha mtu mmoja na majeruhi 3
> Wasafiri wanaotokea Dar kuelekea maeneo hayo wameshauriwa kutumia barabara ya Bagamoyo
Soma https://jamii.app/AjaliMlandizi

NEW ZEALAND: WAZIRI WA AFYA AJIUZULU BAADA YA KUKIUKA TARATIBU ZA KUJIKINGA NA #COVID19
- David Clark amejiuzulu kufuatia changamoto mbalimbali za kisiasa
- Aliwasilisha maombi ya kujiuzulu Aprili mwaka huu, lakini Waziri Mkuu alimkatalia
Soma - https://jamii.app/COVID19Updates

SHINYANGA: WANAFUNZI 101 WAPATA UJAUZITO KIPINDI CHA MACHI-APRILI MWAKA HUU
- Wanafunzi 101 wamepata ujauzito ndani ya mwezi 1 wakati wa likizo ya kujikinga na #COVID19
- Serikali kuwachukulia hatua wote watakaobanika kuwapa ujauzito wanafunzi hao
Soma - https://jamii.app/MimbaWanafunziShinyanga

MAREKANI: TRUMP ASEMA KUVAA BARAKOA NI UCHAGUZI BINAFSI WA MTU
> Rais Donald Trump amesema atavaa Barakoa kama atakuwa katika mazingira ya watu yatakayomlazimu kufanya hivyo
> Ni baada ya kiongozi wa Chama cha Republican kutoa wito kwa Rias Trump kuvaa Barakoa ili aoneshe mfano
Soma - https://jamii.app/UvaajiBarakoaUS

SERIKALI: KUONGEZA SAA 2 ZA MASOMO KWA WANAFUNZI NI NGUMU. SHULE ZITUMIE RATIBA ZA AWALI
- Tathmini imebaini ni ngumu kwasababu kuna Shule zina vibali vya 'double shift'
- Shule zimetakiwa kutumia ratiba za vipindi 8 kama ilivyokuwa
Soma - https://jamii.app/ShuleMudaMasomo