#CORONAVIRUS: BRAZIL IMERIPOTI VISA VIPYA 33,274 NDANI YA SAA 24
- Jumla ya visa imefikia 499,966 ikiwa ni nchi ya pili kwa visa vingi nyuma ya Marekani (2,036,110)
- Pia, imerekodi vifo vipya 956 na kuwa na jumla ya vifo 28,849
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates

TCRA-CCC YAZITAKA KAMPUNI ZA SIMU KUSHUSHA BEI ZA INTANETI KIPINDI CHA #COVID19
> Imeziandikia barua kampuni za simu kuzitaka kupunguza gharama za intaneti
> Imesema matumizi ya intaneti yameongezeka kutokana na baadhi ya Waajiriwa kufanyia kazi nyumbani
Soma https://jamii.app/BeiHudumaInternet

WHO: ZAIDI YA WATU MILIONI 40 WENYE MIAKA 13–15 WAMEANZA KUTUMIA TUMBAKU
> Mei 31 kila mwaka ni siku ya Kuhimiza Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani
> WHO imeshauri watu wenye ushawishi kukataa udhamini wa kampuni za tumbaku
Soma https://jamii.app/TobaccoDay
#JFLeo #TobaccoExposed

MASHABIKI WA SOKA WARUHUSIWA KUHUDHURIA VIWANJANI
- Serikali imesema mashabiki waruhusiwe kuingia viwanjani kuona mechi za Ligi. Mchezo utakaohisiwa kuwa na mashabiki wengi, waruhusiwe nusu ya uwezo wa uwanja
- Aidha, imeruhusu Ligi za soka kuendelea kuchezwa kwa mtindo wa nyumbani na ugenini badala ya kituo kimoja
Soma https://jamii.app/SokaKushangilia
#JFMichezo #Sports

KENYA: WAFUNGWA 31 WAKUTWA NA #COVID19 KATIKA GEREZA LA NAIROBI
- Wamebainika baada ya sampuli 59 kupimwa Alhamis, Mei 28 katika Gereza hilo
- Kenya sasa ina jumla ya visa vya #CoronaVirus 1,888 baada ya wagonjwa wapya 143 kutangazwa jana, Mei 30
Soma https://jamii.app/31WafungwaKenya

#COVID19-KENYA: VISA VYAFIKIA 1,962. WALIOPONA WAFIKIA 478
- Wagonjwa 74 wameripotiwa baada ya sampuli 1,574 kupimwa ndani ya saa 24
- Vifo vimefikia 64 baada ya mtu mmoja kufariki. Waliopona wamefikia 478 baada ya watu 14 kupona
Soma https://jamii.app/COVID19KE-1962

UGANDA: WATUMISHI WA AFYA 7 WAPATA #CORONAVIRUS
- Wizara ya Afya imesema wauguzi 3, madaktari 2, na wafanyakazi 2 wa ngazi ya juu wamepata maambukizi
- Nchi hiyo imerekodi visa 417 vya #COVID19 hadi sasa, na wagonjwa 72 wamepona
Soma https://jamii.app/Corona417-UG

WASHINGTON DC, USA: MAANDAMANO YATINGA IKULU, RAIS TRUMP AJIFICHA. MABOMU YA MACHOZI YARUSHWA
- Waandamanaji zaidi ya 1,000 walikuwepo nje ya Ikulu ya Marekani. Vurugu zimepelekea Rais Trump kuwekwa kwenye chumba kilichopo chini cha ardhi
- Floyd alifariki dunia Jumatatu iliyopita huko Minneapolis baada ya Polisi mzungu, Derek Chauvin kumkandamiza shingoni kwa kutumia goti. Tayari Chauvin amefunguliwa mashtaka ya mauaji
Soma https://jamii.app/GeorgeFloydMarekani
#GeorgeFloyd #BlackLivesMatter

IGP SIRRO: HATUTAKI KUTUMIA MABOMU KWENYE UCHAGUZI MKUU
> Asema “Tunataka uchaguzi wa mwaka huu uwe wa haki kama Rais alivyosema"
> Pia, amewataka washtakiwa/wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutoka gerezani, kuacha kujiingiza ktk matukio ya uhalifu
Soma https://jamii.app/SirroUhalifuTZ

#CORONAVIRUS-BRAZIL: VISA ZAIDI YA 16,000 VYAREKODIWA NDANI YA SAA 24
- Brazil ina visa 514,992 vya #COVID19. Vifo 29,314 vimerekodiwa na waliopona ni 206,555
- Ni nchi ya 2 kuathirika zaidi baada ya Marekani yenye visa 2,183,493
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates
- Brazil ina visa 514,992 vya #COVID19. Vifo 29,314 vimerekodiwa na waliopona ni 206,555
- Ni nchi ya 2 kuathirika zaidi baada ya Marekani yenye visa 2,183,493
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates
UGANDA: WASANII MBOSSO NA DIAMOND WASHINDA TUZO ZA HIPIPO
- Diamond Platnumz amepata tuzo 2 za Wimbo bora wa Afrika Mashariki (The One) na Msanii Bora wa Tanzania huku Mbosso akijishinda tuzo ya Africa Fans Favorite Fresh Talent (Msanii mpya, Kipenzi cha Mashabiki Barani Afrika)
Soma - https://jamii.app/HiPipoAwards2020
#JFBurudani

JUNI 01: MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZIWA DUNIANI
- Lengo la #WorldMilkDay ni kuelimisha jamii kuhusu maziwa na umuhimu wake kama chakula
- Kaulimbiu ya mwaka huu ni "Miaka 20 ya Siku ya Maziwa". Kutokana na #COVID19 hakuna hafla zilizoandaliwa
Soma https://jamii.app/WorldMilkDay

KENYA YASHEREHEKEA MIAKA 57 YA SIKUKUU YA MADARAKA
- Kutokana na #COVID19, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla inayofanyika Ikulu, wananchi watafuatilia mtandaoni
- #MadarakaDay ni kumbukumbu ya Kenya kupata uhuru wa kujitawala
Soma https://jamii.app/MadarakaDay-KE

WHO: UONGOZI IMARA UMECHANGIA AFRIKA KUTOKUWA NA MAAMBUKIZI MENGI YA #COVID19
> Afrika ina 1.5% ya maambukizi yote ya #Corona yaliyoripotiwa duniani na ina 0.1% ya vifo vya #Corona duniani
> Watu 146,794 wameripotiwa kupata #Corona barani Afrika, watu 61,773 kati yao wamepona na 4,223 wamefariki
Soma - https://jamii.app/CoronaLeardershipAfrica

#CORONAVIRUS INDIA: MJI WA NEW DELHI KUFUNGWA KWA WIKI MOJA
- Maduka na saluni zote zitaendelea kutoa huduma, lakini Mamlaka zimeweka agizo la muda wa kutotoka ndani
- Watumishi wa Serikali wenye utambulisho wataruhusiwa kusafiri
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates
- Maduka na saluni zote zitaendelea kutoa huduma, lakini Mamlaka zimeweka agizo la muda wa kutotoka ndani
- Watumishi wa Serikali wenye utambulisho wataruhusiwa kusafiri
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates
RATIBA YA LIGI KUU BARA YATANGAZWA
> Juni 13, 2020 kutakuwa na mchezo kati ya Mwadui FC na Yanga SC katika Uwanja wa Kambarage, Shinyanga na Coastal Union vs Namungo katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga
> Juni 14, 2020 itakuwa Simba SC vs Ruvu Shooting katika Uwanja wa Taifa, Dar na Azam FC vs Mbao FC Uwanja wa Azam Complex, Dar saa 1 usiku
Soma - https://jamii.app/RatibaLigiBara

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
IGP SIRRO: POLISI MSIWE KERO KWA WANANCHI WANAOTII SHERIA
- Amewataka Polisi kutokuwa kero kwa wananchi wanaotii Sheria, na kuwa mwiba kwa wale wanaozivunja
- Ametoa wito kwa Polisi kuhakikisha watu wanaishi kwa amani na utulivu
Soma - https://jamii.app/PolisiKeroWananchi
- Amewataka Polisi kutokuwa kero kwa wananchi wanaotii Sheria, na kuwa mwiba kwa wale wanaozivunja
- Ametoa wito kwa Polisi kuhakikisha watu wanaishi kwa amani na utulivu
Soma - https://jamii.app/PolisiKeroWananchi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AFRIKA KUSINI: WANANCHI WARUHUSIWA KUNUNUA VILEVI BAADA YA ZUIO LA MIEZI MIWILI
- Maduka yanafunguliwa saa tatu asubuhi na kufungwa saa 11 jioni huku misururu mirefu ya Wateja ikishuhidiwa
- Zuio hilo liliwekwa ili kuruhusu Polisi na Hospitali kuelekeza nguvu zao kwenye #COVID19, kwakuwa vurugu zinazosababishwa na ulevi ni tatizo kubwa nchini humo
Soma - https://jamii.app/UuzwajiVilevi-SA

JESHI LA POLISI LAKAMATA WATU 87 KWA TUHUMA ZA MAUAJI KATIKA MIKOA 4
> Polisi Mkoani Mbeya wakishirikiana na Polisi Mkoa wa Songwe, Rukwa na Katavi wamewakamata watu 87 kwa tuhuma za mauaji wakiwemo waganga wa kienyeji wanaopiga ramli chonganishi katika ukanda huo
Soma - https://jamii.app/87MbaroniMauaji

#CORONAVIRUS: ZINGATIA HAYA ILI KUWALINDA WANAFUNZI WAWAPO SHULENI
> Kuwajenga Kisaikolojia, Uwepo wa Wahudumu wa Afya, Vituo vya kunawa mikono, kubadili mpangilio wa kukaa darasani na bwenini na kusitisha mikusanyiko ya asubuhi
> Kukabiliana na dharura za kiafya, udhibiti wa wageni na kuwa na jumbe za tahadhari
> Elimu ya Afya kwa Walimu, kupima wanafunzi, lishe na michezo
Soma > https://jamii.app/Covid19Muongozo
#COVID19